Hapa ninazungumzia suala la afya za watoto wetu hawa tunaowazaa.
Inataka kuzoeleka sasa kwa watoto kuzaliwa wakiwa tayari wakiwa wameathirika na ukimwi licha njia mbalimbali za kitaalamu kuwepo.Sasa hivi mashuleni utakuta vitoto vidogo vinatumia dozi (ARVs) au ukipita CTC baadhi ya siku za jmos...
Wakuu nimeanza mahusiano na binti wa Kihaya amehitimu mwaka Jana MUHAS - Doctor of Medicine (MD)
Sasa anatafuta ajira ila nilipofikisha taarifa home kuwa nataka tupeleke mahari kwao. Wazazi wamekataa katakata bila sababu.
Ushauri tafadhali. Mimi Mnyasa wa Mbamba bay.
Mapenzi yana nguvu sana.Humfanya mtu apoteze uwezo mzuri wa kufikiri.
Kipindi namchumbia mke wangu alipata upinzani kutoka kwa wazazi wake kwa sababu tuko makabila tofauti. Lakini alikuwa ananipenda sana na aliwaeleza kwamba wakikataa ataondoka na kunifata. Wakaleta kikwazo cha mahali...
Nimeangalia video za mtoto Charles Mbena, Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kujalia maarifa ya ziada. Mtoto wa miaka sita kumudu hesabu za kutoa na kujumlisha kwa kiwango cha Charles ni kusema Jina na Mungu lihimidiee.
Kuna taasisi zilizojitokeza kumsaidia Charles, nimemuona mpaka RAS amefika...
Salaam wakuu.
Kuna wimbo mmoja unaimbwa sana juu ya elimu bure katika utawala wa awamu ya tano wa Magufuli. Kama ni kweli elimu hiyo inatolewa bure, basi kuna watumishi wanamuhujumu. Shule ya Sekondari Maendeleo, iliyopo Kata ya Wazo wilaya ya Kinondoni inawatoza wazazi na kuwazuia wanafunzi...
Utakuta mtu anakuletea mtoto wake ati ukae nae yeye kamshindwa tabia, sasa umemshindwa wewe uliyemzaa nitamuweza mimi ambaye sijui uchungu wa huyu mwana?
Ati anakuletea ukae naye kisa maisha magumu hivyo msaidie kulea, kwani akikaa huko huko na wewe mzazi wake alafu mimi nikawa namsaidia akiwa...
Ndugu wazazi wenzangu wasalamu,
Kuna jambo nataka niwaeleze, na hii ni pamoja na vijana wenzangu, wanaopata maisha ya tabu kwenda kusoma miaka zaid ya 18 kutegemea ndoto ambazo hazitimii.
Nitaeleza kidogo:
Hapo zamani kidogo, chini ya miaka ya 2000s ilikuwa ni lazima mtoto afaulu Darasa la...
Kuna jirani hapa nilishangaa sana alipomuachisha chuo kijana wake akiwa mwaka wa pili, Huyu kijana alikuwa anasomea degree ya procurement, mzee wake akamwachisha kinguvu.
Nikaja kujua kwamba mzee alikuwa anahofia sana mtoto wake anaweza kutekwa na maisha ya kuajiriwa na kuacha kabisa biashara...
"Ongea na Mwanaoo sema naye, sikio lako ligawe..
Mfungulie account ya busara na nidham, na siyo account ya mtandao Instagram"
Anaitwa Maalim Nash.
-Kaveli-
Wataalamu na watafiti wa elimu ya mendeleo ya watoto wadogo wanaamini kuwa zaidi ya asilimia 90 ya maendeleo ya ubongo hutokea kati ya kipindi cha umli wa mwaka mmoja (1) hadi miaka mitano (5). Hiki nikipindi muhimu sana kwa mtoto na hapa huwa anajua kipi kizuri kufanyiwa na kipi kibaya kufanyia...
Habari wadau.
Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe Mnyakyusa, Mhaya au Mchaga bila kutoa ufafanuzi.
Kwanini? Hebu tujadiliane, kama unafahamu chochote kuhusu makatazo haya funguka hapa tafadhali
Mh Chalamila ametoa kauli hiyo ili kuwalazimisha wazazi kupeleka chakula baada ya kubaini kuwa wameshindwa kutimiza wajibu huo kwa njia ya amani licha ya kupatiwa maelezo na kuelimishwa faida ya utaratibu huo .
Mtukufu Chalamila ametoa kauli hiyo ya maendeleo katika shule ya sekondari ya...
Mkazi wa Magoweko wilayani Goweko mkoani Morogoro, Secilia Ching’unyau (22) amenusurika kifo akijaribu kujiua kwa kunywa sumu ya kuhifadhia mahindi aliyoichanganya na pombe aina ya Vodka-Cuca kwa madai ya wazazi kutaka kuvunja mahusiano kati yake na mpenzi wake.
Akizungumzia tukio hilo leo...
Ukikutana na kila mzazi leo anataka shule inayofaulisha, wazazi wako busy kuulizia ufaulishaji wa shule.
Juzi matokeo yalitoka kila mzazi ama mlezi anakata kujua shule hiyo division one ngapi, sijui nini.
Swali langu, kwa nini wazazi ama walezi wameshikwa sana na ufaulu wa watoto, division...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Watoto wanaokuja nyumbani na vitu vya kuokota (Pesa, Midoli, Mipira). Je, ni sahihi kwa wazazi kuruhusu tabia hii?
Mimi siwezi kujisifia kwamba nilikuwa na wazazi makini sana katika suala la malezi kwa maana wakati nipo mdogo...
Kabla sijaenda kwenye maswali zaidi niweke wazi kuwa, I have never bought any Conspiracy lakini najua attention ya dunia dhidi ya corona is greater than the real problem.
Corona kuwepo ni jambo moja, impact yake ni suala jingine, Idadi ya wanaopona ukilinganisha na wanaokufa inaoesha haja ya...
Nashangaa sana ninapoona wanaume wanamtetea yule mzee!
Kwani angekuwa karibu na mwanae (hata kama ni wa kumlea) angeweza kusukumwa na mkeo (mama diamond)? mi sidhani.
Hivi angechukulia majukumu yake serious kama mzazi na kujitolea kwa asilimia 100% Diamond kweli angemsahahu? I doubt it...
Kwa jf member wote hongereni sana na pongezi kubwa kwa wale wote ambao mmelipa ada na watoto kesho wanarudi mashuleni.ni jambo la kupongezwa sana mmepambana.
Pia pongezi za pekee kwa wamama wale ambao wako single na watoto wamelipa ada uku baba zao wakiwa wanekaa kimya bila kuwasaidia...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania;
Bado kuna watu wazima wanaendelea kuzaa hata baada ya mtoto wao wa kwanza kuolewa? Mtoto wa mwisho analingana na mjukuu wa kwanza? Huku ni kukosa maadili.
Siku ya sherehe ya mwaka mpya nilikutana na...
Kuna tabia ya wazazi ama walezi wenye marafiki mbalimbali pia hata majirani kuwaambia watoto wao kuwa, waitane kaka na dada ama mjomba ama aunt. Hapa sijaeleweka ngoja nitoe mfano.
Wewe una mtoto mdogo na jirani yako naye ana mtoto mdogo, yule mtoto wako ukamsikia anamsalimia yule jirani yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.