watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT yamewafanya watoto wetu kuwa wakatili badala ya kuwa wazalendo; mitaala yake ifanyiwe mapitio

    Tathmini yangu binafsi inaoonyesha mafunzo ya JKT yanawafanya vijana kuona kama wao ni wanajeshi na kwamba ujeshi ni ukatili kitu ambacho siyo kweli. Katika ulimwengu ulioendelea mwanajeshi ni binadamu mwenye mafunzo na nyenzo za kuisaidia jamii kukabiliana na maadui na siyo kuwafanya jamii...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninawapongeza wazazi wote wanaopambana kulea watoto wao wenyewe kwa namna yoyote ile

    Wakuu dunia imefikia pabaya. Watu wamekuwa na roho za kikatili zisizoelezeka. Wahanga wa matukio ya kikatili ni watu dhaifu na mafukara ambao hushindwa kupata haki kwa sababu haki zao huporwa na wenye hela waliowafanyia ukatili. Hizi nyakati sio za kuacha mwanao akakae na kulelewa kwa bibi...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awakana machawa, asema yeye hana makundi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa yeye hana kundi, bali anafanya kazi na kuwaongoza wotanzania wote kwa usawa na ndivyo alivyowataka wakuu wa mikoa wakafanye kazi kwa usawa kama yeye anavyofanya. Rais Samia ameyasema hayo leo Machi 13, 2024 katika halfa ya kuwaapisha baadhi ya viongozi...
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania CCM [Kilimanjaro] yavuna watoto wa VETA zaidi ya 100 kuwaahidi ajira!

    Leo 9-3-2024 Uongozi wa SENETI VYUO NA VYUO VIKUU (M) KILIMANJARO, Umezindua Tawi jipya La Idara ya Vyuo Chuo Cha VETA. Katika Uzinduzi Huo wa Tawi la Chuo Cha NVTC kwa sasa kinaitwa VETA kilichopo Moshi Mjini, Zaidi ya Wanachama Wapya 120+ Walisajiliwa Kwenye Mfumo wa Kielektroniki na Kupewa...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ashikiliwa kwa tuhuma za kuua Watoto wake kwa kuwanywesha sumu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Dainess Paul Mwashambo (30) mkazi wa Kijiji cha Mashese katika halmashauri ya Mbeya vijijini anayetuhumiwa kuwanywesha sumu ya kuulia magugu shambani watoto wake wawili Mario Semen Adamson (4) na mdogo wake wa kike aitwaye Beonis Semen Adamson (2) wote...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Wanaume watakiwa kutembelea Watoto Vituo vya Yatima

    Shirika la Nyumba (NHC) limepeleka moyo wa mawingu katika kituo cha watoto yatima kilichopo Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi ambapo limetoa zawadi mbalimbali zenye thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni mbili. Afisa Habari wa Shirika hilo, Domina Rwemanyila amesema jukumu la kutoa zawadi kwa watoto...
  7. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayefahamu tiba ya huu utando utando kwenye ngozi za watoto

    Kuna hii hali ya vidoa vilivyopauka kutokea kwenye ngozi ya mtoto. Naomba mwenye ufahamu wa tiba yake ya asili au ya hospitalini maana tuneshatumia dawa unaenda na kurudi.
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama yawaachia huru waumini wa Kanisa la Watch Tower waliokataa watoto wao wasipewe Chanjo ya Surua

    RUKWA: Mahakama Kuu, Kanda ya Sumbawanga imewaachia huru Wachungaji na Waumini saba wa Kanisa la Watch Tower Wilayani Kalambo waliohukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kuzuia Watoto walio chini ya umri wa miaka mitano kupewa chanjo ya Surua. Imefahamika hukumu iliyotolewa kwa...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani yatupilia mbali madai ya Watoto kutumikishwa Migodini DRC

    Mahakama ya Rufaa imetupilia mbali kesi iliyodai kwamba Kampuni 5 kubwa za Teknolojia (Apple, Microsoft, Tesla, DellTechnologies, na Kampuni Mama ya Google, Alphabet) zilikuwa zimehusika kutumikisha Watoto katika kuchimba Kobalti Nchini Congo DRC Mahakama hiyo iliamua kuwa japokuwa Kampuni hizo...
  10. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa watoto wangu

    Ntawapa mbinu na elimu ya kuishi kwenye hii dunia ila vitu, Kama nyumba, kiwanja nk. hiyo hapana Mimi Kama nitapata kwangu nitajenga nyumba yangu pembeni yenye chumba kimoja na sebule baaas. Mambo ya kuteseka kisa watoto ambao washakuwa wakubwa sitaki, duniani nafasi ni moja tu, ukienda...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini katika historia za Marehemu inawataja Mke na Watoto bila kutaja mali alizoacha?

    Naomba kujibiwa swali linalonitatiza, Inaposomwa historia fupi ya Marehemu inataja ameacha Mke na Watoto bila kutaja mali alizoacha katika uhai wake Mashamba, Nyumba na Magari? Pia katika Wosia aliondika katika uhai wake ameorodhesha Mali, Pesa na Madeni na mgawanyo wake bila kutaja Amewacha...
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mnanufaikaje na watoto, ndugu, au marafiki wanaofanya kazi huko nje ya nchi?

    Kumekuwa na shauku kwa vijana wengi kutamani kwenda kufanya kazi nje ama kuishi nje. Tukitegemea kuishi kwao nje, watafanya mambo makubwa hapa nchini, kama vile umiliki wa viwanda, umiliki wa makampuni makubwa n.k Lakini haya yote hayaonekani, tatizo ni nini? Au nyie mnanufaikaje kwa hao jamaa...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wazazi tukumbuke kuimarisha misingi ya maadili mema kwa watoto wetu si jambo linalofanyika mara moja, bali ni mchakato endelevu

    Maadili na tabia njema huchangia kwa kiasi kikubwa katika kujenga na kuimarisha jamii yenye amani na umoja. Tunapolea watoto katika misingi ya maadili mema na tabia njema, tunaimarisha uelewa na uwezo wao wa kupambanua matendo mema na mabaya. Pamoja na hivyo, wazazi tunapaswa kuwajengea watoto...
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Watoto mapacha waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa waruhusiwa kutoka Muhimbili

    Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umeishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na uwekezaji uliofanyika hospitalini hapa ambao umewezesha huduma mbalimbali za kibingwa na ubingwa bobezi kufanyika ikiwemo upasuaji mkubwa wa kutenganisha...
  15. onike kaponko

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo za watoto

    Naombeni ushauri nahitaji kufungua kampuni ya kuuza nguo za watoto kutoka china na uturuki me na ke kuanzia miaka 2-15 niwe nauzia Wafanyabiashara wakubwa na wadogo vipi kuhusu soko hilo la nguo kwa tanzania
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Watoto kufanya ukahaba jijini Dar es salaam. Tatizo ni nini?

    Kumekuwa na idadi kubwa sana ya watoto wa kike wanao jihusisha na biashara ya ukahaba. Wengi wao kimuonekano wanapaswa kuwa wanafunzi wa sekondari. Je tatizo linaweza kuwa nini na nini kifanyike kuokoa kizazi? Au hatujui madhara ya kuwa na kizazi cha makahaba. Ukahaba ni roho moja chafu...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kulea watoto na kuwa Mama wa nyumbani hakukupi Haki ya kugawana mali na mumeo pale mnapotalakiana

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii NI Kwa Watibeli wote. Wenye HAKI na kupenda Haki, wenye Upendo na kuupenda huo upendo, wenye Kweli na kupenda yaliyokweli, wenye Akili na kupenda maarifa na ufahamu. Jamii yote ya viumbe wenye utashi ikiwemo binadamu ielewe kuwa Hakuna namna nyingine ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali, elezeni ukweli kuwa watoto chini ya miaka 5 wanalipia huduma, kama sivyo kituo cha afya Kimara wawajibishwe kwa kutoza pesa na huduma mbovu

    Leo nilifika kituo cha afya Kimara baada ya ndugu yangu kuniita nikalipie gharama ili mtoto wake apatiwe matibabu baada ya kuanguka na kuumia mguu. Picha linaanza kuingia kwa daktari, mama wa mtoto anaeleza mwanaye kaumia baada ya kuaguka wakati anacheza, dk bila hata kumgusa wala kumwangalia...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Chagueni Bodaboda mnaowajua kuepusha matukio ya ukatili wa kijinsia kwa watoto

    Katika jitihada za kuzuia na kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa watoto nchini, wazazi na walezi wametakiwa kufanya uchaguzi sahihi na kuwatambua bodaboda wanaowapeleka watoto wao shule ili kuepuka vitendo hivyo. Rai hiyo imetolewa Februari 22, 2024 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Davido kutoa Tsh. Milioni 500 kwa vituo vya watoto yatima vya Nigeria

    Mwanamuziki wa Afrobeats wa Nigeria, Davido ametangaza kuwa atatoa Naira 300m ($197,000) kwa vituo vya Watoto yatima nchini mwake. "Mimi na taasisi yangu tunaahidi jumla ya Naira Milioni 300 kwa Vituo vya Watoto yatima kote Nigeria... kama mchango wangu wa kila Mwaka kwa Taifa...maelezo ya...
Back
Top Bottom