watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa vyama vya siasa, Serikali na Bunge acheni unafiki shule zote za Serikali ziwe English medium watoto wenu mbona wanasoma English Medium?

    Kuna maana gani viongozi wa Serikali, bunge na vyama vya siasa kusomesha watoto wao English medium schools halafu wanaacha watoto wa wengine wasome Swahili medium? Huu ni unafiki mkubwa. Badilisheni shule zote za Serikali ziwe English medium. Wanafiki wakubwa nyie msio na haya Hizi ndizo...
  2. May Day

    JamiiForums Tanzania Hivi bado hatuoni haja ya kuwafundisha Watoto wetu elimu ya uzazi/viungo vyao vya uzazi tangu utotoni?

    Ni muda mrefu sasa nimekuwa najiuliza hili swali, haswa ninapokuwa na kijana Wangu mdogo wa kiume mwenye umri wa miaka kumi. Kuna wakati tupo sebuleni tunasikiliza Redio au TV, na habari inayosikika ni kuhusu Mtoto aliyelawitiwa, Binti aliyepewa mimba, Mwanamke aliyebakwa n.k. Hapa huwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Kenya wengi ni watoto wa wapigania uhuru lakini Tanzania ni watoto wa wakulima, wafugaji na Chadema wafanyabiashara

    Nilikuwa nasoma historia za wanasiasa wa Kenya akina Mudavadi, Ruto, Kalonzo Musyoka, Raila na wengine wengi nimeona 95% ni watoto wa wapigania Uhuru. Yaani wana ile spirit ya siasa. Nikarudi hapa nyumbani kwa wakina Mwigulu, Mbowe, Tundu Lissu, Zitto, Nape, January na wengine wengi nimegundua...
  4. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Makonda atoa bima ya afya kwa watoto 625

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amegawa kadi za bima ya afya za Mfuko wa Jamii (CHF) kwa watoto yatima na waishio kwenye mazingira magumu 625. Akizungumza wakati wa kutoa bima hizo, Makonda alisema anatoa zawadi ya sikukuu za Christmas, mwaka mpya na Maulid baada ya kubaini...
  5. Luqman mohamedy

    JamiiForums Tanzania Profesa Ndalichako aagiza uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuwachukulia hatua viongozi wa serikali ya wanafunzi

    Mama hafahamu mwenye njaa haogopi kufa, kwani hata njaa itamuua. Kuna muda nawaza hawa watu wamesomeshwa na mission nini? Hawajui njaa kabisa. Tuliopitia huu msoto kipindi kile tunaelewa. ===== Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameuagiza uongozi wa Chuo Kikuu...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Apple, Google, Tesla na Microsoft zafunguliwa kesi kwa kuwatumikisha watoto katika migodi kinyume cha sheria

    Apple, Google, Tesla na Microsoft ni baadhi ya makampuni yaliyotajwa katika kesi ya madai ya fidia ya vifo na majeraha ya wachimbaji watoto wa migodi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,DRC. Kesi hii ilifunguliwa na mawakili wa kimataifa wa haki za binadamu kwa niaba ya familia 14 DRC...
  7. OLS

    JamiiForums Tanzania Malezi ya watoto ni Taaluma sio kitu cha asili

    Na Justine P. Kakoko. Ni kwa miaka mingi sasa jamii za Afrika zimekuwa zikiamini ya kuwa malezi ya watoto ni kitu cha asili, yaani mzazi/mlezi haitaji kutafuta wala kujiongezea maarifa yahusuyo malezi ya mtoto/watoto wake. Wazazi/walezi wengi wamekuwa wakijiuliza, kuna haja gani ya wao...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watoto wafariki kwa kula mihogo yenye sumu

    Watoto wanne wa familia moja wamefariki dunia nchini Tanzania, baada ya kula mihogo inayodaiwa kuwa ilikuwa na sumu. DW imezungumza na Dr. Sadick Sizya kuhusu madhara ya kiafya yanayoweza kusababishwa na mihogo mibichi ama michanga.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hospitali ya magonjwa ya watoto kwa Dar es Salaam

    Ndugu zangu, naomba kujuzwa hospital nzuri ya kutibu magonjwa ya watoto kwa hapa Dar es Salaam. Kijana wangu anasumbuliwa na kifua. Nimezunguka hospital kadhaa bila msaada wa maana. Anayejua tiba au hospital ninayoweza kupata matibabu mazuri, naomba anisaidie.
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Anza mapema kuwafundisha watoto wasitoe siri za ndani

    Sisi tunaoishi kwenye nyumba za kupanga. Kuna wanaopenda wajue umekula nini leo, na maisha yako kwa ujumla. Kama umepanga vyumba viwili, chumba cha watoto weka double decker, sofa moja na coffee table. Hii coffee table ndiyo dining table pia. Pembeni weka meza ya jiko la gesi na chini ya...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Gadgets zimewapotezea watoto uwezo wa kuandika kwa mkono

    Dunia ya utandawazi imerahisisha sana elimu. Siku hizi mtoto kujua jina la mji mkuu wa Zambia hahitaji kusoma vitabu library, ana Google tu search engine inampa jibu. Pamoja na hayo matumizi ya computer, smart phones, tablets nk yamepunguza uwezo na ushawishi wa vijana na watoto kuwa na...
  12. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Just a reminder: Mwakani watoto waliozaliwa mwaka 2002 wanakua watu wazima, wanaruhusiwa kupiga kura😂.

    Huu ni ukumbusho tu kua mwakani watoto waliozaliwa mwaka 2002 wanakua watu wazima, wanakuja kuongeza ushindani sokoni, wanaruhusiwa kupiga kura na mambo mengine😂. Watoto wote waliozaliwa mwaka 2002 mwakani wanakua halali kuliwa kisheria, hapa hutahitaji chumvi. Pamoja na kua wamekua wakiliwa...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Wakinababa wadaiwa kuwaozesha watoto wao wadogo kwa pombe

    Jambo hili lilibainishwa jana katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto,yaliyofanyika katika kijiji cha Penzi kata ya Mondo kupitia Shirika lisilo la kiserikali la World Vision chini ya mradi wa Enrich. Taarifa inaeleza kuwa, wanawake...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mlioacha DNA’s zenu wakati wa puberty age fikirieni watoto wana hali gani?

    Wengi ni baada ya kumaliza mtihani wa kidato cha nne. Mzee anataka ufahamu mila za kwao, wengine ni kwa utukutu uliozidi wazazi wanaamua kukupeleka bush ukiwa unasubiri majibu. Kule kijijini wadada wote organic. Unawaona wakienda kuchota maji kisimani/mtoni au kutafuta kuni. Na wao wakijua...
  15. Papaa Muu

    JamiiForums Tanzania Watoto 56 wenye matatizo ya moyo wafanyiwa upasuaji mkubwa na mdogo katika taasisi ya moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

    Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao kutoka King Salman Humanitarian Aid and Relief Center wa nchini Saud Arabia wakimfanyia upasuaji wa bila kufungua kifua na kuziba tundu la moyo wa mtoto kwa kutumia mtambo wa Cathlab wakati wa...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Majina wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2020 yatoka, mikoa 13 yafaulisha wanafunzi wote

    Dodoma. Wanafunzi 701,038 sawa na asilimia 92.27 waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka 2019 wamechaguliwa kuendelea na kidato cha kwanza mwaka 2020. Wakati hao wakipata nafasi, wenzao 58,699 hawakupata nafasi kutokana na uhaba wa vyumba vya madarasa huku ikiagizwa ujenzi wa madarasa...
  17. Mr. MTUI

    JamiiForums Tanzania Siku hizi watoto kugraduate chekechea imekuwa dili sana?

    Sijui ni uzungu au ni ulimbukeni, wazazi wanawapost watoto wao kwamba wamegraduate chekechea. Haya mambo mbona enzi zetu hayakuwepo, au watoto siku hizi wamekuwa vilaza sana!!
  18. The Sheriff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wawili wafariki baada ya kusombwa na mafuriko

    Watoto wawili wamefariki katika matukio mawili tofauti nchini Kenya baada ya kusombwa na mafuriko katika maeneo yaliyoathiriwa na mvua. Mmoja wa wahanga hao ni pamoja na mvulana wa miaka 13 aliyefariki katika kaunti ya Homa Bay baada ya mtumbwi aliokuwa akisafiria kupigwa na mawimbi mazito...
  19. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa taasisi ya saratani ya Ocean road ataja kuzaa watoto wachache kama chanzo cha saratani

    Imeelezwa kuwa kuzaa idadi ndogo ya watoto ni chanzo cha ugonjwa wa saratani ya matiti kwa wanawake. Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, Dk Julius Mwaiselage ameyasema hayo leo wakati akielezea mafanikio ya taasisi hiyo katika kipindi cha miaka minne. Amesema aina hiyo ya saratani...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Watoto na Vijana 300 hufariki kila siku kutokana na UKIMWI

    Ripoti kuhusu watoto na UKIMWI iliyotolewa na Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF, inaonyesha kuwa watoto na vijana karibu 320 wanakufa kila siku kutokana na sababu zinazohusiana na ugonjwa huo. Chanzo kikubwa cha vifo hivyo ni upatikanaji mdogo wa matibabu ya ARV na ukosefu...
Back
Top Bottom