Wapi/ Eneo gani kwa Dar wanapima madini na kujua aina yake?

IraqwMan

Member
Jan 20, 2015
35
125
Wakuu Salama!!
Wapi/ Eneo gani kwa dar wanapima madini na kujua ni ya aina gani!!?
African Minerals and Geosciences Centre (AMGC) wapo Kunduchi.

African Minerals and Geosciences Centre 022 265 0347 https://maps.app.goo.gl/Gc2hLnRvaZ16Y2ho6

Laboratory Services
  • Analysis of Precious & base Metals
  • Water Analysis
  • Wet Chemistry
  • Mineralogical and Petrological
  • Gemmological and Gem cutting
  • Sample Preparation and Ore Testing
  • Industrial Minerals Applications & Ceramics
 
kiangola

Member
Apr 9, 2021
44
125

Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
1,797
2,000

Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
1,797
2,000
Hiko kwingine huko usi ende kindezi ndezi, ukienda ovyo ovyo unadakwa na kuwekwa chini ya ulinzi! unaulizwa ulizwa hayo madini umeya toa wapi, unaya milikije, una kibali/leseni, umeyalipia kodi, ….. mwishoni unaaamua kutoka berenge…..!!!!!
mkuu naitaji sehemu ambayo wanaweza pima na kuniambia nia aina gani ya madini! Sehemu wanayopima sio kwenda kuuza!! maana imetoka shambani kwa mtu!! Nataka kujua ni aina gani then nione way forwad..

Ni jiwe moja tu ninalo...

Kama una ushauri nitaupokea pia
 
funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
12,211
2,000
Hiko kwingine huko usi ende kindezi ndezi, ukienda ovyo ovyo unadakwa na kuwekwa chini ya ulinzi! unaulizwa ulizwa hayo madini umeya toa wapi, unaya milikije, una kibali/leseni, umeyalipia kodi, ….. mwishoni unaaamua kutoka berenge…..!!!!!
Nilitaka kumwambia jambo hili. Unaweza kuishia Segerea bure. Bora aende kwa wahindi Kisutu wakamwangalizie ila aende na kiasi kidogo sana ili hata wakimzingua mzigo mkubwa unakuwa huko chimbo
 
papason

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
4,081
2,000
mkuu naitaji sehemu ambayo wanaweza pima na kuniambia nia aina gani ya madini! Sehemu wanayopima sio kwenda kuuza!! maana imetoka shambani kwa mtu!! Nataka kujua ni aina gani then nione way forwad..

Ni jiwe moja tu ninalo...

Kama una ushauri nitaupokea pia
kwani hui amini JF? fanya hivi, piga picha hayo madini ( tumia camera yenye resolution nzuri ) lete humu jamvini…..
 
Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
1,797
2,000
mrangi unaitwa huku. Njoo utoe huduma mtu asiingizwe "cha kike".
sidhani kama kuna mtu anaweza kuniingiza cha kike!! maana nafanya vitu vyangu strategically..wale wanaodhani wanaweza niingiza cha kike wao ndo wataingia hicho choo cha kike!! nina amini nachofanya
 
Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
1,797
2,000
Nilitaka kumwambia jambo hili. Unaweza kuishia Segerea bure. Bora aende kwa wahindi Kisutu wakamwangalizie ila aende na kiasi kidogo sana ili hata wakimzingua mzigo mkubwa unakuwa huko chimbo
kwangu haiwezi tokea bosi! Ninaingia ofisi yoyote ile! Nimeuliza sehem wanayo identify hayo mengine niachieni..I will handle them
 
Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
1,797
2,000
Wakuu mimi nimeuliza sehemu wanazopima kama maabara/laboratories ili wanambie ni aina gani ya Dini..ili nicheki way foward.
 
Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
1,797
2,000

tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
13,308
2,000
mkuu naitaji sehemu ambayo wanaweza pima na kuniambia nia aina gani ya madini! Sehemu wanayopima sio kwenda kuuza!! maana imetoka shambani kwa mtu!! Nataka kujua ni aina gani then nione way forwad..

Ni jiwe moja tu ninalo...

Kama una ushauri nitaupokea pia
Ni mkoa gani umepata hilo jiwe halafu istoshe mawe mengi yapo hayana thamani...ukiona sehemu wachimbaji wamehamia kwa ghafla na kuchimba jua kuna kitu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom