BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Naandika kwa niaba ya wazazi 115 wa watoto wa Pre-form V mwaka 2020 ambapo watoto wanatakiwa kujiunga na form five 24/7/2020 baada ya kumaliza Pre V. Watoto wetu walijiunga na Pre V mnamo tarehe 8/2/2020 ambapo tulilipa 1.6m kama gharama za tuition, malazi na chakula ambazo ni kwa ajili tu ya Pre V tu. ambapo watoto wangesoma mpaka mwezi wa sita kama kusingekuwa na Covid. Baada ya Covid watoto walirudi nyumbani tarehe 17 March hivyo walisoma kipindi cha wiki tano tu,
Jana Headmistress Lightness Massawe akafungua group na kutuunga wazazi wote 115 ambao tuna watoto Pre V ambapo hatuna uwezo wa ku comment isipokuwa yeye na admin wengine watatu. Kisha wakatutumia ujumbe kuhusu kufungua shuke na kuahidi kutoa maelekezo ya ada leo.
Ilipofika leo wakatuma attachment ya utaratibu wa ada kama ifuatavyo.
1. Ile Tshs 1.6 tuliyolipa kwa ajili ya Pre V waliyosoma wiki tano hawajaiongelea kabisa kwamba imezima.
2. Ada kamili ya Form V slip attached inatakiwa ilipwe now yani wanapokwenda tar 24/6 tuwe tumeshalipa ada ya 24July.
Namba ya Head Mistress 0764775014
Kwa niaba ya wazazi