Wataalam wa Hisabati, swali hili

The Boldly

JF-Expert Member
May 21, 2017
2,314
2,000

15979063161688121502339881301805.jpg
 
Mzawa Halisi

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
635
500
Sijakuelewa, 1 umeitoa wapi?

Nikutolee mfano:

Chungwa ukilitakata sehemu nne sawa, utapata kila kipande ni robo (1/4), na ukijumlisha robo nne jibu lake ni moja. Na hata usipogawa sawasawa, ukijumlisha sehemu zote ulizokata jibu lake lazima liwe moja.

Moja inatoka wapi?
Swali linazungumzia vipande (fractions), kwahiyo ukimjulisha vipande vyote, jibu linatakiwa kuwa 1, lakini kwenye swali, kuna mmoja kapewa machungwa 15. Kwa hiyo ni sahihi kusema, machungwa 15 ni matokeo ya kutoa sehemu nzima ya machungwa (1) kutoa sehemu ya machungwa yaliyogawiwa kwa wengine.
 
Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,520

Kumbuka tulishatafuta idadi ya machungwa ya Juma tangu mwanzo (3/4 ya machungwa yaliyobakia ambapo tukichukua 1 tukatoa 1/3 aliyopata Haruna) na kujua kuwa alipata nusu ya machungwa. So it is just a matter ya kumultiply.
 
Mzawa Halisi

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
635
500
Kumbuka tulishatafuta idadi ya machungwa ya Juma tangu mwanzo (3/4 ya machungwa yaliyobakia ambapo tukichukua 1 tukatoa 1/3 aliyopata Haruna) na kujua kuwa alipata nusu ya machungwa. So it is just a matter ya kumultiply..

Tufanye hivi:

Ukichukua sehemu (fractions) za machungwa waliopata Juma, Haruna na Petro jibu lazima liwe moja. Kama sehemu hizo utazipa majina a kwa Haruna, b kwa Juma na c kwa Petro basi, hiki ndiyo ukweli:
a + b + c = 1

Lakini Petro, yeye hatujui sehemu bali tumepewa idadi, basi expression yetu itabadilika na kuwa:
c = 1 - (a + b)
c = 1 - a - b
ambayo ni sawa na kuandika: 1- a -b = 15..................... (i)

Kama machungwa yote yalikuwa x , basi idadi ya machungwa ya:

a= 1/3x

b = 2/3*3/4x
= 1/2x

c = 15

ukiinginza idadi hapo juu kwenye (i), unapata:

1 - 1/3x - 1/2x = 15

Nimejaribu kurahisisha sana.......
 
Sasa 1-1/3-1/2 si ndo 1/6

Au hujauona huo mstari ulioanza na Neno Petro?

Sijui hata unasahihisha nini kwa kurudia kile kile kilichoandikwa
 
Jerry94

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
331
1,000
Nikutolee mfano:

Chungwa ukilitakata sehemu nne sawa, utapata kila kipande ni robo (1/4), na ukijumlisha robo nne jibu lake ni moja. Na hata usipogawa sawasawa, ukijumlisha sehemu zote ulizokata jibu lake lazima liwe moja.

Moja inatoka wapi?
Swali linazungumzia vipande (fractions), kwahiyo ukimjulisha vipande vyote, jibu linatakiwa kuwa 1, lakini kwenye swali, kuna mmoja kapewa machungwa 15. Kwa hiyo ni sahihi kusema, machungwa 15 ni matokeo ya kutoa sehemu nzima ya machungwa (1) kutoa sehemu ya machungwa yaliyogawiwa kwa wengine.
Swali halina vipande vya machungwa Ila ni sehemu ya ya idadi ya machungwa(mazima)
 
Jerry94

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
331
1,000
Tufanye hivi:

Ukichukua sehemu (fractions) za machungwa waliopata Juma, Haruna na Petro jibu lazima liwe moja. Kama sehemu hizo utazipa majina a kwa Haruna, b kwa Juma na c kwa Petro basi, hiki ndiyo ukweli:
a + b + c = 1

Lakini Petro, yeye hatujui sehemu bali tumepewa idadi, basi expression yetu itabadilika na kuwa:
c = 1 - (a + b)
c = 1 - a - b
ambayo ni sawa na kuandika: 1- a -b = 15..................... (i)

Kama machungwa yote yalikuwa x , basi idadi ya machungwa ya:

a= 1/3x

b = 2/3*3/4x
= 1/2x

c = 15

ukiinginza idadi hapo juu kwenye (i), unapata:

1 - 1/3x - 1/2x = 15

Nimejaribu kurahisisha sana.......
Mkuu ukisema a+b+c=1 hautakua sahihi Haruna, Juma na Petro hawakugawana chungwa moja bali idadi fulani ya machungwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom