Waziri wa Dkt. Doroth Gwajima fuatilia kituo cha watoto yatima cha Ijango Ziada Ophanage

Kamongo

JF-Expert Member
Mar 20, 2009
1,956
2,072
Waziri wa ustawi wa jamii tunakuomba ufuatilie kutuo hichi kituo, ambacho kiko Sinza Madukani kinamillikiwa na mwanamama aitwae Ziada Ijango, kituo hichi kinahatarisha afya za watoto kina watoto wengi mpaka wengine wanalala nje kwa kukosa nafasi, pia huyu mama amekuwa akiwatumia hawa watoto kama investment ili kupata pesa kutoka kwa wafadhili mbalimbali.

Baadhi ya maofisa wa ustawi wa jamii wamekuwa wakihongwa na huyu mama ili kuficha yanayoendelea, last week kuna mtoto anadaiwa kufariki kwa kukosa hewa safi
 
Waziri wa ustawi wa jamii tunakuomba ufuatilie kutuo hichi kituo, ambacho kiko sinza Madukani kinamillikiwa na mwanamama aitwae Ziada Ijango,kituo hichi kinahatarisha afya za watoto kina watoto wengi mpaka wengine wanalala nje kwa kukosa nafasi,pia huyu mama amekuwa akiwatumia hawa watoto kama investment ili kupata pesa kutoka kwa wafadhili mbalimbali.
Baadhi ya maofisa wa ustawi wa jamii wamekuwa wakihongwa na huyu mama ili kuficha yanayoendelea,last week kuna mtoto amefariki kwa kukosa hewa safi
Mkuu Dkt. Gwajima D karibu huku

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Waziri wa ustawi wa jamii tunakuomba ufuatilie kutuo hichi kituo, ambacho kiko Sinza Madukani kinamillikiwa na mwanamama aitwae Ziada Ijango, kituo hichi kinahatarisha afya za watoto kina watoto wengi mpaka wengine wanalala nje kwa kukosa nafasi, pia huyu mama amekuwa akiwatumia hawa watoto kama investment ili kupata pesa kutoka kwa wafadhili mbalimbali.

Baadhi ya maofisa wa ustawi wa jamii wamekuwa wakihongwa na huyu mama ili kuficha yanayoendelea, last week kuna mtoto anadaiwa kufariki kwa kukosa hewa safi
Ahsante kwa taarifa. Tunafuatilia. Shukrani

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Waziri wa ustawi wa jamii tunakuomba ufuatilie kutuo hichi kituo, ambacho kiko Sinza Madukani kinamillikiwa na mwanamama aitwae Ziada Ijango, kituo hichi kinahatarisha afya za watoto kina watoto wengi mpaka wengine wanalala nje kwa kukosa nafasi, pia huyu mama amekuwa akiwatumia hawa watoto kama investment ili kupata pesa kutoka kwa wafadhili mbalimbali.

Baadhi ya maofisa wa ustawi wa jamii wamekuwa wakihongwa na huyu mama ili kuficha yanayoendelea, last week kuna mtoto anadaiwa kufariki kwa kukosa hewa safi
Umeandika kimbeya sana hakuna facts hata moja, how can kukosa hewa kuuwe mmoja tu kati ya wengi? Au umefukuzwa kazi,?
 
Huyo Muheshimiwa Gwajima mwambie asiangalie tu vituo bali slums na watoto wa mitaani waliojazana kila kona bila kusahau panya road...

In short kama Taifa tushapotea long time na kinachofanyika sio kuondoa mzizi wa tatizo bali ni kuweka plaster kwenye mguu unaohitaji kukatwa....

Unaongelea watu kurundikana hata wasio yatima wamerundikana na maisha yao ni umasikini wa kutupwa....
 
Back
Top Bottom