watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Davido kutoa Tsh. Milioni 500 kwa vituo vya watoto yatima vya Nigeria

    Mwanamuziki wa Afrobeats wa Nigeria, Davido ametangaza kuwa atatoa Naira 300m ($197,000) kwa vituo vya Watoto yatima nchini mwake. "Mimi na taasisi yangu tunaahidi jumla ya Naira Milioni 300 kwa Vituo vya Watoto yatima kote Nigeria... kama mchango wangu wa kila Mwaka kwa Taifa...maelezo ya...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa haya niliyoyaona kazini, nakushauri mwambie mke wako akae nyumbani alee watoto

    Hello! Mzee wa kulipua nimekuja kuwalipua tena asubuhi hii. Si kwa ubaya lakini. Watoto wanaolelewa na maza 24/7 ni watoto bomba sana kuliko watoto wanaoshinda na dada wa kazi kutwa kutwa. Turudi kwenye mada. Kati ya wadada around 15 kazini kwetu bosi aliowaacha salama ni wale ambao hata kwa...
  3. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Maishani mwangu hamna watu ninaowadharau zaidi ya wanaume wenzangu wasiohudumia watoto wao

    Kwanza huwezi kuwa hauhudumii mtoto wako na ukajiita mwanaume, wewe ni mvulana bado. Yaani kama hujafikia level ya kuwa responsible kwa outcomes za matendo yako ikiwemo kidinya papuchi wewe huna sifa za kuwa mwanaume kamwe. Hapa siongelei wanaume wanaojua kwamba wamesingiziwa watoto lkn wale...
  4. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Kitanga ni wazuri sana, kila nikifikiria wanaume wanao left-group inanifikirisha sana

    Habari wanaJF, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hakika mungu ni fundi kama kweli yupo basi azidi kuwa na afya njema huko aliko 🙏, nilipata wasaa wa kutembelea jiji la Tanga, nikazunguka baadhi ya maeneo na vitongoji vyake, ukweli usemwe watoto wa kike kutoka tanga wameumbika kweli kweli:-...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Profesa Janabi: Tuwarithishe watoto mali sio unene

    Habari JF , Hii ni kutoka kwa prof pendwa Janabi . Iende kwa wote ambao huwa wanajisifa kwetu ni wanene mara nimerithi unene etc... Binafsi nimeipenda sana hii --- Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohamed Janabi amesema unene kupita kiasi si mzuri kwa afya ya...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama: Unajua kuzungumza Lugha Mama yako? Watoto wako je?

    Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama husherehekewa kila mwaka tarehe 21 Februari. Ni siku iliyotambuliwa na Umoja wa Mataifa kukuza utofauti wa lugha na tamaduni na kuhamasisha ufahamu wa urithi wa lugha na tamaduni ulimwenguni kote. Siku hiyo inakumbuka Maandamano ya Lugha ya Kibengali ya mwaka...
  7. Myebusi Mweusi

    JamiiForums Tanzania Tangu nilipwe mshahara wa December 2023, sijalipwa hadi leo, nipeni mbinu za kuishi mjini na mke na watoto wanne

    Kufanya maongezi marefu yafupike. Nilipokea mshahara wangu wa December 900,000. Baada ya hapo kampuni imekuwa ikipitia changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na mkurugenzi kuumwa. Maradhi ya mkurugenzi yanasababisha hela karibu yote iende kwenye matibabu. Mshahara wa January sijapewa na wa huu...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Julius Mtatiro, ameendelea na ziara ya kuwasaka watoto wachache ambao hawajaripoti wilayani Tunduru

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Wakili Julius Mtatiro, ameendelea na ziara ya kuwasaka watoto wachache ambao hawajaripoti wilayani Tunduru. Mtatiro ametekeleza wajibu kwa kuzitembelea familia tatu ikiwemo familia ya mtoto Zawadi Mustapha Chiwaulo (miaka 14) ambaye anapaswa kuripoti Shule ya Sekondari...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama lengo lako ni kuzaa ili watoto waje kukulipa fadhila kwa malezi yako basi nakushauri hairisha kwa sababu wewe ni mjasiriamali na sio mzazi

    KAMA LENGO LAKO KUU NI KUZAA ILI WATOTO WAJE KUKULIPA FADHILA KWA MALEZI YAKO BASI NAKUSHAURI HAIRISHA KUWA MZAZI KWA SABABU WEWE NI MJASIRIAMALI NA SIO MZAZI. Ni ushauri tu sio lazima ufuatwe na wote ila unaweza kuutafakari kabla ya kuupinga kwa mihemko ya hoja zisizo na mashiko.Kama hujui...
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Unazaa kwa kuwa umejipanga au unazaa tu ili ionekane na wewe una watoto?

    Ndugu zangu Kumekuwa na kundi kubwa sana la vijana kuzaa zaa tu hovyo bila mpangilio wowote. Nini mantiki ya kuzaa na kuwaleta watoto dunian wateseke? Unakuta mtu anazaa tu kwa kuwa ameona rafiki yake amezaa. Na yeye anaamua kuzaa tu hasa wanawake. Wapo wanaozaa tu wakishituka kuwa hawakuwa...
  11. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Hakuna maisha bila watoto wa kike. Nimechoka

    Mtanisamehe sana wale wenzetu mlio katika mfungo mtakatifu. Muda huu ndo napata kugundua kuwa hakuna maisha pasi na mwanamke. Nimekaza sana ndugu zanguni, huu ni mwezi wa sita sijaiona mbususu tofauti na kwenye simu tu. Hii ilikuwa ni baada ya kugundua kuwa hawa viumbe wanamaliza sana mifuko...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuambiwa chuo kuna watoto wakali. Lakini kuna Watu walimaliza chuo bila kupata demu yeyote

    Kwema Wakuu! Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru. Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye wanafunzi wengi tulijionea maua ya Dunia. Kulikuwa na warembo wa kila namna. Mimi ndoto yangu...
  13. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Wazazi mngejua adha wanazopata watoto wenu katika daladala mngetamani kuwahamisha shule za karibu

    Huenda wakati mwingine kama wazazi huwa tunapenda wenetu wasome katika shule zenye majina makubwa au zile ambazo ni maarufu hapa jijini dar es salaam, lakini kiukweli maumivu ya usafiri wa daladala wanapata watoto wetu. Huwa wananyanyaswa Sana na makondakta, huzuiwa kupanda Magari,kama...
  14. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Je, wazazi mnaiona kesho ya watoto wenu?

    Samahani jamani sikuanza na salamu sababu kichwa kina mambo mengi, navyosema kichwa namaanisha hiki kilichobeba ubongo, so sitaki ufikirie tofauti. Nirudi kwenye hoja yangu, leo nimewaza tu kama mzazi, huku nikitambua wajibu wa mzazi kwa watoto wetu, kwani wazazi tunachangia kwa kiasi kikubwa...
  15. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Mimi baba wa watoto watatu ratiba yangu ya asubuhi na jioni

    RATIBA YA ASUBUHI Naamka saa 11 au 12 kutegemeana na shughuli za siku. Nikiamka saa 11 ujue na shughuli na mama yoyo. Nikiamka saa 12 cha kwanza nachukua nguo za watoto( wawili wanafunzi) na zangu na kuzinyoosha. Muda huo wife anakuwa anapambana na kuwaogesha. Akimaliza kuwaogesha nampokea...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Sheria za kikristo zinaweza kumsaidia mwanaume anayehitaji watoto bila kuchepuka baada ya kuoa mke aliethibitishwa hawezi kuzaa?

    Mfano pale Arusha alikuwepo Mr Shayo mkewe alithibitishwa hawezi kuzaa, akakataa kuachwa au kuwa na mke mwenza sababu ukristo hauruhusu, nako kanisa la RC Arusha hawakuwa na cha kufanya, Mr Shayo alizeeka bila watoto mpaka umauti ukamfika. Ikitokea umeoa mwanamke ambae kathibitika yeye hawezi...
  17. Desierto

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa mkoa wa Arusha wasaidiwe malezi kwa watoto wao

    Wazazi hawa wameshindwa kabisa kulea watoto wao hasa wa kiume Unakuta mtoto ameshafikisha umri wa kujitegemea lakini bado anaiehi kwa wazazi wake Tena anajiona ndani pale yeye ni kidume Kati ya vijana 10 walioachiwa urithi hasa wa mashamba Ni mmoja tu au wawili ndo walivitumia vizuri...
  18. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Ukatili dhidi ya watoto ni jambo linalosababisha maumivu makubwa

    Ukatili dhidi ya watoto ni jambo linalosababisha maumivu makubwa. Watoto wanakumbana na changamoto nyingi katika jamii, ikiwa ni shuleni, nyumbani, na hata mitaani. Watoto wanaweza kuteswa kwa njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kimwili, kihisia, kiakili, na kingono. Ukatili wa kihisia unaweza...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii: Ukishindwa kulea watoto pacha toa taarifa uweze upate msaada

    Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii, Mwanaidi Khamis amesema kuwa kama kuna wazazi wanakabiliwa na changamoto ya kushindwa kuhudumia watoto pacha watoe taarifa. "Natoa wito kwa wazazi wanaokabiliwa na changamoto ya kushindwa kuhudumia watoto pacha kutoa taarifa kwa wakurugenzi wa halmashauri...
  20. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Waislam tujenge vyuo vya kuwapa vijana ujuzi

    Kumekuwa na wimbi kubwa la ujenzi wa misikiti ambapo ni jambo jema japo mingine inajengwa karibu karibu sana na mingine nje sana; Kimsingi sipingani na huu utaratibu ILA kwa umuhimu, nimeona tuna nguvu kazi ya Vijana wengi sana mitaani ambao hawana ujuzi (hawa ajiriki) hivyo, nashauri misaada...
Back
Top Bottom