Post Covid19 School Fees: Precious Schools inakomoa wazazi

MWananyati

Senior Member
Feb 3, 2011
160
53
SCHOOL FEES: PRECIOUS SCHOOLS INAKOMOA WAZAZI

Kwanza ni pole kwa wale wote ambao kwa namno moja wamepoteza ndugu zao wapendwa kwa mlipuko wa ugonjwa wa Korona. Mwenyezi Mungu awape roho ya ustahimilifu kwa kuondokewa na wapendwa wetu.

Mada:

1. Baada ya Serikali kutangaza kurejea kwa shughuli zote za kijamii ikiwemo kufungua shule za Msingi na Sekondari, pamekuwa na maelekezo ya kutosha kutoka Serikalini hasa kwa Waziri anayehusika na Elimu, Prof. Joyse Ndalichako kuhusu kurudi shuleni kwa Wanafunzi na mipangilio ya gharama za shule hasa kwa shule za binafsi. Mojawapo ya maelekezo ya Waziri ni Shule kutokutoza malipo ya ziada kwa wazazi kama Mwanafunzi alikuwa amemaliza ada husika kwa mhula uliokatishwa kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Korona.
Akisistiza, Waziri alisema wamiliki wa shule binafsi wasiwakomoe wazazi kwa kutoza malipo ya ziada Na kwamba aliyekuwa amemaliza ada na mhula ukakatishwa, haitampasa kulipa tena ada mpaka utaratibu utolewe. Na pia alisema Bodi za Shule husika zikae na zitoe utaratibu wa malipo kwa kuzingatia ratiba iliyotolewa na Wizara ya Elimu. Ndio muongozo uliopo.

2. Shule ya Msingi ya Precious iliyopo Goba, Manispaa ya Ubungo Mkoani Dar Es Salaam, ni kuwa imeamua kwenda kinyume na maagizo ya Serikali na kujiamulia kufanya kile ambacho wazazi tunaona ni kutukomoa.
Taratibu za kawaida za malipo ya ada (zikijumuisha stationery,chakula) ni kwa instalments ambazo utalipa January, May na August. Ambazo jumla yake bila usafiri ni 1,405,000/-. Kwa anayetumia usafiri ni 1,865,000/- na 2,065,000/- kutokana na umbali. Na kwa boarding inalipwa 2,305,000/- kwa mwaka ikijumuisha gharama za ada na malazi shuleni. Gharama hii ni kwa mwaka wa masomo 2020 ambao ungekuwa na siku za masomo 195 (siku 99 muhula wa kwanza, siku 96 muhula wa pili) kwa mujibu wa ratiba waliyotoa precious schools wenyewe. Nimeambatanisha.

3. Baada ya Serikali kutangaza shule kufunguliwa, hasa hii wiki ya mwisho wa mwezi, Mwalimu Mkuu na baadhi ya walimu wa madarasa wamekuwa wakituma meseji za kawaida na za kupitia mitandao ya Whatsapp kutueleza kuhusu mabadiliko ya mihula ya masomo, na pia kuhusu malipo ya ada za shule.

*Kwamba shule itapofunguliwa ulipaji wa ada za shule unaanza upya kwa maana ya kwamba ile pesa uliyolipia muhula wa kwanza na muhula huo haukuisha, hio hela haihesabiwi tena.
Ni kama imepotea sijui wapi. Ukitaka maelezo Zaidi unaambiwa ndivyo shule ilivyoamua kwa sababu iliathirika na ugonjwa wa Korona. Na hapa tumepewa deadline ya tarehe 2 Julai tuwe tumelipa ada husika. Hawazingatii kama kuna wazazi walilipa ada ya muhula mzima hivyo ile ada inatakiwa kuwa carried over muhula wa pili kwa zile siku zilizobaki muhula wa kwanza.
*Pili, kama ulikuwa unalipia usafiri, ni kuwa hio pesa ambay tulilipa kwa ajili ya usafiri kwa kipindi husika cha muhula wa pili, nayo imepotea. Haihesabiki popote. Unatakiwa ulipe usafiri upya.

MAAJABU
Wanachotukomesha ni kuwa pamoja na siku za muhula zimekuwa chache lakini kiwango cha ada kimebaki kilekile. Ratiba ya mihula mpya waliyotoa wanaonyesha mihula itakuwa na siku 115 ambapo muhula wa kwanza utakuwa na siku 43 na muhula wa pili siku 72. Pamoja na kupungua idadi ya siku za masomo, gharama ya ada imebaki palepale yaani bila usafiri ni 1,405,000/-. Kwa anayetumia usafiri ni 1,865,000/- na 2,065,000/- kutokana na umbali. Na kwa boarding inalipwa 2,305,000/- kwa mwaka ikijumuisha gharama za ada na malazi shuleni.

Kumbuka ratiba ya mihula ya awali ilikuwa na jumla ya siku za masomo 195 (siku 99 muhula wa kwanza, siku 96 muhula wa pili). Kwa sasa siku za masomo zimekuwa 115 tu.

Wazazi Wanakomeshwa.

Kwa maelezo ya waalimu wanayotoa kuwa shule imeathirika kwa ugonjwa wa korona hivyo gharama zinakuwa nyingi za uendeshaji, Je wazazi ndo waliileta hio Korona mpaka shule iamue kuwa tutoe ada kama ilikuwa ili kufidia hasara waliyopata? Au wanataka kusema Serikali ilifanya makosa kusimamisha masomo kwa ajili ya maisha ya watoto na walimu wengi wakiwemo hao wa precious? Na Je, ni ukaidi wa uongozi wa shule dhidi ya maelekezo ya Wizara ya Elimu?

Tukiwashauri waitishe kikao na wazi hawataki, ila wanatuma taarifa kwa njia ya sms na whatsapp tu maana wanajua hawatakuwa na hoja kuhusu huu uonevu wanaoufanya.

OMBI KWA MAMLAKA YA ELIMU
Zipo Shule nyingi sana zinakomesha wazazi kipindi hiki. Wakurugenzi wanataka kupata super profit ilhali madhara ya Korona yamekuwa yakiathiri kila sekta ya uchumi ya nchi.
Tunaomba Wizara kupitia Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo, na waratibu wa Elimu wa Kata, kufuatilia hili suala ili kusaidia kuondo uonevu huu wa wazazi shule ya Precious, ili tuweze kulipa kile kinachostahili. Wafuatilie na kujua kwanini uongozi unakaidi maelekezo ya Waziri? Au wanahitaji kauli ya Mheshimiwa Rais Magufuli kuhusu utekelezaji na maagizo ya waziri (na huu uonevu unaofanywa)?

Tunatozwa ada ya mwaka mzima wakati siku za masomo zimepungua. Na pesa waliyolipia wazazi kipindi ambacho shule zilifungwa irudishwe ama watoto waendelee kubebwa maana kipindi hiko usafiri ulisimama. Magari yalipark. Sasa kwanini unachukua pesa yetu wakati watoto hawakutumia usafiri?
Mkurugenzi Ngoiya kwanini unatuumiza wazazi? Au kwa kuwa idadi ya watoto inaongezeka ndio unafikiria kuwa hatuwezi kuwapeleka kwingine kama tulivyowatoa huko na kuwaleta hapo kwako?
 
Attachments

  • 1 School fees.jpg
    1 School fees.jpg
    94 KB · Views: 3
  • Mpya School Fees.jpg
    Mpya School Fees.jpg
    92.9 KB · Views: 3
Mbona sielewi unacholalamika, ukisoma hiyo ratiba ada ipo vilevile, mkuu hebu pitia mwongozo uliotolewa na wizard ya elimu,

Shule hazitakiwi kuongeza ada, inaonyesha mmeshalipa 400k January, hivyo mnatakiwa mlipe July installment ya pili, 350k na kuendelea..
 
Jipange na ulipaji wa ada January inakuja

wacha kulalama, hii ni ishara kwamba unapenda vitu vya juu wakati uwezo wako wa chini

shule bila ada zipo nyingi, mchukue mtoto wako akoseme huko
 
Tunatozwa ada Poleni Mkuu,they are trying to covidize parents through their precious education,,! mwaka mzima wakati siku za masomo zimepungua. Na pesa waliyolipia wazazi kipindi ambacho shule zilifungwa irudishwe ama watoto waendelee kubebwa maana kipindi hiko usafiri ulisimama. Magari yalipark. Sasa kwanini unachukua pesa yetu wakati watoto hawakutumia usafiri?
Mkurugenzi Ngoiya kwanini unatuumiza wazazi? Au kwa kuwa idadi ya watoto inaongezeka ndio unafikiria kuwa hatuwezi kuwapeleka kwingine kama tulivyowatoa huko na kuwaleta hapo kwako?
 
Poleni Mkuu,they are trying to covidize parents through their precious education!
 
Back
Top Bottom