Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii: Ukishindwa kulea watoto pacha toa taarifa uweze upate msaada

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii, Mwanaidi Khamis amesema kuwa kama kuna wazazi wanakabiliwa na changamoto ya kushindwa kuhudumia watoto pacha watoe taarifa.

"Natoa wito kwa wazazi wanaokabiliwa na changamoto ya kushindwa kuhudumia watoto pacha kutoa taarifa kwa wakurugenzi wa halmashauri kupitia maafisa ustawi wa jamii ili waweze kupata msaada badala ya kutelekeza watoto na familia zao.” - Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii, Mwanaidi Khamis

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Back
Top Bottom