Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,712
5,700
Hii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na wanawake walio single wanakutana ili kutafuta potential partners, cha ajabu kwenye hizo singles gathering sahivi unakuta wanaume 4, wanawake 100, na wanaume 90 ambao walialikwa wakakataa kwenda..

Kwa hapa Tanzania hio culture naanza kuiona inakuja taratibu, sehemu niliopo kuna wadada wana mwezi mmoja tangu waje ni wazuri kimuonekano, lakini kwa uchunguzi wangu wa chini chini niliofanya, nimegundua kati ya wanaume wote tuliopo hapo, hamna mwanaume hata mmoja alieshoboka nao kimapenzi k.v kuwaomba out..lyk kama wanaume tukikaa tunadiscuss like fulani mzuri ana shape, lakini hakuna hata mmoja kati yetu aliotongoza na sababu sio udomo zege..sijui ni uvivu wa kuanzisha mahusiano au nini, tofauti na zamani ambapo kwa muonekano wao, vidume wote wa site tungeshawapiga vocal

Kama jamii sijajua tunaelekea wapi.
 
Watongozaji sasa wanamjukumu mazito juu ya familia zao!!

Binafsi kuliko nitongoze mpita njia nimpe 20k anipe gono/nuksi, Bora pesa hiyo ni bebee watoto wangu nyama kilo,mkate na blueband 😄😄

Mtasema mimi m'bahili, sina pesa, but I don't care 😄😄😄😄
 
Madem wanazingua, siku izi hatutaki kurudi nyuma kisa demu life ni gumu tusake dooo tu
Kweli vijana wakija kushtuka hawahitaji mademu kwenye safari ya mafanikio zaidi ya wao wenyewe, hakuna haja ya kuhangaika kutongoza demu anayejishaua.

Thamani ya kuwa Mwanaume inaanza kuonekana, ni kupiga chini tu. Mafanikio na NIDHAMU ni muhimu kuliko mahusiano.
 
Back
Top Bottom