Kwa wanaume kila kitu ni ghali, si nguo, viatu wala mabegi, hatuna pa kupumulia!

Ricky Blair

JF-Expert Member
Mar 13, 2023
391
872
Jamani sisi wanaume tumechoka kutafuta affordable decent clothes, shoes, bags even designer clothes. It seems watu wanawaza wanawake tu wakidhani hao ndio wakuvaa nguo tu na kupendeza sisi tuwe kama vichaa tu.

Designers ndio kabisa, walishajiweka ku deal na nguo za men but exclusively women; najua wanadhani hivyo sababu wanawake wengi are obsessed na kubadili badili na pia wengi wanahudumiwa na wanaume lakini na wanaume pia need to look good na sana sana of the working class ila sasa nguo za wanaume, viatu ni bei sana, hata nguo za watoto wa kiume pia.

Many clothes shops cater to women tu hadi inakera and it can get super boring. Kama design fulani wakivaa wanaume halafu wanawake wakaiga, wanaume tukiendelea kuzivaa tu basi basi tujiandae kuambiwa tumehama upande, INACHOSHA!

We need affordable designer clothes, za daraja la kawaida pamoja viatu vya bei nafuu kwa wanaume wa kawaida.
 
Alafu jitahidi sana usilalamike mavazi mwanaume kamili unalialia wakati mtafutaji ni ww. Kama unalalamikia mavazi yako ukiwa na mke ndani tutamnyandua badili tabia na kama unachembe za ushoga kaoshe matco na maji chumvi
 
Unapoint Ila shida ni uandishi tu sema ni ukweli nguo za kiume ni gharama kise.nge

Jeans material yale yale quality ile ile Ila Bei ya nguo ya Jeans ya kiume sio sawa na Bei ya Jeans ya kike

Bei ya Suti ya kike sio sawa na Bei ya Suti ya kiume

Viatu vya kike ni very cheap compared na viatu vya kiume

Suruali za kiume hata kushona kwa fundi Bei ni tofauti Mwanamke Bei chini Mwanaume Bei juu kitambaa ni kile kile
 
Skuiz men unakuta umevaa pensi,tishet,kofia,malapa tayari imefika 150k......
Hapo hujajumlisha saa, necklace, bracelet,vipuri maskioni,Pete,mkanda.. ni hatari, Yan ukitoka mtoko mmoja ile super si chini ya 400k halafu unakua simple Tu..
 
Jamani sisi wanaume tumechoka kutafuta affordable decent clothes, shoes, bags even designer clothes. It seems watu wanawaza wanawake tu wakidhani hao ndio wakuvaa nguo tu na kupendeza sisi tuwe kama vichaa tu.

Designers ndio kabisa, walishajiweka ku deal na nguo za men but exclusively women; najua wanadhani hivyo sababu wanawake wengi are obsessed na kubadili badili na pia wengi wanahudumiwa na wanaume lakini na wanaume pia need to look good na sana sana of the working class ila sasa nguo za wanaume, viatu ni bei sana, hata nguo za watoto wa kiume pia.

Many clothes shops cater to women tu hadi inakera and it can get super boring. Kama design fulani wakivaa wanaume halafu wanawake wakaiga, wanaume tukiendelea kuzivaa tu basi basi tujiandae kuambiwa tumehama upande, INACHOSHA!

We need affordable designer clothes, za daraja la kawaida pamoja viatu vya bei nafuu kwa wanaume wa kawaida.
Aisee ni kweli kabisaa ..yaan mdada akiwa na elfu 30 tu ana pendeza kupita maelekezo ila kwa kidume iyo 30 yaan labda ukavae malapu lapu
 
Mbona watu wengi wameona uandishi wa kishoga inamaana gani kwa mleta mada?

Alafu jitahidi sana usilalamike mavazi mwanaume kamili unalialia wakati mtafutaji ni ww. Kama unalalamikia mavazi yako ukiwa na mke ndani tutamnyandua badili tabia na kama unachembe za ushoga kaoshe matco na maji chumvi
Nimelalamika for me na wale wanaume watakaoresonate na mie. Sio lazima wanaume wote waresonate na mie; I don't care. Na Km unaona mada ya kishoga cjui nn poteza. Kuna nyuzi elfu na. Natafuta mie na natumia mie sina muda wa kumspoil kiumbe mwingine yoyote. Watanzania muwage mna akili ya kufikiria muda mwingine; sio wote tuwe 100% on every issue au sio lazima ujibu. Oneni mada says one thing ushoga Cjui hata umekujaje hapa. Either way poteza sio lazima ujibu.
 
Sawa mie. Hili neno akitumia mwanaume dah inaleta ukakasi kinoma. Mwanaume unajiita MIE😂🤔🤔
 
Back
Top Bottom