Iko wapi Serikali ya wanyonge Tanzania?

muzi

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
1,038
1,448
Nchi nyingi duniani zinajitahidi kurudisha uchumi ulioathiriwa na mlipuko wa Covid-19. Nchi nyingi zimepunguza kodi na kutoa motisha kufufua uchumi wa viwanda. Tanzania ndo nchi pekee duniani inayosema ni nchi wa wanyonge kumbe wanataka kuwaua kabisa raia wake kwa stress, pressure n.k. Just imagine wameongeza bei ya mafuta, wameongeza VAT kwa airtime, wameleta eti tozo ya serikali. Hizi zote zinabebwa na mtu wa hali ya chini ambaye ni mnyonge. Kwa kweli tutamkumbuka sana Hayati Magufuli sana tena sana, Mungu akulaze mahali pema! Ni aibu haijawahi kutokea manaongeza makodi kila kona. Mkulima ambaye mahindi anapangiwa kuuza TZS 25,000 kwa gunia wakati mbei ya mfuko mmoja wa mbolea DAP ni TZS 100,000/=

Wabunge wote wa sisiemu wanakaa kusema waongezewe mishahara tena walipwe kwa dollar za kimarekani. Wamekaa kujambia viti vya kupiga makofi kupitisha miswada na sheria mbovu. Utetezi wa wabunge uko wapi, kazi yenu ni nini kwa wananchi? Tutaonana 2025 wajinga wakubwa msio na faida kwa nchi wala kwa wananchi waliowachagua!

Extremely rubbish Finance Minister ever happened inTz history
  1. Just imagine nimetuma Mpesa
  2. Ada ya kutuma TZS 720
  3. TOZO ya serikali TZS 2050
  4. Ada ya kutolea (niliyemtumia) TZS 2,700
Jumla 5,470 ambayo ni 11% ya TZS 50,000

1626722341955.png
e
 
Halafu ripoti za CAG zikitoka wezi
hawachukuliwa hatua mzigo wa kulipa tunabebeshwa wanyonge
 
Mama Samia tunasubiri hatua za kisheria na kinidhamu dhidi ya ubadhilifu wa fedha uliofanyika BOT. Majizi yamepiga mahela ndefu alafu mnakuja kutulea makodi rai maskini.

Mungu anawaona Mama ulianza viuri lakini wanakuingiza chaka sana watendaji wako.

Aiseee 2025 sijui, sie tunakuangalia tu
 
Mama Samia tunasubiri hatua za kisheria na kinidhamu dhidi ya ubadhilifu wa fedha uliofanyika BOT. Majizi yamepiga mahela ndefu alafu mnakuja kutulea makodi rai maskini. Mungu anawaona...
Chini ya utawala wa mi CCM, kuwajibishana ni ndoto kwani wote ni wale wale tu!!hakuna mwenye uchungu na mwananchi, ndio maana ukigusia katiba mpya kwao ni sawa na KUMSHIKA MAKALIO MAMA MKWE!!!
 
Back
Top Bottom