wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania ULIMWENGU NDIO MAMA: Wadogo zangu someni sana. Zinakuja siku huko mbeleni wazazi watakuwa wamelala usingizi wa milele na umebaki wewe na walimwengu

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums. Ninapenda kuchukua wasaa huu kutuma salaam zangu za pole sana kwa mkuu wa wilaya ya Kisarawe (DC) Madam Jokate Mwegelo kwa msiba mzito uliomfika wa baba yake mazazi mzee Urban Costa Ndunguru. Mungu azidi kumtia nguvu na faraja...
  2. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe kuna watu ni wachoyo mpaka kwenye chakula. Haya maisha ni hatari

    Habarini ndugu zangu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 38, nina elimu ya degree ya mambo ya marketing kutoka chuo kikuu cha dasilamu (UDSM), nadhani nilisha eleza uko nyuma kuhusu baba yangu mzazi kunifukuza nyumbani kisa tu ataki nijishughulishe na mambo ya siasa, baada ya kunifukuza...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Je, unazijua Haki za Mtoto ikiwa Wazazi wake wametengana?

    Kwa mujibu wa Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 kifungu cha 26 (1) inaeleza kuwa baada ya wazazi kutengana au kuachana (kwa kuzingatia masharti ya sheria ya ndoa) mtoto atakuwa na haki zifuatazo:- (a) Kuendelea kupata elimu bora aliyokuwa akiipata kabla ya wazazi wake kutengana au talaka; (b)...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Sekretarieti ya Halmashauri kuu ya Taifa na UVCCM, UWT na Wazazi | Komredi Polepole amejiuzulu

    Ni mkutano wa kutathmini yaliyojiri katika uchaguzi mkuu wa 2020 na kuweka mikakati thabiti ya maandalizi ya Uchaguzi. Katibu Mkuu, Dkt. Bashiru amesema sasa wanayo kazi moja kubwa ya kujaza nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi komredi Polepole a.K.a Mwendokasi aliyeteuliwa kuwa Mbunge...
  5. Mzizi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Home Tuition: Biology and Geography (Dar es Salaam)

    Hello wana JF nawasalimieni wakubwa zangu! Lengo la kuandika uzi huu ni kuwatangazia home tuition kwa wanafunzi wa O level and A level kwa wanaopenda Biology na Geography! Wale wanaorudia mitihani yao basi tatizo lao ndo mzizi umepatikana! Napatikana Dsm. Kwa wanaohitaji huduma hii...
  6. yuda75

    JamiiForums Tanzania Mwanamkee wako asikufanye usahau wazazi wako

    Habarini jamani, Kumekuwa na mambo mengi haswa wanaume kusahau wazazi wetu haswa wakishaowana au wakiwa na uchumba yani watu wanajisahau sana wanashindwa kujua kuwa wazazi ndo baraka kwa maendeleo. Mzazi alijitoa kwako kwa hali na mali, alijinyima alifungu ili wewe ufike hapo galfa unaobwa...
  7. akajasembamba

    JamiiForums Tanzania Harusi bila wazazi wa kiume wala ndugu upande wa baba pande zote

    Hivi karibuni nikiwa mkoa mmoja kaskazini mwa nchi yetu, nilihudhuria sherehe ya harusi, ambayo pamoja na kushangaa na waliojitambulisha ni wenyeji wa mkoa wa kaskazini na siyo mwambao, sherehe nzima nyimbo zilizotawala ni taarabu za kisasa(rusha roho na mipasho) kingine kilichonishangaza ni...
  8. Mag3

    JamiiForums Tanzania Picha: Mafuriko CCM, tafadhali tuachieni watoto wetu wapate elimu na si kuongezea vichwa kwenye mikutano iliyosusiwa na wazazi wao!

    ............ ...... Kama unayo picha ongezea...
  9. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Malezi ~ Wazazi wana hadhi sawa katika malezi ya watoto

    Yawezekana unazo sababu nzuri tu za kukufanya utake kudhoofisha mahusiano ya mwanao na mzazi mwenzio. Labda alimkataa mtoto (ujauzito), ama hatoi matunzo (pesa na mengineyo) kwa mtoto. Ingawa sababu hizi zina mashiko, makala yetu yanataka kuangazia athari anazopata mtoto mzazi ukiamua kumtenga...
  10. mama D

    JamiiForums Tanzania Kupeleka watoto wa miaka2 hadi miaka10 shule za bweni kwa wazazi tujitafakari sana

    Kumekua na ongezeko kubwa la wazazi kukupeleka watoto wadogo kuanzia chekechea. Kweli wazazi tumekua na majukumu mengi huku usaidizi katika malezi ukiwa changamoto kubwa sana. Lakini kwa niliyoyaona na kuyasikia wazazi tujitafakari tena, watoto wengi wanaopelekwa bweni wanateseka mnoo. Wengine...
  11. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Mtindo wa Misiba ya Siku Hizi: Watoto waliozaliwa mijini (1990's) wanavyokataa kusafirisha miili ya wazazi wao kwenda kuzikwa kijijini na kupasua ukoo

    Je, kuna umuhimu wa wazazi kuwapeleka watoto kijijini wakati wa kipindi cha likizo? Unawapelekaga watoto wako? Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia matukio mengi sana zaidi ya mara 4 katika misiba niliyopata...
  12. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wengi (zaidi wamama) hupenda watoto wao kuoa/kuolewa katika familia za rafiki? Did you marry from a family friend? How do you find it?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini wazazi wengi (hususan wamama) hupenda watoto wao kuoa/kuolewa katika familia za rafiki? Did you marry from a family friend au uliwahi kushawishiwa kuoa/kuolewa katika familia rafiki? How do you find it...
  13. mtimawachi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Walimu na wazazi mnajifanya viziwi? Rungwe hamumsikii?

    Tukiachana na ubora wa Magufuli au mbwembwe za Lissu(almaarufu mwanasheria) kuna huyu mgombea ambaye pamoja na ubora wa pointi anayoishupalia, watu tumeziba masikio yetu na kumpuuza. Huyu bwana dunia nzima hasa nchi za mabeberu zinafuata sera yake lakini kwetu tumeipokea kwa dharau kubwa na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Salum Mwalimu, usikubali kuangamiza kipaji chako kwa vipande vya fedha

    Natamani vijana wangu wawe Kama nilivyo Mimi ila natamani zaidi wawe na spirit aliyonayo Salum Mwalimu. Ni kijana wa miaka 40 lakini uwezo wake unawazidi vijana wengi wa Rika lake. Ni kijana wa miaka arobaini ambaye ametambua umuhimu wa kuwazungumzia Wananchi kuliko kuajiriwa. Nikijana ambaye...
  15. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tabia 8 za wazazi ambazo huenda zikawafanya watoto wasifanikiwe vizuri kimaisha

    Waswahili walisema, “Kuzaa sio kazi, kazi kulea mwana”. Kama mzazi ni jukumu lako kuhakikisha mwanao anakua katika mazingira mazuri na elekezi ili kumfanya awe ni mwenye hekima kuanzia mdogo mpaka kufikia utu uzima wake. Kumkuza mtoto mdogo awe vile unavyotaka kupitia muonekano wako au mtazamo...
  16. FYATU

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenzangu mnaofuga huwa mnafanyaje inapotokea Mfugo Mama yupo kwenye heat?

    Kwa kizungu tunaita "embarrasment, haswa kwa tabia za hawa mifugo aina ya Mbwa. Afadhali hata kwa Kuku maana walau Mtoto mdogo huweza kufikiri tu hawa kuku wanapigana ila sasa ndio pale upo mahali na Watoto wako mmekaa mara linakuja kundi kubwa la Mbwa "wapo harusini" au hata hapo nyumbani kama...
  17. James Martin

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wazazi tulaani kitendo cha watoto wetu kukoseshwa masomo na kutumiwa kisiasa

    Kampeni za mwaka zimeingia hatua mpya ya kuwalazimisha watoto kujiingiza kwenye kampeni za kisiasa. Mambo hayo yametokea huko Bukoba baada ya wanafunzi kushinikizwa kusimama barabarani kuupokea msafara wa mgombea wa CCM. Mimi kama mzazi nikigundua mwanangu kesho atakosa masomo kwa ajili hii...
  18. Dr Lizzy

    JamiiForums Tanzania Wazazi/walezi tuna-fail wapi?

    Baada ya ajali ya moto uliochoma shule Kagera jana kuua watoto 10 na kujeruhi 7 wa kati ya miaka 6 - 10 🙁🙁 (May their little souls Rest in Heaven 👼👼) Naomba kuwauliza wanajamii wenzangu, je ni wakati gani kama mzazi/mlezi unaweza sema "It can't be helped. Mtoto NI LAZIMA aende boarding...
  19. samirnasri

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa shule ya Martin Luther jijini Dodoma kawageuza wazazi kitega uchumi, anatakiwa kushitakiwa

    Kwa wakazi wa Dodoma jina Martin Luther sio geni unapozungumzia suala zima la elimu. Ni shule iliyopo eneo la kisasa njia ya kuelekea Dar es Salaam. kwa ujumla shule ina mazingira ya kuvutia kwa muonekano wa nje. Kwa upande wa taaluma pia imekuwa miongoni mwa shule bora mkoani Dodoma ikiwa...
  20. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Msanii kutoka Hong Kong, ndugu Jackie Chan apanga kutoacha urithi kwa watoto wake. Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Afrika?

    Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Tanzania? Kuwa mtoto wa nyota wa sinema wa kimataifa kama Jackie Chan ni dhahiri kwamba huja na marupurupu mengi na faida. Mtoto wa Jackie Chan, aliyekuwa na umri wa miaka 33 kwa wakati ule anayeitwa Jaycee, aliishi maisha yaliyojaa...
Back
Top Bottom