Watoto 78,000 wafanywa wakimbizi ndani ya wiki moja DRC

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,356
47,266
Ndugu zetu wenye uchungu na Waarabu tunaomba kidogo muelekeze macho yenu kwa hawa weusi wenzetu wanaoteseka.
Humu utakuta kunao hata wa dini yenu kama dini ndio hufanya mkomalie kuwalilia Waarabu.


children

Displaced people seen in a refugee camp on the outskirts of Goma in North Kivu Province, Democratic Republic of the Congo on February 8, 2024. PHOTO | XINHUA
Escalating violence in Eastern Democratic Republic of the Congo (DRC) has forced at least about 78,000 children to flee their homes in the past week, with thousands now on the road to Goma, the capital of the eastern province of North Kivu, global charity Save the Children said on Thursday via a statement.

The renewed fighting between the DRC Armed Forces (FARDC) and rebels of the March 23 Movement (M23), a non-state armed group, has displaced at least 150,000 people, more than half of them children, since February 2, 2024.

Parents have reported that many children have been separated in the violence although the number of lost children remains unknown, said the statement.

Read: Thousands flee as conflict intensifies in East DRC

The use of artillery, drones, and explosives in Eastern DRC is killing and injuring civilians and damaging and destroying essential infrastructure, said Save the Children.

According to local media sources, 19 people have been killed and 27 others injured in the violence, including three young girls. A market was hit on February 7, and munitions also landed inside a school courtyard and close to a hospital, as all schools in the area remain closed.
 
Bila anguko la Americant haya hayatokaa yaishe hata siku moja
Hv huku napo majority ni waislamu maana tunaambiwa nchi zenye waislamu wengi daima huwa na machafuko kama ilivyo kongo
 
Genocide ndani ya DRC Congo ni mara 10 ya Gaza, lakini MSM hutosikia wakiwasemea kama wanavyofanya Gaza.
South Africa ingeanzia kutetea wakongo sio wapalestina
na mbaya zaidi hakuna dhati yoyote kumaliza matatizo ya DRC. Hao Sauzi ni matako meusi faken of ze faken tanesco pussy nyau camoon. Ya bara letu wanayakalia kimya mbona hawajawahi kufungua kesi ya khs Congo DRC wakaenda kujihusisha na ya mbali.
 
Bila anguko la Americant haya hayatokaa yaishe hata siku moja
Hv huku napo majority ni waislamu maana tunaambiwa nchi zenye waislamu wengi daima huwa na machafuko kama ilivyo kongo

Hehehe nataka nyie wavaa makobaz mtumie nguvu nyingi kuwakashifu waasi wa M23 kama mnavyotokwa mishipa kwenye komwe mkiwatetea waarabu kule.....
 
Mbona husemi waasi weny mlengo wa dini ya kikatoliki😆😆😆.

Mjinga mmoja unayeshabikia vita.
 
Hehehe nataka nyie wavaa makobaz mtumie nguvu nyingi kuwakashifu waasi wa M23 kama mnavyotokwa mishipa kwenye komwe mkiwatetea waarabu kule.....
Hao ni wagalatia tena wakatoliki ,sema waasi weny mlengo wa kikatoliki.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom