wawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mwanamke, dereva wafariki dunia baada ya bajaji kugonga treni

    Mwanamke aliyetambulika kwa jina moja la Fatuma anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 35 hadi 39 na dereva wa bajaji ambaye naye jina lake halijafahamika wamefariki dunia leo baada bajaji waliokuwa wanasafiria kugonga treni eneo la Modeko Kata ya Mazimbu mkoani Morogoro.
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kibaha: Watu wawili waliotoka jela kwa msamaha wauawa

    Watu wawili waliotoka gerezani hivi karibuni kwa msamaha wa Rais wameuawa baada ya kukamatwa wakidaiwa kuiba vitu mbalimbali huko kwa Mathiasi mjini, Kibaha mkoani Pwani. Watu hao walifungwa kwa makosa ya wizi katika kesi ya jinai namba 273/2020 na 260/2020 na walipata msamaha wa Rais wa...
  3. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Bill & Melinda Gates watalikiana

    Baada ya miaka 27 ya ndoa, wawili hao wenye ukwasi wa kutosha na ambao wamekuwa wakisaidia miradi mbalimbali ya kijamii duniani kupitia foundation yao wameweka pete chini. ===== Bill and Melinda Gates have announced their divorce after 27 years of marriage, saying "we no longer believe we...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mkuranga: Serikali yakifunga Kiwanda cha Nondo kutokana na vifo vya Wafanyakazi wawili

    Mkurugenzi mkuu wa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (Nemc), Dk Samuel Gwamaka amekifunga kiwanda cha nondo cha Fujian Hexingwang kwa sababu hakina mazingira mazuri ya watu kufanya kazi. Hatua hiyo imetokana na vifo vya wafanyakazi wawili wa kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Mkuranga...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Radi yaua watoto wawili wa familia moja Handeni

    Saturday May 01 2021 In summary Waliofariki ni Jafari Amiri (12) mwanafunzi wa darasa la nne na Hamidu Amiri (9) mwanafunzi wa darasa tatu. Handeni. Watoto wawili wa familia moja wakazi wa kata ya Malezi wilayani Handeni Mkoa wa Tanga wamefariki baada ya kupigwa na radi. Diwani wa Malezi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tangu CCM iasisiwe mwaka 1977 sijawahi kuona nafasi ya Mwenyekiti taifa ikigombewa na watu wawili au zaidi!

    Najaribu kuweka kumbukumbu sawa kwa sababu kuna watu wanadhani ni rahisi sana kuweka wagombea zaidi ya mmoja kwa nafasi ya mwenyekiti. Alianza hayati Nyerere, akaja mzee Mwinyi, akaja hayati Mkapa then mzee Kikwete kisha hayati Magufuli wote hawa hawajawahi kushindanishwa na yoyote. Tusilete...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Alipokufa Sokoine hapakuwepo mitandao ya kijamii lakini kuna Wanasiasa wawili walisingiziwa kuhusika. Hii tabia ilianza zamani

    Kwa wale wahenga akina Pascal Mayalla, Mrangi, Mmawia na mzee Mgaya mtakumbuka baada ya aliyekuwa waziri mkuu hayati Sokoine kufa kwa ajali ya gari Morogoro kuna wanasiasa wawili walisingiziwa kuhusika na kifo chake. Wakati ule hapakuwepo mitandao ya kijamii lakini uzushi ule ulisambaa nchi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hebu malizeni huu Ubishani wetu wa 'Kijiwe Nongwa' chetu je, kati ya hawa Wawili nani anamtuma na kumvimbia Mwenzake Kicheo?

    Je, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ya nchini Tanzania Dkt. Hassan Abbas na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu na Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa nani ni 'Boss' wa Mwenzake na nani pia anatakiwa kuwa Mnyonge kwa Mwenzake? Sasa Generalist nasubiri Mirejesho yenu.
  9. msovero

    JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari yenye Walimu wawili Mkoani Geita yaililia Serikali

    Shule ya sekondari magema iliyopo halmashauri ya wilaya ya Geita mkoani Geita ina walimu wawili tu hali inayopelekea idadi kubwa ya wanafunzi kushindwa kufundishwa masomo mengine yakiwemo ya sayansi kutokana na uhaba wa walimu. Wakizungumza na kituo cha ITV, wanafunzi katika shule hiyo...
  10. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

    Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation. Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka tuachane naweza kuachana na mmoja lakini mimi mwenywe siwezi. Mmoja niko naye kwenye mahusiano kwa muda...
Back
Top Bottom