Wataalam wa Forex naweza kuendelea au niache

American nigga

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
667
944
Habari wazee, hivi juzi nilianza biashara ya forex kwa kuweka kiasi cha usd 100 kwenye account. na hii ni history tangu nilivyoanza kutrade hadi sasa, naombeni mnipe ushauri kama naweza kuendelea au niache na kama naweza kuendelea nifanye nini ili nipate matokeo mazuri zaidi

forex.JPG
 
Nimefuatilia hii historia yako nimegundua jambo moja kubwa, Kwa mtaji ulionao na Stop Loss unayotoa ni vitu viwili tofauti kabisa. Kwa mtaji ulionao maximum loss inatakiwa kuwa USD 2. au 1.50 Ila Inaonyesha unatoa Hadi usd 7.50 kama Stop Loss! Ukiweza Kulifix hilo utakuwa trader Mzuri maana naona Faida ni nyingi kuliko Loss

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
Anhaa sawa nitalifanyia kazi

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
Back
Top Bottom