ECPENDABLE
Member
- Feb 5, 2017
- 40
- 7
Wakuu, msaada kwa ambae amewahi kutumia Sony home theater Watt 300 vipi ubora wake wa sound na performance machaguo yangu ni kama mnovoona kwenye picha nikamate sony au hilo subwoofer nakaribisha majibu.
Eb wajeee mafindiii watupe madiniii tuonee upiii mziki mnene kati ya hizo mbiliiiNgoja niweke kigoda nikae hapa.
shukrani kaka mkubwaaUKIONGEA KUHUSU SONY UNAZUNGUMZIA KAMPUNI MAKINI KABISA,HUWA HAWABAHATISHI KAZI ZAO,KAMQ UNATAKA MZIKI BORA,QUALITY NA WENYE UJAZO BEBA SONY
Nilishawahi tumia hyo home theater ya Sony. Iko poa sana uki weka speaker zote vizuri kwenye position zake. Sub woofer ya kichina haiingii ndani hata kidogo. Woofer yake ina bass nzuri na hakuna ile cracking sounds ukipandisha sauti hadi juu. Yaan ni noma sana hyo. Bei yenyewe inasema tayariwakuu msaada kwa ambae amewahi kutumia SONY home theater WATT 300 vipi ubora wake wa sound na performance machaguo yangu ni kama mnovoona kwenye picha nikamate sony au hilo subwoofer nakaribisha majibu............View attachment 1594731View attachment 1594732
ni kwelii kaka mkubwa ebu nimchukue sony WATT 300 kigeto geto si safiii tuuuuNilishawahi tumia hyo home theater ya Sony. Iko poa sana uki weka speaker zote vizuri kwenye position zake. Sub woofer ya kichina haiingii ndani hata kidogo. Woofer yake ina bass nzuri na hakuna ile cracking sounds ukipandisha sauti hadi juu. Yaan ni noma sana hyo. Bei yenyewe inasema tayari
sana mkuu eb nimchukue sonySony iko poaa
Kama unaweza nunua hiyo Sony kwa sababu ina support ya 5.1 surround sound na pia inasapoti Dolby true HD. Dolby true hd inaongeza losslessness kwenye audio signal yaani unapata karibu ubora ule ule kama wakati wa kurekodi muziki au movie. Kama mpenzi wa movie utaenjoy na hata muziki pia.Wakuu, msaada kwa ambae amewahi kutumia Sony home theater Watt 300 vipi ubora wake wa sound na performance machaguo yangu ni kama mnovoona kwenye picha nikamate sony au hilo subwoofer nakaribisha majibu.
View attachment 1594731View attachment 1594732
Muhimu ni kutest kabla ya kununua hakuna haja ya kuangalia hizo namba.sony ni redio nzuri ila kwa watt 300 bado sana haina maajabu.
Yangu watt 1000,ipo vizuri sana
Hiyo bass yake inakalishwa hata na sub ya seapiano, aongeze hela achukukue watts 1000Sawa ila ndo anataka option kati ya hizo mbili.