watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unazaa kwa kuwa umejipanga au unazaa tu ili ionekane na wewe una watoto?

    Ndugu zangu Kumekuwa na kundi kubwa sana la vijana kuzaa zaa tu hovyo bila mpangilio wowote. Nini mantiki ya kuzaa na kuwaleta watoto dunian wateseke? Unakuta mtu anazaa tu kwa kuwa ameona rafiki yake amezaa. Na yeye anaamua kuzaa tu hasa wanawake. Wapo wanaozaa tu wakishituka kuwa hawakuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hakuna maisha bila watoto wa kike. Nimechoka

    Mtanisamehe sana wale wenzetu mlio katika mfungo mtakatifu. Muda huu ndo napata kugundua kuwa hakuna maisha pasi na mwanamke. Nimekaza sana ndugu zanguni, huu ni mwezi wa sita sijaiona mbususu tofauti na kwenye simu tu. Hii ilikuwa ni baada ya kugundua kuwa hawa viumbe wanamaliza sana mifuko...
  3. JamiiForums Tanzania Licha ya kuambiwa chuo kuna watoto wakali. Lakini kuna Watu walimaliza chuo bila kupata demu yeyote

    Kwema Wakuu! Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru. Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye wanafunzi wengi tulijionea maua ya Dunia. Kulikuwa na warembo wa kila namna. Mimi ndoto yangu...
  4. JamiiForums Tanzania Wazazi mngejua adha wanazopata watoto wenu katika daladala mngetamani kuwahamisha shule za karibu

    Huenda wakati mwingine kama wazazi huwa tunapenda wenetu wasome katika shule zenye majina makubwa au zile ambazo ni maarufu hapa jijini dar es salaam, lakini kiukweli maumivu ya usafiri wa daladala wanapata watoto wetu. Huwa wananyanyaswa Sana na makondakta, huzuiwa kupanda Magari,kama...
  5. JamiiForums Tanzania Je, wazazi mnaiona kesho ya watoto wenu?

    Samahani jamani sikuanza na salamu sababu kichwa kina mambo mengi, navyosema kichwa namaanisha hiki kilichobeba ubongo, so sitaki ufikirie tofauti. Nirudi kwenye hoja yangu, leo nimewaza tu kama mzazi, huku nikitambua wajibu wa mzazi kwa watoto wetu, kwani wazazi tunachangia kwa kiasi kikubwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mimi baba wa watoto watatu ratiba yangu ya asubuhi na jioni

    RATIBA YA ASUBUHI Naamka saa 11 au 12 kutegemeana na shughuli za siku. Nikiamka saa 11 ujue na shughuli na mama yoyo. Nikiamka saa 12 cha kwanza nachukua nguo za watoto( wawili wanafunzi) na zangu na kuzinyoosha. Muda huo wife anakuwa anapambana na kuwaogesha. Akimaliza kuwaogesha nampokea...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Sheria za kikristo zinaweza kumsaidia mwanaume anayehitaji watoto bila kuchepuka baada ya kuoa mke aliethibitishwa hawezi kuzaa?

    Mfano pale Arusha alikuwepo Mr Shayo mkewe alithibitishwa hawezi kuzaa, akakataa kuachwa au kuwa na mke mwenza sababu ukristo hauruhusu, nako kanisa la RC Arusha hawakuwa na cha kufanya, Mr Shayo alizeeka bila watoto mpaka umauti ukamfika. Ikitokea umeoa mwanamke ambae kathibitika yeye hawezi...
  8. JamiiForums Tanzania Wazazi wa mkoa wa Arusha wasaidiwe malezi kwa watoto wao

    Wazazi hawa wameshindwa kabisa kulea watoto wao hasa wa kiume Unakuta mtoto ameshafikisha umri wa kujitegemea lakini bado anaiehi kwa wazazi wake Tena anajiona ndani pale yeye ni kidume Kati ya vijana 10 walioachiwa urithi hasa wa mashamba Ni mmoja tu au wawili ndo walivitumia vizuri...
  9. JamiiForums Tanzania Ukatili dhidi ya watoto ni jambo linalosababisha maumivu makubwa

    Ukatili dhidi ya watoto ni jambo linalosababisha maumivu makubwa. Watoto wanakumbana na changamoto nyingi katika jamii, ikiwa ni shuleni, nyumbani, na hata mitaani. Watoto wanaweza kuteswa kwa njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kimwili, kihisia, kiakili, na kingono. Ukatili wa kihisia unaweza...
  10. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii: Ukishindwa kulea watoto pacha toa taarifa uweze upate msaada

    Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii, Mwanaidi Khamis amesema kuwa kama kuna wazazi wanakabiliwa na changamoto ya kushindwa kuhudumia watoto pacha watoe taarifa. "Natoa wito kwa wazazi wanaokabiliwa na changamoto ya kushindwa kuhudumia watoto pacha kutoa taarifa kwa wakurugenzi wa halmashauri...
  11. JamiiForums Tanzania Waislam tujenge vyuo vya kuwapa vijana ujuzi

    Kumekuwa na wimbi kubwa la ujenzi wa misikiti ambapo ni jambo jema japo mingine inajengwa karibu karibu sana na mingine nje sana; Kimsingi sipingani na huu utaratibu ILA kwa umuhimu, nimeona tuna nguvu kazi ya Vijana wengi sana mitaani ambao hawana ujuzi (hawa ajiriki) hivyo, nashauri misaada...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kukosa desturi ya kuandika Urithi na Wosia na kutowajulisha/husisha watoto kwenye biashara/mali unazomiliki kumesababisha matatizo mengi

    Mtu ni magonjwa na kashafika 60 cha ajabu hajaandaa Wosia wowote wala kuandika Urithi, anaacha kivumbi na kutoelewana pindi akifa. Mtu hawajulishi watoto wake kwamba ana mali fulani, matokeo yake kuna wapangaji wanaweza kujimilikisha nyumba ambazo hawajajenga, watu wanajimilikisha mashamba...
  13. JamiiForums Tanzania Watoto 78,000 wafanywa wakimbizi ndani ya wiki moja DRC

    Ndugu zetu wenye uchungu na Waarabu tunaomba kidogo muelekeze macho yenu kwa hawa weusi wenzetu wanaoteseka. Humu utakuta kunao hata wa dini yenu kama dini ndio hufanya mkomalie kuwalilia Waarabu. Displaced people seen in a refugee camp on the outskirts of Goma in North Kivu Province...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hungary: Rais ajiuzulu kwa kumpa msamaha mtu aliyehusishwa na kesi ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto

    Rais wa Hungary, Katalin Novak ametangaza kujiuzulu baada ya kutoa msamaha kwa mtu aliyeficha taarifa katika kesi ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya Watoto Mtu huyo alitiwa hatiani kwa kuwalazimisha watoto kubadili kauli zao kuhusu ukatili wa kingono uliodaiwa kufanywa na msimamizi wa kituo cha...
  15. JamiiForums Tanzania Watoto wa 95 na 96 hawana watoto ila watoto wa 2000 wengi wana watoto kuna tatizo mahali utafiti unahitajika.

    Sijui kama hilo na nyie Mmeliona watoto waliozaliwa 95,96,97, wanapitia maisha magumu ya kujitegemea kwa sasa huku wakiface pressure kubwa nyumbani ya kuoa au kuolewa hali ya kuwa wana maisha magumu sijui ilikuwaje hapo katikati wamecheza lakini hawakubahatika kupata angalau mtoto ila sio wote...
  16. JamiiForums Tanzania Watoto wa 95 na 96 hawana watoto ila watoto wa 2000 wengi wana watoto kuna tatizo mahali utafiti unahitajika.

    Sijui kama hilo na nyie Mmeliona watoto waliozaliwa 95,96,97, wanapitia maisha magumu ya kujitegemea kwa sasa huku wakiface pressure kubwa nyumbani ya kuoa au kuolewa hali ya kuwa wana maisha magumu sijui ilikuwaje hapo katikati wamecheza lakini hawakubahatika kupata angalau mtoto ila sio wote...
  17. JamiiForums Tanzania Lissu: Watoto wangu wana uraia wa Marekani, mbona Makonda kama ana Wivu

    Akifanya mahojiano na Mwanahalisi, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amejibu maswali kuhusu uraia wa watoto wake na pia kufunga ndoa na Mzungu. Akijibu maswali hayo, Tundu Lissu amesema watoto wake ni Raia wa Marekani kwa kuzaliwa, na pia kuhusu kuoa yeye alimsikia Makonda "Makonda...
  18. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa Dkt. Doroth Gwajima fuatilia kituo cha watoto yatima cha Ijango Ziada Ophanage

    Waziri wa ustawi wa jamii tunakuomba ufuatilie kutuo hichi kituo, ambacho kiko Sinza Madukani kinamillikiwa na mwanamama aitwae Ziada Ijango, kituo hichi kinahatarisha afya za watoto kina watoto wengi mpaka wengine wanalala nje kwa kukosa nafasi, pia huyu mama amekuwa akiwatumia hawa watoto kama...
  19. JamiiForums Tanzania Watoto wenye jinsia tata wafanyiwa upasuaji Muhimbili

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imewafanyia upasuaji wa mfumo wa mkojo na haja kubwa kwa watoto 31 na kati ya hao sita walizaliwa na jinsia tata, ambapo upasuji huo umefanywa na Madaktari Bingwa wa MNH kwa kushirikiana na wataalamu kutoka nchini Ireland na mwingine kutoka Bahrain. Akizungumza na...
  20. JamiiForums Tanzania Ma-anti wanavyonyanyasa watoto kwenye magari ya shule

    Huyu mdada maarufu kama wanavyowaita. Aunti nilishuhudia akimpa maneno makali bint mdg imeniuma sana ndio maana nimeileta hapa wahusika wafanyie Mimi mama edina sipendi kabisa hizi tabia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…