Napata wapi hizi racks za kuku na wanauzaje

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Hizo hapo za kuku wa mayai wanauza wapi na kwa bei gani

chicken racks.jpg
chicken racks.jpg
E6ZrBVxXEAA3JrO.jpg
 
Zinaitwa Chicken Cage au wengine huita Battery Cage, kuna makampuni hasa Dar wanauza,bei huanzia 650,000 mpaka 900,000 kwa moja yenye uwezo wa kubeba kuku 96.
Bei inatofautiana kulingana na ubora wa cage kuna ngumu, za kati na zingine ni nyepesi.
Ansante mkuu nisadie kujua makampuni yap na contact zao,
 
Back
Top Bottom