muda mwingi nipo kazini hivyo dukani naacha msaidizi.
Kwa miaka miwili mfululizo duka lilikuwa na wateja wengi na nilidhani mimi ndie mjanja nilieumiza kichwa kuchagua eneo zuri, kuweka bei, kuweka bidhaa original, n.k. yani niliona mimi ndio genius, kila baada ya wiki 2 mzigo ulikuwa unakata...
Kiongozi hatokei Kila mahali na Kila kabila.
Wamasai ni moto wa kuotea mbali.
1. Sokoine - Monduli
2. Lowassa - Monduli
Weka Hapo Msuya , Kilimanjaro.
Sio Kila mahali unamchukua hapo Kiongozi.
Watoto wawili wa miaka saba na mitano wakazi wa Makole mkoani Dodoma wenye uzito uliopitiliza wamefikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya maradhi yanayowakabili.
Akiongea baada ya kuwapokea Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Dharura, Dkt. Asha Iyulla...
Nikiwaambia nitafuteni GENTAMYCINE niwatafutieni Wachezaji mahiri na wa Kazi Kazi kweli hamtaki na mnawapa Jukumu hilo Wanafiki na Wapigaji.
Nimeucheza Mpira, Naujua Mpira na Nauchambua Mpira hivyo nikisema hujui jua hujui na nikisema unajua jua unajua.
Aliyeamuru kuwa Mshambuliaji Moses Phiri...
Kuna washkaji zangu wawili since 2018 nilikuwa napiga nao madeal 2022 wakapata deal 1 wakapiga wenyewe hawajanishirikisha wakanunua subaru 2 starehe kila siku
Huwa sijawahi watafta tena wala kwenda kwao leo wananitafta wamekwama hawana pesa tena 😅😅 nashindwa niwajibu nini 🙌🏿🙌🏿
Ndugu wa wafanyabiashara wawili wa mbao waliopotea mwaka jana, wameliangukia Jeshi la Polisi nchini, wakitaka liwasaidie kuwatafuta ndugu zao.
Familia hiyo imesema kuwa imewatafuta ndugu zao hao bila mafanikio, hivyo inaliomba jeshi hilo kuwasaidia kufanya hivyo.
Wafanyabiashara hao wa mbao...
Huyu jamaa ni habari nyingine, baada ya kupigana na kuchakaza mabondia kadhaa ndani na nje ya nchi. Jamaa ameamua tarehe 27 apigane na mabondia wawili siku moja.
Shule ya Msingi Ngingama, yenye wanafunzi zaidi ya 400 iliyoko wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma ina walimu wawili wa kuajiriwa na mmoja wa kujitolea, hivyo wanafunzi wanatumia muda mwingi kucheza badala ya kusoma.
Kutokana na changamoto hiyo, wazazi, wanafunzi na walimu wameomba walimu waongezwe...
Wanakumbi.
Taarifa za hivi punde kutoka kwa Hamas zinadai kuwa mateka wawili kati ya watatu walioonyeshwa kwenye video yao ya awali wamekufa kutokana na mashambulizi ya Israel huko Gaza.
Wanajeshi wa Israel kutoka kitengo cha 36 baada ya kuondolewa Ukanda wa Gaza wameshangilia sana wengine...
Tarehe 8 Januari 1989 serikali ya Uganda ilitoa wito kwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo kumpeleka Idd Amin nchini Uganda ili kujibu mashtaka yanayomkabili ikiwemo uvunjifu wa haki za binadamu. Lakini serikali ya nchi ya DRC wakati ule ikiitwa Zaire ilikataa kutii wito huo.
Pichani anaonekana...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwapiga risasi zilizopelekea vifo vyao Vijana wawili Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) Wakazi wa Vingunguti Jijini Dar es salaam ambapo wamesema Vijana hao walikuwa Wahalifu (Panya Road) na kwamba mwenzao wa...
Mipango yangu mimi pamoja na Shamsa imeingiwa kidudu maji. Tulipanga kupeana ujauzito, kisha tumtunze mwanetu mpaka pale atakapofikisha umri wa kwenda shule ili tumnunulie kiufagio na kidumu cha lita 5 akaanze vidudu, aje kutusaidia baada ya miaka 20 ijayo
Baada ya kukutana na hawa mabinti...
Vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) wamefariki dunia huku vifo vyao vikigubikwa na utata kwakuwa mara ya mwisho December 27,2023 walichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwao Vingunguti Jijini Dar es salaam na Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari na kisha...
Naandika moyo wangu ukiwa unavuja damu juu ya vifo vya kikatili vilivyowatokea watanzania Clemence na Joshua.
Namuomba Mungu aendelee kuzikumbatia familia zao na kuwapa faraja kuu.
Nimemsikiliza moja ya ndugu wa Joshua akielezea namna serikali ambavyo haikuipa uzito suala ya vijana hawa wa...
Salaam / Shalom!!
INTRODUCTON.
(Mwanzo 2:18,21-24) na (Mathayo 19:3-9).
NDOA ni muunganiko wa KIMWILI kati ya mume mmoja na mke mmoja KIMWILI na kiroho.
Asili ya NDOA ni Mbinguni, NDOA ni usafi, NDOA ni utakatifu.
Kila mtu aliyezaliwa Huwa anae mtu mmoja ambaye Huwa ndiye ubavu wake. Na hao...
Anasema chama cha siasa kisichokukwa na majadiliano ni chama mfu. Lissu anasema yeye na Mbowe ni watu wawili tofauti ambao wanaweza na iko hivyo kuwa na mtazamo tofauti juu ya kitu kimoja. Na hiyo ndiyo AFYA/UHAI ya chama cha sisasa. Anasema haijawahi kutokea kusuguana /kuzozanana Mbowe
My...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya katika kipindi cha kuanzia Novemba 01, 2023 hadi Novemba 11, 2023 limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 34 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo mauaji, utoroshaji madini, wahamiaji haramu, wavunjaji na watengenezaji na wasambazaji wa noti bandia.
Jeshi la Polisi Mkoa wa...
Ukiachana na wale wa mbali kidogo kama washikaji ambao huibuka mara kadhaa pale tu wanapokuwa na shida, nilibakisha watu wawili ambao niliamini ni wa kweli ila sasa nimefikia hatua ya kuwafuta pia.
1. Huyu wa kwanza yeye huwa karibu sana pale anapokuwa na matatizo ya kifedha, atakuwa na...
Wanaukumbi.
Watanzania wawili na raia mmoja wa Africa Kusini ni miongoni mwa mateka 224 wanaoshikiliwa na Hamas baada ya mashambulizi ya Oktoba 7 nchini Israel, serikali ya Israel inasema.
Hakuna hata mmoja kati ya hao watatu aliyetajwa.
Mamlaka ya Tanzania hapo awali ilikuwa imethibitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.