Wataalam wa marketing. Je, Bidhaa ipi inayouza sana instagram?

stivii

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
222
143
Nataka kufahamu nikitaka kufanya biashara kwa kutumia Instagram. Je ni bidhaa ipi inayouza sana?

Wanasema vitu wanavyopenda wanawake ndio vina wateja sana.

Wengine wanasema watu wa maofisini (mashefa) ndio wanunuzi wazuri mitandaoni.

Ningependa kujua bidhaa moja
(niche) nayoweza kuuza kwa kutumia Instagram.

Iwe ni viatu, urembo, nguo, mapambo, vitu vya nyumbani nisaidie maoni chochote kulingana na uzoefu wako.
 
Soko la mtandaoni sio rahisi kama unavyoliona yaani hii ni kwa chochote utakachochagua kuuza.

Mwanzoni unavyoanza unaweza kukata tamaa yani. Kuna muda mwingi wa msoto, kuna muda wa kupata mteja mmoja mmoja. Muhimu uvumilivu na mbinu zako za biashara ziwe zina improve kila leo. Achana na yale mambo njoo Dm, sijui njoo WhatsApp.

Bidhaa yako ukiweka isiwe na maswali tena zaidi mtu akiona awe ameshapata majibu yote akikufata maana ake anataka kujua anapata hiyo bidhaa kwa utaratibu gani.

Hivyo mimi binafsi naamini baishara yoyote mtandaoni inauza ni mbinu zako za kukamata soko na pia haiko rahisi kama unavyoiona huko insta.
 
hata wale wa "ukitaka malaya, na mikoani tunatuma" si hua biashara yao inafanya vizuri au?.
 
Nataka kufahamu nikitaka kufanya biashara kwa kutumia Instagram. Je ni bidhaa ipi inayouza sana?

Wanasema vitu wanavyopenda wanawake ndio vina wateja sana.

Wengine wanasema watu wa maofisini (mashefa) ndio wanunuzi wazuri mitandaoni.

Ningependa kujua bidhaa moja
(niche) nayoweza kuuza kwa kutumia Instagram.

Iwe ni viatu, urembo, nguo, mapambo, vitu vya nyumbani nisaidie maoni chochote kulingana na uzoefu wako.

Dawa za kupungua, naona wote walioanzisha hii haijawatupa.
 
Soko la mtandaoni sio rahisi kama unavyoliona yaani hii ni kwa chochote utakachochagua kuuza.

Mwanzoni unavyoanza unaweza kukata tamaa yani. Kuna muda mwingi wa msoto, kuna muda wa kupata mteja mmoja mmoja. Muhimu uvumilivu na mbinu zako za biashara ziwe zina improve kila leo. Achana na yale mambo njoo Dm, sijui njoo WhatsApp.

Bidhaa yako ukiweka isiwe na maswali tena zaidi mtu akiona awe ameshapata majibu yote akikufata maana ake anataka kujua anapata hiyo bidhaa kwa utaratibu gani.

Hivyo mimi binafsi naamini baishara yoyote mtandaoni inauza ni mbinu zako za kukamata soko na pia haiko rahisi kama unavyoiona huko insta.
mada imeisha hapa
 
Unatakiwa kutoa elimu ili utengeneze authority katika niche yako uliyochagua, hapa utajenga uaminifu kwa wateja watarajiwa kwa kuonesha weledi katika eneo husika na pia inahitaji mvumilivu wa hali ya juu na kutokukata tamaa
 
Unamaanisha watu wa insta, hawavai nguo, viatu, hawaweki covers kwenye simu, hawana uwezo wa kununua radio, tv, izo simu wanazotumia wanapewa hawanunui. Unamawazo ya kimaskini wewe ndio unaitumia insta in negative parception usipende kukatisha watu tamaa kwa usichokijua hujui dunia ya sahv inahitaji nini. Ili jibu lako ungemjibu km angesema anatafuta mteja wa lamborgin car instagram
Insta imejaa biashara za uongo kabisa, wengi wanaoshinda huko Ni low income earners, purchasing power Chali, watanunua Nini?
 
Kila bidhaa inauza sana na kila bidhaa haiuzi sana inategemea na wewe muuzaji umejpanga vipi.
Asante kaka, mimi nimejipanga kutumia kama miezi sita kujenga brand yangu. Kwa kuwa ni mgeni kwenye hiyo biashara so ndio maana nataka nipate experience ya wengine.
 
Soko la mtandaoni sio rahisi kama unavyoliona yaani hii ni kwa chochote utakachochagua kuuza.

Mwanzoni unavyoanza unaweza kukata tamaa yani. Kuna muda mwingi wa msoto, kuna muda wa kupata mteja mmoja mmoja. Muhimu uvumilivu na mbinu zako za biashara ziwe zina improve kila leo. Achana na yale mambo njoo Dm, sijui njoo WhatsApp.

Bidhaa yako ukiweka isiwe na maswali tena zaidi mtu akiona awe ameshapata majibu yote akikufata maana ake anataka kujua anapata hiyo bidhaa kwa utaratibu gani.

Hivyo mimi binafsi naamini baishara yoyote mtandaoni inauza ni mbinu zako za kukamata soko na pia haiko rahisi kama unavyoiona huko insta.
Okay thanks kwa ushauri, what if nikiuza viatu vya kike unaonaje? Classic kwa bei ndogo.
 
Dawa za kupungua, naona wote walioanzisha hii haijawatupa.
Okay sawa nitafanya research, japo uwa naona kama hii ni biashara inayoweza mdhulu mtu kama ufahamu vizuri mambo ya madawa.
 
Unatakiwa kutoa elimu ili utengeneze authority katika niche yako uliyochagua, hapa utajenga uaminifu kwa wateja watarajiwa kwa kuonesha weledi katika eneo husika na pia inahitaji mvumilivu wa hali ya juu na kutokukata tamaa
Asante mkuu.
 
Unamaanisha watu wa insta, hawavai nguo, viatu, hawaweki covers kwenye simu, hawana uwezo wa kununua radio, tv, izo simu wanazotumia wanapewa hawanunui. Unamawazo ya kimaskini wewe ndio unaitumia insta in negative parception usipende kukatisha watu tamaa kwa usichokijua hujui dunia ya sahv inahitaji nini. Ili jibu lako ungemjibu km angesema anatafuta mteja wa lamborgin car instagram
Well said mkuu. Asante.
 
Back
Top Bottom