wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wanaume acheni kupima DNA

    Serikali ya Uganda imewashauri wanaume kuacha kufanya vipimo vya vinasaba (DNA) kubaini ukweli wa uzazi, ikisema kuwa haina manufaa kwa ustawi wa nchi hiyo. Waziri wa Afya Msingi wa nchi hiyo, Margaret Muhanga, anasema haijalishi kama wanaume wanaolea watoto ni baba zao kwa damu au la, na...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wanawapenda sana Wanaume 'Masela' kuliko wale 'Wakishua' Kingono?

    Nasikia Masela Ligi Kuu yao mbele ya Mbunye huwa ni ile ya Bundesliga ( Ka:zi Kazi tupu ) na Wanaume wale Wakishua ( Mabrazameni ) Ligi Kuu yao mbele ya Mbunye huwa ni ya Primera la Ligi ( ya Kitaratibu na Kiuhuruma ) mno. Haya Wabanduaji na Wabanduliwaji kuna Ukweli hapa? GENTAMYCINE sichezi...
  3. hp4510

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaruhusu vipi wake zenu kushiriki marathon?

    Aisee Mambo yanayoendelea Dodoma after marathon ni balaa. Ni kama watu wenye ndoa wametoka kifungoni they want to experience everything. Watu wenye Pete ndio wanaongoza kuingia double kwenye rooms za hoteli. Magari parking yanatingishika balaaa hahaha. Ni balaaa.
  4. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania 50 kwa 50 tayari wanaume wanachamba

    Indicator mojawapo kwa tz ni ongezeko la wanaume wengi katika radio na tv stations kuendesha vipindi ambavyo hapo zamani vilionekana vinafaa kuendeshwa na wanawake.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wakiwa kwenye umri mzuri (prime age) lazima wachague wanaume wasio sahihi?

    Umri wa kuanzia miaka 15-27 yaani hapo wanawake wengi huchagua kuzaa na waume za watu, vijana wa hovyo, deadbeat dads (wanaume wasiotaka kulea watoto wao na familia). Pia nimechunguza sio kwamba kwenye umri huo wanakuwa hawafatwi na wanaume sahihi, wanafuatwa na wanaume wengi sahihi, ila...
  6. M

    JamiiForums Tanzania WANAUME WENZANGU: Umewahi kufanya jambo ukaja kujuta baadae kama mimi ninavyojuta mpaka sasa?

    Habari wana Jf nipo na ID nyingine niliifungua karibu siku 26 zilizopita. Twende kwenye mada. Mimi nina umri wa miaka 35 kwa sasa nina watoto 3. Nimeoa na nina mke nimezaanae watoto 2. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na dada mmoja chuoni. Mama yake sikumuoa nilioa mwanamke mwingine ila mtoto...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) ni Wagumu 'Kurogeka' na Wanawake kama wa Mikoa mingine?

    Na Wanaume wanaoongozwa Kurogwa vibaya na Wanawake ( Wake / Wapenzi ) ni kutokea Mikoa ya Kagera kwa Wahaya, Singida kwa Wanyiramba na Wanyaturu, Kigoma kwa Washamba wa Kudumu Waha, Dodoma kwa Warangi, Mwanza kwa Wakerewe na Tabora kwa Wanyamwezi. Kwanini Sisi Wanaume wa Mkoani Mara ( Musoma )...
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni desturi kwa Waswahili kusuka nywele bila kujali jinsia zao, kwanini Zanzibar wanakataza wanaume kusuka?

    Nimesikia Zanzibar mwanaume ukikutwa umesuka nywele unapigwa faini. Wanadai ili kulinda maadili na utamaduni wa Mzanzibari. Lakini wakati huo huo utamaduni wa Mzanzibar, kama ulivyo kwa Waswahili wote ilikuwa ni ruhusa kwa mwanaume na mwanamke kusuka nywele. Naona hawa wanaodai kulinda utamaduni...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitambi hakuna vijijini wakati wamama na wanaume hula viporo?

    Vijijini hakuna wanawake wenye vitambi wala wanaume pamoja na kwamba wanakula viporo na lishe isiyo bora kama mjini. Je, watu wa town nao waishi kwa viporo na vyakula kama vijijini?
  10. carnage21

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanaume wengi hatupendi kutumia kondomu

    Kwenye #SupaBreakfast ya @EastAfricaRadio Baada ya Waziri wa Afya @ummymwalimu kutaja mambo matatu yatakayo maliza ukimwi, Babu @david.gumbo.5 ametoa maoni yake yanayochangia ugonjwa huo kuenea. "Nimefanya research ndogo asilimia kubwa ya sisi wanaume hatupendi kutumia mipira (kondomu) mwanamke...
  11. Mama Mwana

    JamiiForums Tanzania Wanaume na kubadili dini

    Kumbe kufungiwa jf kunauma hivi siku zilikua hazisongi any way tuachane na hayo. Unamchukuliaje mwanaume anayebadili dini kisa mwanamke, mimi namuona wa ajabu kweli kama ameshindwa kusimamia imani ya dini yake bas hata maamuzi kama baba wa familia hatokua nayo mke akimkingia kibesi tayar...
  12. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengine hawajielewi kabisa aosee

    ⚠️😳 Kwa mshtuko na masikitiko ya kutoamini Jamaa huyo kwa jina la Chido amejitosa waziwazi kuomba ushauri mtandaoni kufuatia ndoa yake ya miezi mitatu tu kupumulia mashine kwasasa Chido amesema alimsaliti mke wake kwa kuchepuka na mdada flani na kwa bahati mbaya au nzuri mke wake akajua na kwa...
  13. Dam55

    JamiiForums Tanzania Wanaume njooni tujibu swali la huyu mrembo!

    Mimi namjibu kama ifuatavyo. Fanya kama mchezo wa kombolela Mwanamume anadokoa kidogo unakimbia sebuleni akikushika anadokoa tena unaponyoka unaludi chumbani anadokoa hakikisha kilA Akidokoa asitumiee sekonde 25. Karibuni kwamajibu zaidi.
  14. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Kama mshindo wa kwanza ungekuwa unachukua saa nzima kukamilika wanaume si tungekuwa tanakufa kwa utamu jamani!

    Aisee nimejaribu kuwaza kwa sauti kuhusu hii kitu wanazengo. Duniani Hakuna kitu kinachompa mwanaume Raha Kama short ya kwanza wakati wa sex.Hapa ndo unaskiaga mwanaume anatoa ahadi ya kumnunulia mwanamke wake ndege wakati yeye mwenyewe hata baiskeli tu Hana😂 Kama mshindo wa kwanza Ni mfupi...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi na Utapeli wa Sisi wanaume ndani ya Familia

    UBINAFSI NA UTAPELI WA SISI WANAUME NDANI YA FAMILIA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Niliwahi kuandika hapa, unaweza kupitia👇Wanaume tuache Ubinafsi ukitaka familia yako ianguke basi moja Kati yenu awe mbinafsi. Aidha Mke au Mume. Chanzo kikubwa cha umaskini wa familia nyingi hapa Tanzania...
  16. Nyamuma iliyobaki

    JamiiForums Tanzania Wanaume, ni kitu gani unavutiwa nacho unapokutana na mwanamke kwa mara ya kwanza?

    Binafsi navutiwa na sauti nzuri laini.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibari kukataza wanaume kusuka sio jambo la kimaadili ila ni chanzo kipya cha uchumi

    Labda ningependa kuwatafakarisha watanzania wenzangu kwa jambo hili. Hivi tunaweza kutoza shilingi ngapi ili kuruhusu mtu kuzidisha mwendo kasi kwenye barabara za makazi ya watu? Au kumruhusu mtu kukata viungo vya albino? Au kufanya uwindaji haramu kwenye mbuga na bahari? Ninacho jaribu kusema...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanga: Wenye Mabusha wakataa Kutibiwa na Wataalamu wa Kike, Wasema bora Wafe

    Baadhi ya Wazee wenye ugonjwa wa Ngirimaji unaosababisha korodani kujaa maji (Mabusha) Wilayani Pangani Mkoani Tanga wamemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo Zainab Abdallah @zainababdallah93 kuangalia uwezekano wa kubadilishwa kwa Watoa huduma wa afya wanaowatibu ili wawe Wanaume na sio Wanawake huku...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wanaume huvutiwa na tabasamu la mwanamke na sio mavazi

    Wanaume huvutiwa na tabasamu la mwanamke na sio mavazi yake. Hivyo hakikisha unalivaa tabasamu kama unahitaji kumvutia mwanaume yoyote umtakaye na sio kuvunja kabati, kazi bure.
Back
Top Bottom