wawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Je, Mwenyekiti wa Bunge la Katiba 2014 na Rais wa sasa, ni watu wawili Tofauti?

    Itakumbukwa kuwa, kabla ya zoezi la kukusanya maoni ya Katiba chini ya Warioba, Katiba hii ya 1977 ilitolewa copy na kugawiwa Kwa wananchi tuisome na kuelimishana vijiweni masokoni na sehemu mbalimbali na zoezi hili lilifanikiwa vizuri!! Kutuambia turudi Kuelimishwa tena na watu watu wale wale...
  2. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Morogoro | Ajali ya basi la Abood yawaua wawili , Wengine wajeruhiwa

    WATU wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Abood na Noah zilizogongana uso kwa uso asubuhi ya leo Septemba 11, 2023 eneo la Kitungu Manispaa ya Morogoro. Ajali hiyo imehusisha basi lenye namba za usajili T904 DKY mali ya Kampuni ya...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar: Watu Wawili kizimbani wakidaiwa kubaka

    Vijana wawili, Erick Filbert (27) na Jafari Said (23) wakazi wa Wilaya ya Temeke wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Wilaya ya Temeke kwa mashtaka ya ubakaji. Wawili hao wamesomewa mashtaka yao wanayodaiwa kuyatenda kwa nyakati tofauti na Wakili wa Serikali, Amedeus Mallya mbele ya Hakimu Mkuu...
  4. Marco Polo

    JamiiForums Tanzania Duniani Wawili Wawili

    Digui Dagara vs Mayele jr
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wawili wasakwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linawasaka watuhumiwa wawili ambao wanadaiwa kuwa ni majambazi na kuhusika na uvamizi na mauaji ya wafanyabiashara wawili uliotokea Mtaa wa Kambarage Agosti 29 mwaka huu mkoani Njombe. Hayo yamesemwa leo na Kamanda wa Polisi, John Imori wakati akizungumza na...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Majangili wajeruhi Askari wawili wa TANAPA katika Hifadhi ya Burigi Chato

    Jeshi la Uhifadhi -TANAPA wakitekeleza majukumu yao ya Ulinzi wa Rasilimali za Taifa katika Hifadhi ya Taifa Burigi-Chato walibaini ujangili wa nyama na kufanikiwa kukamata majangili wawili kati ya watatu waliokuwa wakiwinda hifadhini. Aidha, katika jitihada za kuwakamata majangili hao askari...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wawili akiwemo mchungaji washikiliwa na polisi kwa kulaghai mchawi kadondoka na ungo kanisani kwenye mkesha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashilika watu wawili akiwemo Emanuel Paul Karata (35) mchungaji wa kanisa la PENTEKOSTE GOSPEL MISSION lililopo Kibaha kwa ulaghai wa kutaka kupata waumini kwa kusingizia mchawi amedondoka kwenye maombi ya mkesha wake na waumini. Wamewashikilia kwa mahojiano...
  8. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Watanganyika wawili ndiyo walikuwa na shahada ya kwanza mpaka kufikia Desemba 9, 1961

    Habari ndio hiyo wakuu, Mpaka Tanganyika inapata uhuru wake mwaka 1961, ni wananchi wawili tu walikuwa wamesoma kwa kiwango cha shahada ya kwanza(Degree). Wa kwanza alikuwa ni Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye alikuwa ni Rais wa kwanza na baba wa Taifa. Mwalimu Nyerere alikuwa na...
  9. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Kikristo ni dhambi gani unakuwa umeitenda ukiamua kuwa na wake wawili au zaidi

    Je ni dhambi kuoa mke zaidi ya moja ? Kama ni dhambi, hio ni dhambi ipi waliyoitenda pia kina Musa, Lameki, Yakobo, Daudi, n.k. kwa kuoa zaidi ya mke moja ?
  10. O

    JamiiForums Tanzania Ndugu wawili kunyongwa kwa mauaji ya kikatili

    Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Kigoma, imewahukumu adhabu ya kifo, wakazi wawili wa kijiji cha Msebei katika Wilaya ya Uvinza baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua kikatili mkata kuni kijijini hapo kwa kutumia shoka. Mtuhumiwa mkuu wa mauaji hayo, Hamis Nzovu ambaye alimkata marehemu...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi Mtwara inawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji disko

    Mtwara. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limewakamata watu wawili huku likimtafuta mtu mmoja kwa tuhuma za mauji ya Mahadhi Selemani Humbu (20). Tukio hilo lilitokea katika ukumbi wa disco ujulikanao kama ‘The Don’ uliopo Kata ya Ziwani katika Halmashauri ya Wilaya Mtwara June 30 mwaka huu baada...
  12. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbarawa umejiandaa baada ya uwaziri kuisha? Wenzio wawili wana kinga ya kutoshitakiwa

    Nakukumbusha kaka yangu, mtanzania mwenzangu Bwana Makame Mbarawa kuna mawaziri wa zamani Bw. Yona na Bw. Mramba waliishia jela kisha wakaenda kufagia vyoo hospital za umma baada ya uwaziri wao. Hili sakata la uwekezaji wa bandari za Tanganyika unaweza kuja kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Songwe: Amuua mtoto wa mumewe akimtuhumu kupoteza ng’ombe wawili

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limethibitisha kumkamata Veronica Petro (24) mkazi wa Wilaya na Mkoa wa Songwe akituhumiwa kumuua mtoto wa mume wake, Mageshi Usiga (7) aliyekuwa akimlea. Kamanda wa polisi mkoani humo, Theopista Malya, amesema mtuhumiwa alitenda kosa hilo baada ya mtoto huyo...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kwani ukisema tu kuwa hao Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC wamekuja kwa 'Trials' utapungukiwa nini?

    Yaani kila Siku tu Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe unazidi tu Kujichoresha na Kujidhalilisha kwa Kauli zako. Wenye Akili zaidi yako tunajua kuwa kuna Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC ya nchini Uganda wamekuja kufanya Majaribio (Trials) na Yanga SC na cha Kushangaza Wewe umehojiwa na...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Pitia CV's za 'Kienyeji' za hawa watu wawili kisha niambie kati yao Mcha Mungu wa kweli ni yupi?

    #1. adriz Anasali kila siku, anatoa Sadaka, anaimba kwaya, ana maisha ya juu (Tajiri) husoma neno Kanisani, ana maringo (majipu), dharau anazimiliki yeye, mpenda majungu, Mfitini tukuka na anaaminika na wasiomjua. #2. GENTAMIYCINE Ana mwaka wa 11 sasa hata Mlango wa Kanisa Katolilki haujui...
  16. beatboi

    JamiiForums Tanzania Malezi ya Mama pekee husaidia kugundua kipaji kuliko ya wazazi wote wawili

    Naamini kila binadamu amezaliwa na kipaji ila ukija kwenye uhalisia inakuwa tofauti, 1. Watoto waliolelewa malezi bora(baba na mama) wanakosa muda wa kuangalia vipaji vyao kwa kubanwa pande zote mbali. huwa na vipaji vya elimu? wenyewe wanakwambia wana vipaji vya kusoma japo wengine wananunua...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Askari wawili wadaiwa kumshushia kipigo kijana na kumsababishia kifo wakimtuhumu kuiba baiskeli

    Kijana aliyefariki anaitwa Mandela Petro inadaiwa alishambuliwa akiwa mtaani na Askari wawili wakimshutumiwa kuhusika katika wizi wa baiskeli ambapo baadaye baiskeli husika iliyodaiwa kuibiwa ilipatikana na kubainika marehemu hakuwa mwizi, Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu. Ikidaiwa mmoja wa Askari...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Meli yazama ziwa Tanganyika na kuua wawili

    Wawili wafariki kwa ajali ya Meli ndani ya ziwa Tanganyika. Watu wawili akiwemo kapteni wa MV. Tanganyika wamefariki kwenye ajali ambayo imetokea usiku wa tarehe 16 juni 2023 Meli hiyo ambayo ilikua ikitokea Kigoma nchini Tanzania kuelekea Kalemi nchini RDC ikiwa na mzigo wa mafuta ya petroli...
  19. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mke na watoto wawili lakini napenda sana mabarmaid

    Wakuu, hii inaenda kunipoteza, hapa nilipo nimetoka kidogo kupiga vyombo ila kuna huyu barmaid nisipoondoka nae leo sidhan kama nitalala. Yaan hii kama ni fetish basi nimekamatwa mwenzenu, naenjoy sana kubaiolojiana na mabarmaid kuliko pisi za kawaida wakifuatiwa na masecretary. Wataalam...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ninafuraha Kwa sababu nimezaa Wawekezaji Wawili na Nchi

    Habari Mkuu! Ilikuwa ndoto yangu kubwa kuwa mwekezaji mkubwa katika taifa langu. Ndoto hiyo ya muda mrefu sasa inaenda kutimia. Miaka miwili iliyopita nilikuwa kwenye Project moja ambayo inaendeshwa na Taifa la Marekani. Hapo ndipo nilikutana na pass ya wazi kabisa Baada ya kuonana na Skyler...
Back
Top Bottom