wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. safuher

    JamiiForums Tanzania Usidharau wazazi wako wao ndio walipanga wewe uje Duniani

    Usije ukadharau wazazi wako mkuu, Wazazi ni watu wazito katika maisha yako,hakuna mwenye mwisho mzuri kwa kuwadharau wazazi wake, hiyo ndo kanuni ya ulimwengu. Jiulize tu kuwa hapa duniani ulipo ulitaka mwenyewe uje au umekuja kwa sababu wazazi wako ndo walipanga uje? Kama hukupanga wewe kuja...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naombeni aina ya adhabu nje ya kumchapa viboko Mtoto 'Mtukutu' wa kati ya Miaka 7 hadi 9 tu

    Nilidhani Fimbo zangu za Kiserikali / Za Wastani ambazo ni Nne ( 4 ) pekee zingekuwa ni sehemu ya Kumbadilisha Mtoto ila nimegundua ya kwamba hizo ' Bakora ' za Kiserikali hazisaidii kabisa ' Kumuadabisha ' Mtoto hivyo sasa nataka Msaada wenu wa aina ya Adhabu ' Kali ' zaidi za Kumpa Mtoto ili...
  3. osc michael

    JamiiForums Tanzania Wazazi tunakosea hapa

    Kila mtu anataka ukweli lakini kila mtu hataki kuwa mwaminifu. Ni bora kumuandaa mtoto wa kike kuwa mama bora kuliko kumrekebisha mtu mzima. Kitchen party ni siku ya kumrekebisha mtu mzima baada ya kushindwa kumuandaa mtoto wa kike kuwa mwanamke bora. Hii ni moja ya mpango mbovu ambao akina...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Je, shule zikifunguliwa, wazazi tunasomesha watoto private tutalipa ada ya mwaka mzima?

    JF Baada ya mwanga kuanza kuonekana kwamba muda si mrefu shule zote zitafunguliwa hapa nchini kwa vyuo na kidato cha sita kutangulia ili kupima upepo Wamiliki wa shule binafsi hawako nyuma, tayari leo wameanza kutuma meseji kwa wazazi wakihamasisha tulipe ada huku wakitoa onyo kali kwa...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kuwaona wazazi maboya kwaajili ya mapenzi?

    Natumai hamjambo wakuu Tukiwa tunaendelea na mapambano dhidi ya corona nimependa kushare kisa kilichofaninya niwaone wazazi maboya ajili ya mapendo Kuna mrembo tuliwahi pendana sana huko nyuma na dream yetu ilikua ni kufunga ndoa day1.. Siku1 nikamualika home anitembelee, sasa kwa kua yeye...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wakuu kuna hasara kuwasaidia wazazi?

    Wakuu Mimi ni muajiriwa Nina miaka 8 kazini, Wakati naanza kazi wazazi wangu hawakuwa na makazi bora hivyo nimekaa muda nikaamua kuwajengea nyumba bora japo Mimi sijajenga ya kwangu bado,, najibana hivyo hivyo kama mnavyoijua mishahara ya waajiriwa wa ktz ni kidogo kwa kada nyingi, Ndugu zangu...
  7. G Sam

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, ndugu Lugano Mwafongo afariki dunia

    Katibu wa Jumuiya ya wazazi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro ndugu Lugano Mwafongo amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya rufaa ya KCMC mkoani Kilimanjaro alipokimbizwa kwa matibabu. Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!
  8. Manjagata

    JamiiForums Tanzania Wazazi tuliogharamika kununua king'amuzi cha Azam tujuane hapa!

    Hii shana nimeshindwa kuielewa, Wizara inaanzisha utaratibu wa tuition kwa watoto kupitia runinga halafu badala ya huduma hiyo itolewe na Television ya Taifa wanaenda kugawa vipindi kwa Azam maanake nini? Au mimi sielewi jamani? Nilitegemea kipindi hiki cha hili janga Television ya Taifa...
  9. jogijo

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufumaniwa na wazazi wako ukisaka papuchi?

    Ndugu, poleni na hekaheka za kupambana na huyu kiumbe Corona. Niende moja kwa moja kwenye mada, nikita form two miaka ileeeee, kulikua na jamama tumezoeana sana kiasi kwamba ilikua lazima tukae tupige story kila siku jioni. Huyu mama alikua mke wa mtu japo walikua wametengana na mumewe ambae...
  10. J

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka: Wazazi hakikisheni watoto wenu wanajisomea maana mitihani iko pale pale baada ya Covid 19 kudhibitiwa!

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu mh Mtaka amewataka wazazi wote nchini kuhakikisha watoto wao walioko nyumbani wanajisomea kwani baada ya ugonjwa wa Corona kudhibitiwa mitihani itakuwa pale pale. Mtaka amesema hayo katika misa ya Pasaka mjini Bariadi leo. Source ITV habari!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Lindeni wazazi wenu na wagojwa, msisubiri Serikali

    Mimi nawashauri Watanzania kulinda familia zao bila kusubiri matamko ya serikali. Kila siku habari zinabadilika hivyo nashauri familia binafsi angalieni wazee wetu na wasitembee ovyo ovyo sehemu za masoko, mabasi, makanisani wala misikitini kunawa mikono pekee haitoshi. Ndugu wenye pumu...
  12. Geeque

    JamiiForums Tanzania Faini ya Milioni 350 dhidi ya viongozi wa Chadema itumike kuwalipa fidia wazazi wa Akwilina

    Hukumu iliyotolewa na hakimu wa mahakama ya Kisutu jijini Dar Es Salaam ikiwataka viongozi wa Chadema walipe faini ya shilingi milioni 350 itumike kuwalipa fidia wazazi wa marehemu Akwilina Akwiline. Haingii akilini hii pesa kurudi serikalini wakati waathirika wakubwa wa mauaji hayo yaliyofanywa...
  13. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Mwenye ushahidi kuwa “single mothers” wakishaolewa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenzao aulete hapa

    Nimeshuhudia single mothers wengi wakiolewa na ndoa zao zinadumu lakini nashangaa wanaume wengi huwaponda kuwa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenza. Binafsi nimelifanyia uchunguzi nikaona halina ukweli wowote. Mwenye ushahidi juu ya hili alete
  14. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Mauno mkeo watoto: Uswahilini na maadili

    Kwa wale ambao hawajui maisha ya uswahilini, kuna vigoma vingi Sana watu wanapita wakiwa Na Madera (ndani chupi hakuna) wanacheza Na kujifunua uchi uchi. Kuna siku nilipita nikaona uchi Wa Malaya wanacheza aisee walikuwa uchi wa mnyama, zile nuksi nilizozipata mana nilikoswakoswa na magari...
  15. Zawadi Mkweru

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Bullying na jinsi wazazi wanavyochangia kutokea kwa unyanyasaji huu unaowaathiri sana watoto wawapo shuleni

    Bullying ni aina ya Unyanyasaji unaoweza kufafanuliwa kama shambulio la kisaikolojia, kimwili au vitisho ambalo hulenga kusababisha woga, mawazo au kumdhuru mwathirika. Bullying inapofanyika mashuleni huwa katika mazingira ambapo mwanafunzi hujikuta katika unyanyasaji wa kimfumo (pamoja na wigo...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi wote wanaokumbia shule za St Kayumba kwakua hawataki watoto wao wawe Waswahili, anagalieni hii picha.

  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa hasara ambayo huyu mtoto ameniingizia: Nashauri Sheria itungwe iwe ni shuruti watoto kusaidia Wazazi uzeeni

    Ameangusha Laptop na kuua harddisk na kupoteza data zote. Nikaiweka mbali, amedandia na kukwea kabati na kuiangusha kupasua kioo slim laptop. Amedumbukiza simu ya mama yake kwenye ndoo ya maji. Ameshapasua simu nyingine kama mbili (anavizia ukijisahau tu). Amechana Macover ya vitabu vyangu na...
  18. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Kati ya watoto wakike na wakiume, Ni watoto gani hukumbuka kuwatunza wazazi wao ?

    Salaam wapenzi wa jukwaa hili bora, katika jamii kumekuwa na minong'ono kuwa watoto wakike hukumbuka nyumbani na kulipa fadhila kwa wazazi wao pindi wanapozeeka au kuwa na uhitaji, watoto wa kiume nao hujitutumua kuwa tuhuma hizo si za kweli! Kwa wote tupo katika jamii na tunaona, je msimamo na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kufikia tarehe 01/03/2020 wanafunzi wote wa sekondari watakaa madarasani kila mmoja na dawati lake, wazazi hawatachangishwa!

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Makonda amesema jiji la Dar es Salaam lina upungufu wa madarasa 381 baada ya wanafunzi wengi kufaulu. Hivyo mkoa utakamilisha ujenzi wa madarasa hayo kufikia tarehe 28/02/2020 na mnamo tarehe 01/03/2020 kila mwanafunzi atasomea darasani akiwa na kiti na meza...
Back
Top Bottom