wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Watoto niwapeleke wapi leo Eid wakatembee hapa Dar? Nimechoka na Coco Beach

    Eid Mubarak! Baada ya kuwanunulia nguo za Eid 😃sasa niwakati wa kutafuta sehemu ya kuwapeleka wanangu kutembea Leo hii siku ya Eid. Naombeni sehemu ya kwenda maana nimechoka kila siku Coco beach tu bhana. Asanteni
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi waziri wa maliasili na utalii? Je ameliona hili!

    Kuna udhalimu nimeuona chini ya jua, maskini akiwa na gunia lake moja la mkaa, auze asaidie familia yake, ananyang'anywa na wafanyakazi/askari wa maliasili, sambamba na kuchukua simu na baiskeli, maana ni vya thamani! Mtuhumiwa anaachwa guru! (huo nao ni ubatili) Mtuhumiwa Hugo anapokwenda...
  3. rosemarie

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?

    Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Mwanamziki wa Bongo Flava D Nob?

    Miaka ya nyuma huyu jamaa alitamba na kibao "Elimu ni biashara tutasomaje?" Sijamsikia kwenye muziki siku nyingi na sijui yupo wapi na anashugulika na nini?
  5. Faana

    JamiiForums Tanzania Hapa ni wapi na inaweza kuwa ni mwaka gani

  6. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Rim Nzuri na Durable Napata Wapi Kwa Dar

    Nahitaji kubadilisha Rim za Gari Harrier, zilizopo zimepinda sana kila siku ukiamka tairi hazina upepo. Kwa hiyo nahitaji Rim Origal nzuri na durable sio lazima ziwe sport maana naona hizi sport sio imara. Pia naomba ushauri kutoka kwenu kujua aina nzuri na original za rim. Nitajuaje hizi ni...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ile roho ya Nyerere kutojilimbikizia Mali na kutotapanya Aliitoa wapi? Mbona baada ya yeye tunapata Marais majanga tu?

    Roho ya kujitosheleza,kutotaka Makuu na kutojilimbikiza Mali. Hii roho nyerere aliitoa wapi? Zama zile nadhani Nyerere angekuwa amejilimbikizia Mali nyingi na Familia yake au Ukoo ungekuwa moja ya Koo Tajiri sana Tanzania au Africa. Lakini tunaona watoto wake wanapambana wao kama wao walisoma...
  8. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ataenda tena kujitambulisha wapi? Sijasikia akizindua hata mradi mmoja

    Akiwa nchini Kenya, Rais Samia alieleza kuwa nia ya kuizuru Kenya mapema sana ilikuwa kujitambulisha kwa majirani kwa kuwa alikuwa "mpangaji mpya"! Leo akizungumza na wanaoitwa "wazee wa Dar es Salaam" amekariri tena ya kuwa ataendelea kuzuru nchi mbalimbali akitoa sababu ileile ya...
  9. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Wapi wana mtumba mkali kati ya hawa?

    Wakuu, Nilikua napita kwenye mtandao wa kuuza magari, kwa wenye uzoefu/ufahamu.... Ni wapi wana gari makini zilizotumika?
  10. ommytk

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

    Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

    Mara ya mwisho nilipanda basi la Tawaqal nikitokea mkoani Ruvuma lakini kwa sasa ni muda mrefu Tawaqal zimeachana na route hiyo. Nauliza Wahenga wale wa "Watu wa safari" huyu nguli wa barabarani dereva Giriki yuko wapi siku hizi? Kazi Iendelee cc: Bujibuji
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata blue ray disk drive

    Habar wadau !! Naomben kujua wapi naweza kupata blue ray disk drive au BD -DD cd zake zinaitwa BD -R zina 40GB empty space. NOTE : BD -DD sio DVD disk drive hz zinazokuja na computer hz ni bora zaid na zipo advance na zina read and write DVD but DVD disk drive haziwez kuread au write BD -R.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Vijana tunakosea wapi siku hizi?

    Habari ndugu wananchi, Kidumu Chama cha Mapimduzi😎 Kuna jambo moja hua nalifikilia sipati jibu. Kipindi nazaliwa namkuta maza tayari ana mashamba makubwa ana viwanja ana mifugo ana asset kibao. Mzee alikua kaoa mitara so home kwetu hakua ana deal napo sana. Mama yetu ni mkulima, yaan...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Muda wa Hersi Saidi na GSM kuulizwa uko wapi ubingwa,bado?!!!

    Kwa mwenendo wa ligi ulivyo ni dhahiri Simba Sc imeshakuwa bingwa wa VPL,tena amekuwa bingwa mara 4 mfululu. Ili Yanga awe bingwa inabidi Yanga afunge mechi zake zote 7 zilizobaki na Simba Sc apoteze mechi 4. Ni never ever. Sasa basi, wakati ligi inaanza Eng.Hersi aliwaaminisha wana Yanga...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Propaganda? Hao wasomi waliojaa pomoni wapo wapi? Mbona mimi siwaoni!!!

    Amani iwe nanyi wakuu! Kutokana na maoni ya watu na maneno ya mtandaoni na Bungeni kuwa wasomi wamejaa mtaani, basi Taikon niliamua kufanya kauchunguzi kadogo tangu mwaka jana mwezi wa nne kama huu. Nimeita kauchunguzi kadogo kujiepusha na masuala ya takwimu. Uchunguzi wangu na wala usiitwe...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa hasara ya shirika la Ndege ATCL, ni wapi tena penye ufisadi wa serikali ya awamu ya tano?

    Hivi, ufisadi wa JPM Ukiondoa zile hasara zilizosababishwa na ufufuaji wa shirika changa la Ndege ATCL ni wapi tena palipofanyika ufisadi mithili ya kipindi cha awamu ya nne! Na Kwa nini ufisadi wake umechuja Kwa Kasi ya ajabu kutajwatajwa mitandaoni ili Hali bado tunakumbukia Lichimondi, EPA...
  17. hansluvanga

    JamiiForums Tanzania Natafuta mashati kama yale ya wafanyakazi wa DART

    ....
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi? Ama kweli jana sio leo na leo sio kesho

    WAPO WAPI? KWELI JANA SIO LEO; NA LEO SIO KESHO Kwa Mkono wa, Robert Heriel Maisha yanahitaji upendo. Ukijifanya mjanja subiri wakati wako maisha yatakapokufanya Mpumbavu Yajana yanachekesha lakini pia yanaumiza. Lumaanisha ya leo wapo wanaoumia na kucheka lakini kesho itakuwa kinyume chake...
  19. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

    Nakumbuka enzi hizo wanatajwa walikua warembo wanaosumbua mjini,wapo wapi siku hizi??? Tukumbushane na lyrics hapa chini... Yaani shwari hamna shari Mi na mabinti damdam, kweli kweli Thamani zipo wazi mwenye macho aone enhh! Yaani shwari hamna shari Mi na mabinti damdam, kweli kweli Sababu zipo...
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Tumepeleka wapi vichwa vyetu? Hivi ni kweli mchakato wa kuwafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake ulikamilika kwa vigezo vyote vya kikatiba?

    Maoni ya Mh. Nape juu ya uhalali wa wabunge wa vitu maalumu CHADEMA umenishangaza kidogo kwa sababu mchakato wa kuwafukuza uanachama haujakamilika kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, JMT na Natural law.
Back
Top Bottom