The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.
Hii nimeishuhudia leo Mlimani city katika mgahawa mmoja maarufu wa chakula, yaani kijana na nguvu zake inakuaje anakubali kununuliwa chakula na mwanamke ili hali angeweza kutumia nguvu na akili zake katika kutafuta pesa.
Na katika uchunguzi nimegundua yule mama atakuwa amemzidi kijana wa watu...
Hii taasisi ya simba ishawekwa mfukoni aiseh. Utaratibu wenu ukoje mtu alojiuzulu anapata wapi mamlaka ya kuteua?
Na ile midoli itaitwa friends of nani maana tajiri anasafari nyingi😆😆😆😆
Tulisaidie Taifa kwa maombi au kwa njia yoyote inayofaa. Awamu iliyopita Gachuma alikamatwa kwa tuhuma mbalimbali na kufikishwa mahakamani Kisha kunyimwa dhamana.
Wakati tukiwa kwenye sintofahamu kuhusu uhalifu aliotenda, Serikali ile ile, chama kilekile na watu walewale leo hii wameteu mtu...
Leo napenda kuwauliza Wizara ya Maliasili ya Utalii;
1. Kumekuwa na kupungua Wanyama Mbuga za Mikumi na Saadani kwa kiwango cha kutisha! Leo hii ukienda Hifadhi ya Saadani unaweza tembea saa zima bila kuona mnyama yeyote, hali hii ipo Mikumi pia ambapo imekuwa na hali kwa kasi ya kutisha sasa...
Habari wandugu, hivi mchanga katika miji ya pwani umetokea wapi? Maana unaweza kuukuta umbali wa kilomita kadhaa kutoka baharini, je bahari imewahi kufika huko?
Na Prof Sankara
Kitu gani unazingatia unapo nunua matunda?, ukubwa, rangi, utamu urahisi wa bei au mazingira yanapouzwa?.
Kwa asili kila biandamu hupenda huduma bora, hata hivyo kulingana na mazingira inawezekana mtu akalazimika kutumia huduma fulani iliyopo katika eneo lake kutokana na...
Alikuwa mmoja wa viti maalumu waliongia kwa nguvu maalumu bungeni.
Sasa hivi dhahama imeikumba chama chetu. Basi anatakiwa kama kada mwandamizi aonekane mbele ya umma.
Atoe neno maana kama chama tunahitaji faraja.
Nauliza hivi malighafi zitokanazo na mazao ya ng'ombe zinauzwa wapi? Na ni kiwanda gani kinanunua kama pembe,meno,ngozi na uume? Vitu hivyo huko China ni dili sana je kwa Tanzania soko liko wapi?
Habarini ndugu zangu, hongereni na poleni kwa majukumu yetu ya kila siku.
Bila kupoteza muda, katika maisha kuna kipindi tunajikuta tunapendwa na wenzetu wa jinsia tofauti, hivyo wanatumia approaches mbalimbali kuweza kutupata. Lakini, yote ya yote tunaishia kuwachomolea mbali kwa sababu ambazo...
Habarini wanaJF,
Ningeomba muongozo mahala pa kuwasilisha project yangu kwa ajili ya kuomba grant ya kuitekeleza hapa Tanzania.
Project hii itagharimu takriban Tsh 500M na pia kama kuna mtu angependa kuwekeza ni project ya uhakika ambayo itarudisha ela yake.
Nasubiri muongozo wenu wakuu.
UINGEREZA
Kwa mujibu wa ripoti yao:
Asilimia 80% ya waliokufa kwa ugonjwa wa sasa Mwezi uliopita (Agosti) walikuwa wamechanjwa. Maana yake ni kuwa, kwa kila vifo 100, vifo 80 ni waliochanjwa.
Vilevile, kiwango cha wanaolazwa ni asilimia zaidi ya 70% kwa waliochanjwa.
SOURCE:
Public Health in UK...
Wadau, kuna kijana kachaguliwa kusoma Diploma Sheria ya Chuo cha Lushoto na pia kachagulia Diploma ya biashar aCBE Dodoma, kwa wazoefu wa hizo anga na maisha ya Kitanzania unamshauri wapi labda. Bahati mbaya siyo mjuzi wa hizo fani ukiachana na herasay
Hapa chini ni bookings za ATCL & Precision zilizofanywa na vijana fulani wanaotarajia kusafiri miezi kadhaa ijayo.
Tarehe, destinations na madaraja - vyote vinafanana kwa bookings zote mbili.
Tumekuwa tukiaminishwa kuwa ATCL, pamoja na malengo mengine, ipo kwa ajili ya kuwahudumia Watanzania...
Ni muda kidogo huyu Makamu wetu wa Rais Dr. Philip Isdor Mpango hajasikika!
Huyu ni Mchumi japo mimi binafsi sina imani na aina ya uchumi anaosimamia ( uchumi wa kijamaa).
Inavyoonekana huyu Makamu wetu wa Rais Dr.Mpango ana mchango mkubwa sana katika kupatikana kwa mchumi mwingine katika...
Simba One team one dream
Hii nchi ni ngumu sana kwa upande wa pili ila kwetu raha kama zote ndio maana tukipiga chafya wanatuambia tuna korona
Kuna hoja mfu sana na dhaifu yaani aibu hata kuongelea ila hawa ndugu zetu wamekazia shingo kama ndio wakiziona watapata ubingwa
Wana swali lao eti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.