Habari wakuu!
Tukubali tukatae lazima tujue kuwa dunia inakwenda mbele, hairudi nyuma. Hivyo basi style za mapigano ya maisha lazima zibadilike.
Wazee wengi bado hawajajua hili. Hivyo huendesha mambo yawahusuyo vijana wao kizamanizamani.
Na vijana nao wanakuja kuamka huku wameshamaliza chuo...
Katika miaka ya hivi karibuni malumbano ndani ya nyumba zetu yameshika hatamu. Tumeshuhudia tabia iliyozoeleka kwa wazazi - baba na mama wakipigana, kurushiana maneno, matusi na kadhalika mbele ya watoto tena bila aibu. Kisaikolojia mtoto hujengeka zaidi na kuwa mwenye furaha kutokana na kuwepo...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo...
Mgombea wa nafasi ya udiwani katika Kata ya Sungwizi Tarafa ya Simbo wilayani Igunga mkoani Tabora, Katambi Sospeter amejikuta katika wakati mgumu baada ya kudodosha kibuyu cha dawa za kienyeji alipokuwa akiingia kwenye ukumbi wa kupigia kura za maoni katika Shule ya Msingi Sungwizi.
Tukio hilo...
Mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo mh Bernad Membe amesema wazazi wa hayati Ben Mkapa walitaka mtoto wao awe padri kama wazazi wake yeye walivyotaka Membe awe padri.
Membe amesema Ben Mkapa alikuwa mtu wa dini sana na alilipenda Kanisa licha ya kuwa anatumika siasani.
Nawatakia Dominica...
JUMLA ya wazazi 35 kutoka kata ya Nalasi wilayani Tunduru wamekatwa baada ya kukutwa wakiwafundisha watoto wa kike walio chini ya umri wa miaka 8 mbinu za kuishi na wanaume na kufanya tendo la ngono maarufu kama msondo.
Mkuu wa wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro ambaye ni Mwenyekiti wa kamati...
Ninakumbuka miaka ya 1980 enzi zile Afrika ya Kusini siasa za ubaguzi wa rangi zimetamalaki. Nchi nyingi zilijitenga na Afrika ya Kusini, passport ya Tanzania iliandikwa kabisa hairuhusu mmiliki kuingia nchi hiyo
Jirani yetu Baba yao alifanikiwa kupata kazi Afrika ya Kusini kwenye migodi ya...
Habari JF,
Naomba tufahamishane kulingana na mwongozo wa Wizara ya Elimu, hakuna mzazi atakayelipishwa ada kipindi chote cha Corona ambacho watoto wamekuwa nyumbani, unless unadaiwa huko nyuma.
Ni vipi basi kuna shule zimelipisha wazazi kwa kupunguza mwezi mmoja tu tena kwenye usafiri na sio...
Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani
Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza...
SCHOOL FEES: PRECIOUS SCHOOLS INAKOMOA WAZAZI
Kwanza ni pole kwa wale wote ambao kwa namno moja wamepoteza ndugu zao wapendwa kwa mlipuko wa ugonjwa wa Korona. Mwenyezi Mungu awape roho ya ustahimilifu kwa kuondokewa na wapendwa wetu.
Mada:
1. Baada ya Serikali kutangaza kurejea kwa shughuli...
Kuna degree Tanzania hamna ila zina soko sana duniani, vijana wa PCM zinawafaa.
Wazazi, mkiwa na pesa na mkiwa na watoto wazuri waliofaulu vizuri PCM pelekeni Ulaya au Marekani wakasome degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering.
Ni baadhi ya hot cake degrees, dunia nzima inawataka.
Dalili za ugonjwa wa COVID19 ni homa, kikohozi na mafua, kubanwa mbavu na kupumua kwa shida, kuumwa kichwa, vidonda kooni, koo kukauka, mwili kuchoka na kupoteza uwezo wa kuhisi ladha na harufu
Kwa wanafunzi wanaotarajiwa kurudi mashuleni, ni muhimu kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni...
Half cast lazima awe amezaliwa na mzungu na mtu mweusi haiwezekani aliyezaliwa na wazazi wawili mmoja Jaluo na mwingine Mzaramo akaitwa half cast?
Wenye watoto ndoa zao za mchanganyiko kimakabila kwa nini watoto wachukue kabila la baba wasiitwe half cast?
Kufundisha mtoto ni sawa na kujenga nyumba. Anayejenga nyumba huanza kujenga mstari wa Kwanza, halafu mstari wa pili hujengwa juu ya mstari wa Kwanza.
Hali kadhalika mstari wa tatu hujengwa juu ya mstari wa pili. Ikitokea siku ya kujengwa mstari wa pili kukatokea dharula na ujenzi usifanyike...
Naandika kwa niaba ya wazazi 115 wa watoto wa Pre-form V mwaka 2020 ambapo watoto wanatakiwa kujiunga na form five 24/7/2020 baada ya kumaliza Pre V. Watoto wetu walijiunga na Pre V mnamo tarehe 8/2/2020 ambapo tulilipa 1.6m kama gharama za tuition, malazi na chakula ambazo ni kwa ajili tu ya...
Naomba wazazi na walezi kama mimi tukumbushane kuwaelimisha watoto wetu wa kiume na hasa wa kike kuhusu mazingira hatarishi ya kupelekea unyanyasaji wa kingono au ubakaji.
Nimeona mada kule twitter mabinti wengi wakieleza namna walivyobakwa na kuwataja wabakaji wao na kutaka wachukuliwe hatua...
Watu hawaelewi siri ya bajeti wengine hawataki kusikiliza kabisa matokeo yake hukosea kwenye maisha baadaye kuilalamikia serikali.
Bajeti hii moja ya malengo yake iliyoweka ni Kusomesha kwa wingi Wataalamu kwenye Fani na Ujuzi Adimu/Maalum
Wahindi na wawekezaji wa ndani na nje na...
Habari wakuu,
Bila kupoteza mda hebu nijikite kwenye mada
Jamii yetu imezungukwa na utamaduni tofauti katika kukuza na kulea watoto, wapo wanaoamini kuwa hatupaswi kuiga tamaduni za kimagharibi za kuwapa uhuru watoto badala yake wanawafunza watoto katika kufanya kazi za nguvu na kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.