Lilivyo Kundi D kwa sasa katika CAFCL ndiyo hao hao Wawili wa Juu watakaofuzu na Wengine watafuzu tu Kushinda Tano Tano za Rushwa Ligi yao ya Nyumbani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,034
Kama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita / watavuka Kuingia hatua ya Pili.

Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?
 
Mkuu ,Are you mentality fit?

Or You are fit because you dont have sex but you have a wife

Huu mtindo wa kuandika mada kama unafukuzwa na mbwa unapoteza lengo kuu

Jaribu kutulia,kunywa maji halafu andika taratibu
 
Naona dishi limeshayumba tayari. Nadhani ni wakati sasa wa kuanza kukusanya michango kwa ajili ya nauli ya kukupeleka Mirembe Dodoma, au Lutindi Korogwe Tanga kuchukua zile dawa zako.
 
Kwa wale mastriker wenu walivyo wazito hata kudrible ni issue bora mngewaacha Phiri na Baleke. Nafasi hamtengenezi mnasubiri za kujigonga gonga,msipo badilika hapa Dar naiona droo.Maana mfumo wa kocha wenu na wa Galaxy unafanana kila kitu na kama ikitokea Galaxy akitangulia mtashudia bus kwenye goli la Galaxy ambalo hamjawahi kuliona.
 
Kama kweli ulisoma vyema Somo la Hisabati Shuleni Kwako na ukiwa ni Mtafiti na Mchambuzi wa Masuala Mtambuka, Mdadisi kama GENTAMYCINE ukiangalia tu kwa sasa Msimamo ulivyo wa Kundi D la CAFCL utakubaliana nami kuwa Wawili wa Juu na ambao ndiyo wanajua hasa Mpira na Mikakati ndiyo watakaopita / watavuka Kuingia hatua ya Pili.

Ukiuchukia huu Uzi jua huna Akili Ok?
midomo midomo tushazoea...
 
Back
Top Bottom