Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu mnakwama wapi?

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,470
9,411
Likija suala la mawasiliano katika hizi tasisi za umma ni kikwazo kikubwa sana pamoja na ukuwaji wa TEHAMA ila bado ni tatizo.

Bodi ya mikopo elimu ya juu Wana ofisi zao za Kanda wameweka na mawasiliano yao haya waapigie Sasa sm hawapokei akipokea unasikia sio ofisini.

Haya bodi wenyewe makao makuu wameweka namba ya WhatsApp tuma ujumbe Sasa haujibiwi yani unaona ujumbe umefika na umesomwa ila hawajibu haya tuma email Sasa ndio sahau kabisa kujibiwa.

Swali kama mnashindwa hudumja watu futeni hizo namba za simu watu waje ofisini wenyewe manaa mnashindwa hudumia watu.
 
Mambo ya loan board yanakanganya sana waliambiwa kufuta value retention fee ili den liweze kulipika lakin wametia mchanga kwenye bahari,tangu wamefanya hivyo wapo kimya kabisa na statement zao zina dosari
 
Nenda tu ofisini kwao mkuu hakuna jinsi. Ila nawashukuru bodi kwa kumaliza deni langu
 
Wanafunzi wengi wa chuo wanakwenda field baada ya kuhitimiaha mitihani ya semista hii. Wengi hawajapata nitification ya bumu la field asa sijui mkurugenzi wao anajua hii. Pale bodi ya mikopo watu wameridhika na mishahara aseee hawana uchungu hata chembe wale
 
Pia wana roho ya kishetani wanfurahia wanapoona watanzania wanateseka
 
Mambo ya loan board yanakanganya sana waliambiwa kufuta value retention fee ili den liweze kulipika lakin wametia mchanga kwenye bahari,tangu wamefanya hivyo wapo kimya kabisa na statement zao zina dosari
Mbona imefutwa retention fee na penalty zimefutwa, madeni yanafurahisha na yanalipika fika ofisini kwao
 
Nimekuulza online statement na ile ya kwao wanayokupa zinafanana,?pia VRF na penalty wamefuta kidogo deni bado ni Bichi,wametoa nusu kwa nusu
 
Mie online niliingia bila mafanikio nikafika ofisini....vrf imekua 0.0 penalty 0.0 mil 4 imepungua kwenye deni, labda case yako ni tofauti
 
Mimi nimekatwa kwa miez 25 ajabu naambiwa nimelipa miez miwili tu ambayo ni laki tatu na elfu stini ,
 
Likija suala la mawasiliano katika hizi tasisi za umma ni kikwazo kikubwa sana pamoja na ukuwaji wa TEHAMA ila bado ni tatizo.

Bodi ya mikopo elimu ya juu Wana ofisi zao za Kanda wameweka na mawasiliano yao haya waapigie Sasa sm hawapokei akipokea unasikia sio ofisini.

Haya bodi wenyewe makao makuu wameweka namba ya WhatsApp tuma ujumbe Sasa haujibiwi yani unaona ujumbe umefika na umesomwa ila hawajibu haya tuma email Sasa ndio sahau kabisa kujibiwa.

Swali kama mnashindwa hudumja watu futeni hizo namba za simu watu waje ofisini wenyewe manaa mnashindwa hudumia watu.
Naomba hizo no zao
 
Wewe ulianza kulipa den lao mwaka gan?
2017 oooh sasa ubichi wa deni inategemea umeanza kulipa lini, ila all in all deni lililobaki baada ya kutolewa Retention fee na penalty ni fair kabisa, tulipe bila malalamiko, tulipe kwa moyo mweupe
 
Mimi nimeanza kulipa tangu 2016 mwishon lakin nimeomba statement online at bado nadaiwa 3.6m na nilikopeshwa 9m na nimeishawalipa 6.5m vrf pamoja na penalty ilikuwa 6m
 
Back
Top Bottom