Dawa ya kuku mpya tatu kwa moja inapatikana wapi kwa Mbagala, Kariakoo na Buguruni

TUPAMBANE

Member
Jan 25, 2021
62
88
Wadau Habari zenu. Kuna dawa kuku mpya nilisikia muda kidogo ikitangazwa kwenye redio jina sikumbuki vizuri maana nilisikia kwa mbali tatu kwa moja yaani inakuwa na newcaster na mchanganyiko wa dawa zingine mbili na kufanya kuwa mchanganyiko wa dawa tatu kwa pamoja sasa swali langu kwa kisiwa cha habari Jamii forum hii dawa naweza kuipata wapi kwa maeneo ya mbagala, kariakoo na buguruni?

Nahitaji kwa haraka sana na kama unafahamu bei yake nijulishe pia
 
Bro nilitumia chanjo yake kwenye ng'ombe mwaka jana

Hizi dawa ni shida

Full maubunifu aiseh
 
Mkuu hizo chanjo zipo mpaka za wanyama wengine

Ni chanjo nzuri sana nimewahi kuzitumia nimekupa zinaunganishwa kwa kuzuia magonjwa mengi
 
Wadau Habari zenu. Kuna dawa kuku mpya nilisikia muda kidogo ikitangazwa kwenye redio jina sikumbuki vizuri maana nilisikia kwa mbali tatu kwa moja yaani inakuwa na newcaster na mchanganyiko wa dawa zingine mbili na kufanya kuwa mchanganyiko wa dawa tatu kwa pamoja sasa swali langu kwa kisiwa cha habari Jamii forum hii dawa naweza kuipata wapi kwa maeneo ya mbagala, kariakoo na buguruni?

Nahitaji kwa haraka sana na kama unafahamu bei yake nijulishe pia
watu wote kimya hakuna wa kunisaidia aliyeweka No anataka atumiwe tu hela yeye haelewi somo lingine tuma hela utaupata mzigo wako. mimi mpe dereva tukabidhiane ana kwa ana hataki
 
Wadau Habari zenu. Kuna dawa kuku mpya nilisikia muda kidogo ikitangazwa kwenye redio jina sikumbuki vizuri maana nilisikia kwa mbali tatu kwa moja yaani inakuwa na newcaster na mchanganyiko wa dawa zingine mbili na kufanya kuwa mchanganyiko wa dawa tatu kwa pamoja sasa swali langu kwa kisiwa cha habari Jamii forum hii dawa naweza kuipata wapi kwa maeneo ya mbagala, kariakoo na buguruni?

Nahitaji kwa haraka sana na kama unafahamu bei yake nijulishe pia
Zinapatikana kwa sana maduka ya pembejeo za kilimo, Morogoro mjini sababu ndipo zinapotoka
 
Nashukuru nilipata mbagala na wala sikusumbuka mwaka jana niliulizia nikaambiwa hawaijui nami nikakata tamaa ila jumamosi niliipata na kuwapa kuku asanteni kwa wale mliodhubutu kunisaidia
Hongera sana mimi natafuta ya mbuzi ili niweze kuwakinga na Goat pokes napataje?
 
Back
Top Bottom