Katika neno Credit (Cr) inaleta mantiki, sasa herufi "r" inatokea wapi katika neno Debit (Dr)? Wataalam wa Accountancy levels zote tunaomba ufafanuzi

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania eti;

Katika neno Credit (Cr) inaleta mantiki, sasa herufi "r" inatokea wapi katika neno Debit (Dr)?

Wataalam wa Accountancy Levels zote tunaomba ufafanuzi tafadhali kwa maana tumechoka kukaririshwa sasa tunatafuta "logics".

images (7).jpg

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Mkuu we ukiwa mzee utakuwa na hifadhi kubwa sana ya maarifa
ask, you will be given

Taifa hili limehalibiwa sana na ccm,vijana, wazee, wachungaji, makonda ,maticha ,wanajeshi, nk. wanashindwa kuuliza/kuhoji maswali juu ya nchi,

ila wewe huna tabia hiyo huwa unauliza mara kwa mara, HONGERA kwa hili
 
mkuu we ukiwa mzee utakuwa na hifadhi kubwa sana ya maarifa
ask, you will be given
taifa hili limehalibiwa sana na ccm,vijana, wazee, wachungaji, makonda ,maticha ,wanajeshi, nk. wanashindwa kuuliza/kuhoji maswali juu ya nchi,

ila wewe huna tabia hiyo huwa unauliza mara kwa mara, HONGERA kwa hili
'taifa hili limehalibiwa sana na ccm'.

Chalii mwenyewe ni kada huyu mkuu.
 
Historia ya uhasibu inaonyesha kwamba Dr na Cr zilikuwa zilitumia na wafanyabiashara katika kutunza mahesabu yao. Debits zilikuwa kwa ajili ya kurekodi debtors(wadai). Debts were debtors and abreviated as Dr. kwa hiyo Dr oringinally ni Debtors. Ni hivyo pia kwa Cr sio kwamba r inawakilisha r ya Credit,Big No. It is abbrevated from Creditor-Cr. Hayo ni mambo ya karne ya 18 huko
 
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania eti;

Katika neno Credit (Cr) inaleta mantiki, sasa herufi "r" inatokea wapi katika neno Debit (Dr)?

Wataalam wa Accountancy Levels zote tunaomba ufafanuzi tafadhali kwa maana tumechoka kukaririshwa sasa tunatafuta "logics".

View attachment 1626955

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Kimsingi ufupisho (Cr) umetokana na jina Creditor kumbuka Credit siyo jina. Na ufupisho (Dr) umetokana na jina Debtor kumbuka Debit siyo jina pia.
Ahsante!
 
Ni hivi CR stands for CREDIT RECODS na DR stands for DEBIT RECORDS.. Haziko hivyo kama unavyodhania wewe kijana.
CPA (T), ACCA na CIMA
Kimsingi ufupisho (Cr) umetokana na jina Creditor kumbuka Credit siyo jina. Na ufupisho (Dr) umetokana na jina Debtor kumbuka Debit siyo jina pia.
Ahsante!
Which is which
Mbona Kama majibu yote nimeyakubali
 
The terms debit (DR) and credit (CR) have Latin roots: debit comes from the word debitum, meaning "what is due," and credit comes from creditum, meaning "something entrusted to another or a loan."

When it comes to the DR and CR abbreviations for debit and credit, a few theories exist. One theory asserts that the DR and CR come from the Latin past participles of debitum and creditum, which are debere and credere, respectively.

Another theory is that DR stands for "debit record" and CR stands for "credit record."

Finally, some believe the DR notation is short for "debtor" and CR is short for "creditor"

Hopefully this will answer your question!
 
Back
Top Bottom