wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Yuko wapi Idris Sultan

    Mzuka wanaJF! Dogo kawa kimya sana tangu alipokamatwa na kuswekwa ndani kwa kumdhihaki picha aliyeenda zake. Sijui walimfanyia nini kituoni Oysterbay? Yani hadi kasusa mitandao ya kijamii. Asiogope ajitokeze tu sasa hivi tumeona watu wanaujasiri kama CAG, Ndugai na Assad. Pia Mo na Roma...
  2. B

    Yuko wapi gwiji Bulendu?

    Mabibi na mabwana huyu hapa: ni mh. Abdullah Bulembo alipenda jiwe kama alivyomwita yeye apite bila kupingwa. Wajameni mnapokuwa mnatoa kauli nzito nzito kama hizi msiwe mnapotea moja kwa moja. Au nasema uongo ndugu zangu?
  3. Strictly Syrup

    MSAADA: Wapi Ninaweza Kupata Mmea aina ya San Pedro Cactus (Jina la Kitaamu; Echinopsis pachanoi)

    Habari za jioni wandugu, Nimekuwa nikitafuta mmea aina ya San Pedro Cactus,jina la kiswahili sijafanikiwa kuufahamu, kwa yeyote anayeweza kunielekeza maeneo nayoweza kuupata kwa hapa Tanzania atakuwa amenisaidia sana. Nimeambatanisha na picha hapo chini, Natanguliza shukrani.
  4. Keynez

    Wako wapi wafuasi kindakindaki wa Magufuli?

    Wote tulitegemea baada ya kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, tungeona kundi fulani likijipambanua kuwa ni wafuasi kindakindaki wa Magufuli na siasa zake. Hii tulitegemea ingeleta siasa kali za ushindani mkubwa ndani ya CCM, zile siasa tulizokuwa tunazisema za CCM-Asilia na CCM-Magufuli. Najua...
  5. H

    Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi, tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi?

    Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi Je tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi? Mfano naomba mnisaidie maswali haya: 1. Tutapata wapi fedha za kuwalipa wafanyakazi mishahara kila mwezi? 2. Tutapata wapi fedha za kuwakopesha wanafunzi wa vyuo vikuu mikopo ya elimu? 3. Tutapata wapi fedha za...
  6. yuda75

    Viwango vya mishahara kutokana na elimu na ngazi mbali mbali je wewe upo wapi

    TGOS A TGOS A 1. (Sh240,000), TGOS A 2. (Sh245,600), TGOS A 3. (Sh251,200), TGOS A 4. (Sh256,800), TGOS A 5. (Sh262,400), TGOS A 6. (Sh268,000), TGOS A 7.(Sh272,000), TGOS A 8(Sh279,000), TGOS A 9.(Sh284,800), TGOS A 10(Sh290,400), TGOS A 11(Sh296,000), TGOS A 12(Sh301,600), TGOS A 13(Sh...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Hivi wanaume tunakwama wapi? Inakuwaje ujichubue?

    Siku za karibuni kumeibuka wimbi la wanaume wengi kujichubua, hasa wanaume wa Kinondoni. Walianza wanamuziki wa Kikongo, lakini sasa hata wanafunzi wanajichubua hasa wa vyuo. Tunakwama wapi jamani?
  8. konda msafi

    Hivi haya maneno yanatoka wapi? "Raha ya milele umpe ee Bwana, na mwanga wa milele umuangazie, apumzike kwa amani, Amina"

    Kipindi cha kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wetu JPM kila aliyekuwa anatoa hotuba si muislamu si mkiristu alikuwa anahitimisha kwa hayo maneno. Sasa nimekuwa nikijiuliza hayo maneno ni ya kidini au ni ya kiserikali? Hebu tuacheni unafiki tuongee tu ule ukweli. Mkiristu haamini mambo ya uislamu na...
  9. comte

    Kwenu nyie watoza kodi ; Rais Samia kawambia kilichosemwa mwaka 1776. Mnakwama wapi nyie TRA na wizara ya Fedha na Mipango?

    In The Wealth of Nations (1776), Adam Smith argued that taxation should follow the four principles of:- fairness-that taxation should be compatible with taxpayers' conditions, including their ability to pay in line with personal and family needs; certainty-meaning that taxpayers should be...
  10. Erythrocyte

    Mabango yenye picha za Hayati Magufuli yaanza kuondolewa barabarani na kwenye ofisi za chama

    Hii siyo namna nzuri ya kuondoa mabango ya Dr Magufuli , wala haikubaliki na ninaipinga hata kama mimi si mwanaccm .
  11. Wu-Ma

    Nataka kuwa wakala wa vifaa vya usafi, wapi wanauza kwa jumla?

    Habarini wakuu, nahitaji kuwa wakala wa vifaa vya usafi majumbani, wapi wanauza Kwa bei ya jumla Kwa DSM? Ahsanteni
  12. Komeo Lachuma

    Ni Wapi tunakwenda?

    Shule namaliza sina pa kujishikiza, nabaki najiuliza nitafanya kazi gani? Kwenye kila kampuni kazi haipatikani. Heri kilimo ingekuwa ni nafuu, lakini pembejeo nazo leo bei juu. Heri kwa watoto wa Wakuu wanaopata kazi kwa kupitia wazazi. Hii siyo sawa kwao hii ni sawa. Mungu awape nini labda...
  13. Countrywide

    Mwenyekiti wa CHADEMA yupo wapi? Mbona kimya sana, hajatia hata neno

    Nimewaza nikaona niulize hili swali kwa kuwa ni muda mrefu sijamuona hadharani mwenyekiti wa CHADEMA. Nina marafiki wa karibu huko, lakini hakuna aliyetoa jibu wengi wananambia sio kazi yako kujua. Lakini niseme wazi ninamkubali Sana Mbowe kwenye busara na hekima, hata Kama Jambo ni baya kiasi...
Back
Top Bottom