Baadhi ya fani zenye ajira kubwa Duniani: Wazazi somesheni watoto nje Degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,911
51,902
Kuna degree Tanzania hamna ila zina soko sana duniani, vijana wa PCM zinawafaa.

Wazazi, mkiwa na pesa na mkiwa na watoto wazuri waliofaulu vizuri PCM pelekeni Ulaya au Marekani wakasome degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering.

Ni baadhi ya hot cake degrees, dunia nzima inawataka.
 
Hahah kuna mwana alisoma Robortics & Artificial intelligence akajifanya mzalendo akarudi zake Bongo.

Kapigwa vumbi balaa hakuna kazi wala nini kajaribu kufanya projects/start up za hapa na pale(Funds zikawa ni kikwazo) akapoteza miaka 4 yake hapa Bongo.

Akaona upuuzi huu, akatafuta scholarship yuko Sweden.
 
Course za IT kama una kichwa kizuri unasoma mwenyewe, hiyo cybersecurity hiyo unaweza ukaisomea home mwenyewe na PC yako, Youtube, Torrent kuna tutorial na pdf kibao.

Ila kitu chenye ajira za wazi ni Programming, hiyo cyber haifui dafu kwa programming. Piga zako Java, Python, PHP, C++ utapiga hela mpaka utazikataa.
 
Course za IT kama una kichwa kizuri unasoma mwenyewe,hiyo cybersecurity hiyo unaweza ukaisomea home mwenyewe na PC yako,Youtube,Torrent kuna tutorial na pdf kibao.

Ila kitu chenye ajira za wazi ni Programming,hiyo cyber haifui dafu kwa programming.Piga zako Java,Python,PHP,C++ utapiga hela mpaka utazikataa .
Ni kweli mkuu, lakini ukumbuke kuna vitu hautavielewa mpaka uwe na mwalimu physically na zaidi cheti ndio utatumia kuonesh umesoma kweli.
 
Nina watu wamesoma code wenyewe,hasikudanganu mtu chuo,walimu walio wengi code wanaziogopa,ukitaka kuwa nondo ingia Youtube alafu soma mwenyewe.

Code interview zake hawahitaji sana kuuziana chai,wao wanataka udisplay pale vitu vionaekane,haina longo longo hata kidogo alafu practical zake hazihitaji vitu vingi ni computer yako na software.
 
Course za IT kama una kichwa kizuri unasoma mwenyewe,hiyo cybersecurity hiyo unaweza ukaisomea home mwenyewe na PC yako,Youtube,Torrent kuna tutorial na pdf kibao.

Ila kitu chenye ajira za wazi ni Programming,hiyo cyber haifui dafu kwa programming.Piga zako Java,Python,PHP,C++ utapiga hela mpaka utazikataa .
Aliyeiva kwenye cyber anajua programming automatically.
 
Nani kwa kwambia,mimi mwenyewe nipo kwenye field hii IT (Network Engineer) najua walio wengi hawajui Code,nina marafiki kibao eGA ,TCRA code weupe wana idea tu.

Wazuri tu wakutumia tools hizi za Kali Linux,Parrot OS nk.
Code kuijulia huju ukubwani kazi,mimi mwenyewe field yangu sasa hivi inanitaka nijue code ndio nahangaika nayo.
 
Kwani hujaelewa ninapokwambia aliyeiva? Namaanisha Expert.Programming ni kipengere tu kwenye cyber security kwa taarifa yako.
 
Nakukatalia mimi toka nimalize chuo nina miaka saba,jamaa zangu kwenye field hii ya cyber wana miaka mitano,najua ninacho kiongea.Programming ni shughuli si ya kitoto,programming wana gusa gusa tu ila sio deep,wazuri kwenye Server,Linux,Networking na Database kidogo.

Nina wanangu watatummoja yupo eGA programmer anapiga kazi kampuni mbili,hapo kuna viproject vidogo vidogo vya pembeni kwa wiki hakosi laki tano.

Mwengine kajenga ndani ya mwaka,huyu ndio hatari hii Java na C++ anaipiga tokea yupo advance ,huyu sasa anachukuliwa kutengeneza zile system konki na makampuni makubwa.

Mwengine tulivyo maliza chuo kasema yy hatoajiliwa na kweli sasa komaa kama miaka miaka mitatu,sasa hivi anapata project mfululizo na ndiye aliye nishauri nikazanie code.
 
Nakukatalia mimi toka nimalize chuo nina miaka saba,jamaa zangu kwenye field hii ya cyber wana miaka mitano,najua ninacho kiongea.Programming ni shughuli si ya kitoto,programming wana gusa gusa tu ila sio deep,wazuri kwenye Server,Linux,Networking na Database kidogo.

Nina wanangu watatummoja yupo eGA programmer anapiga kazi kampuni mbili,hapo kuna viproject vidogo vidogo vya pembeni kwa wiki hakosi laki tano.

Mwengine kajenga ndani ya mwaka,huyu ndio hatari hii Java na C++ anaipiga tokea yupo advance ,huyu sasa anachukuliwa kutengeneza zile system konki na makampuni makubwa.

Mwengine tulivyo maliza chuo kasema yy hatoajiliwa na kweli sasa komaa kama miezi miaka mitatu,sasa hivi anapata project mfululizo na ndiye aliye nishauri nikazanie code.
Dah mkuu unatu motivation speaker au ya kweli haya.

Yaani utaamjniwa vipi bila cheti sasa??
Hebu tufafanulie kabla hatujaenda darasani.
Me nilisoma ICT(informational communication technology)
 
Nakukatalia mimi toka nimalize chuo nina miaka saba,jamaa zangu kwenye field hii ya cyber wana miaka mitano,najua ninacho kiongea.Programming ni shughuli si ya kitoto,programming wana gusa gusa tu ila sio deep,wazuri kwenye Server,Linux,Networking na Database kidogo.

Nina wanangu watatummoja yupo eGA programmer anapiga kazi kampuni mbili,hapo kuna viproject vidogo vidogo vya pembeni kwa wiki hakosi laki tano.

Mwengine kajenga ndani ya mwaka,huyu ndio hatari hii Java na C++ anaipiga tokea yupo advance ,huyu sasa anachukuliwa kutengeneza zile system konki na makampuni makubwa.

Mwengine tulivyo maliza chuo kasema yy hatoajiliwa na kweli sasa komaa kama miezi miaka mitatu,sasa hivi anapata project mfululizo na ndiye aliye nishauri nikazanie code.
The majority of entry-level
cybersecurity jobs do not
require coding skills. However, being able to write and understand code may be necessary for some mid-level and upper-level cybersecurity positions that you will become qualified for after you've built a few years of experience.

Huo ndo uhalisia uliopo.
 
Back
Top Bottom