wataalam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maswali yangu kadhaa kwa wataalam wa mambo ya ulinzi na diplomasia kuhusu kinachoendelea huko Haiti

    Niaje waungwana, Leo ningependa kupata majibu kutoka kwa wajuzi wa mambo ya kidiplomasia, kuhusu kile kinachoendelea huko kwa ndugu zetu wa Haiti. Kwanza nafahamu kwamba baada ya uhuru, kila nchi huwa na uongozi (serikali) ambayo chini yake kuna vyombo mbali mbali vya ulinzi na usalama kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mwalimu afanywa chizi kisa na mkasa ni huu!

    Ubhukile msani wa JF. Kwa kifupi; Nilikuwa napita maeneo fulani hapa Lushoto nikamuona dada flani akipita na kuimba huku akikata kiuno ndipo nikakumbuka stori hii hapa chini. Ilikuwa tarehe za mwishoni mwa mwaka nikitokea Dar to Iringa nikapata usafiri wa IT iliyokuwa inaenda Zambia, tulifika...
  3. JamiiForums Tanzania Wataalam wa Location

    Wapi hapa?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natoka sana jasho na kidole gumba kinawaka moto

    Wana Jamii Forum nawasalimu sana wote, wakubwa kwa wadogo. Nina shida ya Afya!. Naombeni msaada; Juzi Jumapili iliyopita, mafua yalinianza na kwa kuwa huwa inanishikaga nikadhani kawaida tu lakini cha kushangaza ni kwamba nilianza kukohoa kikohozi kikali japo sio kavu na nilienda Hospital...
  5. JamiiForums Tanzania Wataalam wa sheria, hakuna uwezekano wa kwenda mahakamani kuishinikiza Serikali iruhusu uwepo wa mshindani wa TANESCO?

    Habari za leo, Natumaini mnaendelea vizuri na utekelezaji wa majukum ya kila siku. Binafsi nimekuwa nikifuatilia utekelezaji wa shughuli za mahakama Nchini Kenya nimeona mamna ambavyo Mahakama ya Kenya imekuwa ikitoa mashinikizo mbali mbali kwa serikali kwa manufaa ya wananchi Tukirudi hapa...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama vya siasa vijiongeze kwa kuajiri wataalam ya lugha ya ishara wanapofanya mikutano yao

    Vyama vya Siasa nchini vinatakiwa kuweka mazingira wezeshi yatakayowasaidia watu wenye changamoto ya kusikia na kuongea ili kutimiza haki yao Kikatiba ya kushiriki katika mchakato mzima wa kushiriki uchaguzi bila kuwepo kwa vikwazo. Kutokuwepo kwa mazingira rafiki kwa kundi hili maalum...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wataalam wa Tiba Asili nao wameshindwa kupata Tiba ya mtoto wa jicho?

    Hospital hakuna Tiba ya cataract zaidi ya upasuwaji je wataalam wa miti shamba nao ugonjwa huu umewashinda?
  8. JamiiForums Tanzania Kwa wataalam wa mimea, dawa nk huu ni mmea gani

    Huu mmea nimekuta sehem umejitenga na mimea mingine, Sijapata kuliona pahala popote. Kwa anayejua
  9. JamiiForums Tanzania Wataalam wa ulinzi na usalama tutafsirieni kauli hii ya IGP. Je, ameelekeza polisi ama kuwarai?

    Video imejaa na kusheheni taarifa muhimu ambazo raia tunapaswa kufahamu kuhusu utendaji wa polisi, itazame hadi mwisho.... NImekosa mlinganisho wa vifungu vya sheria kwa kauli ya IGP. Neno reasonable force inatafsiriwaje kisheria? Je, polisi anapomkamata mtuhumiwa ambaye hana silaha na...
  10. JamiiForums Tanzania Swali kwa wataalam wa sheria za mitandaoni

    Kuna ndugu yangu amekopa ela kutoka kwenye hizi online company Sasa deni lake limezidi Kwa siku mbili, sasa kilichotokea Leo Ile kampun imetuma sms kwenye namba zote ambazo zipo kwenye simu za mkopaji Swali langu sasa hapa ni kwamba 1. Hiyo loan campan imepata wapi Ruhusa ya kuona mambo yote...
  11. JamiiForums Tanzania Vifungashio vya mazao jamii ya kunde

    Habarin Wana-JF, Nahitaji msaada wa kujua ninawezaje kupata vifungashio vinavyokubalika kisheria vya kufangashia mazao jamii ya kunde na kama kuna mashine zinazoweza kubana nahitaji kuanzisha biashara ya kupaki na kusambaza dengu ila nataka niwe na nembo yang maalum so nimeshindwa namna ya...
  12. JamiiForums Tanzania Wataalam wa kuchambua Biblia, nini maana ya hiki kifungu?

    Mungu aliye mkamilifu, asiye fananishwa na kitu, Alfa na Omega; hapa anatamkwa namna hii? Ama kuna namna ilimaanishwa na Mwandishi wa Wakorinto?
  13. JamiiForums Tanzania Wataalam wa afya, Maiti huanza kuoza baada ya muda gani?

    Wataalam wa afya kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili. Maiti huanza kuoza baada ya muda gani kupita na hutumia muda gani kuweza kumalizika yote na kubaki mifupa tu? Note. Kwa maiti zote zilizo achwa wazi na zilizo zikwa ardhini
  14. JamiiForums Tanzania Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

    [NOTICE] May 2024 Kumekua na upotoshaji Sana katika jamii kuhusu matibabu. Pia kuna dhana ya kwamba kuna zinaa sugu, wataalamu wanakanusha. Isipokua kuna shida kwenywe diagnosis za ugonjwa, reinfection na Pia bacteria wanakua resistant na dawa ambazo zilkua awali zinatibu na SASA hazitibu tena...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Majanga Hanang majibu ya kebehi ya wataalam TANESCO kuhusu suala la umeme

    Mungu hamfichi mnafiki.Msemo maarufu wenye miaka mingi. Wataalam wa shirika la ugavi wa umeme TANESCO wamejibiwa na Mungu mwenyewe pale walipojibu shutuma kwanini umeme haupatikani huku mvua zikinyesha. Wakasikika wakisema zinanyesha katika mikoa mingine mbali kabisa na kule Mtera ambapo kuna...
  16. JamiiForums Tanzania Wataalam wa umeme wa solar nisaidieni hapa

    Wakuu naomba mawazo yenu. Nipo Huku Kijijini na umeme wetu hasa ni solar power. Kwenye vifaa vyangu Nina Inverter Ila tatizo la hii inverter ni kwba inatumia sana hali inayopelekea umeme kuishe na taa kushindwa kuwaka. Je, kwa hali ya kawaida ninaweza kuondoa feni ya inverter, ili kupunguza...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Nashauri kwenye majanga viongozi wa serikali wafike mwisho; wataalam wapewe vipaumbele kwanza

    Wakati wa majanga kumekuwepo na kasumba viongozi kutangulia na makamera yao wakielekeza wataalam namna ya kufanya uokoaji! Hii haina afya kabisa! Kwa waliosomea elimu ya majanga watanielewa! Wakati wa majanga ingekuwa vyema zaidi wataalam wetu wangepewa nafasi ya kuonesha utaalam wao...
  18. JamiiForums Tanzania Wataalam msaada please

    Nimewasha computer yangu yangu ni desktop aina ya dell Lakini inaniletea ujumbe huu shida Nini hapa wadau na nasolve aje ? Maana kisukari kishapanda hapa
  19. JamiiForums Tanzania Je, kilichotokea ni mpango wa Waisrael? Wataalam wa intellijensia maoni tafadhali

    Mpaka kati ya Gaza na Israel ndio mpaka unaolindwa kwa nguvu zote kuliko mipaka yote duniani. Kuna camera na teknolojia za kisasa za ulinzi, kuna patrol za mara kwa mara za wanajeshi wenye vifaa vya kisasa, kuna hadi kambi za jeshi karibu zenye ndege na vifaa vya kisasa kabisa. Iron Dome huwa...
  20. JamiiForums Tanzania Weka picha za mifugo yenye magonjwa mbalimbali upate ushauri wa tiba na kinga kwa wataalam

    Habari wanajamvi. Je, una mifugo inayosumbuliwa na maradhi mbalimbali? Ningependa tutumie uzi huu kushare picha za wanyama wa kufugwa (ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, kuku, bata n.k) tunaowafuga au tuliowahi kukutana nao wakisumbuliwa na magonjwa mbalimbali ili tujifunze na kupata ushauri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…