Wanaume wa kiislam hii inawahusuu

Nina swali jaman et wanaume wa kiislamu wanafunga ndoa na wanawake wanne kwaiyo anavaa Pete zote nne au kila akioa nyingine anatoa???
FaizaFoxy
Swali zuri dada lakini utaratibu wa kuvalishana Pete za ndoa sio katika utaratibu wa dini ya kiislamu hauhusiani hata kidogo nahisi ni utamaduni wa wazungu sidhani hata kwenye biblia ukristo unaelekeza hivyo
 
Uislam hauna taratibu za kuvaa Pete za ndoa.
isipokua inaruhusiwa mwanaume kuvaa Pete ya silver kabla au baada ya ndoa na haiitwi Pete ya ndoa inavaliwa tu kama inavyovaliwa saa.

kwahiyo hakuna utaratibu wa kuvalishana Pete kwenye ndoa katika uislam.
 
Nina swali jaman et wanaume wa kiislamu wanafunga ndoa na wanawake wanne kwaiyo anavaa Pete zote nne au kila akioa nyingine anatoa???
FaizaFoxy
Mambo ya pete kwetu hayapo.Pete haina upendo,haitii uja uzito wala haizalishi mtoto.Pete ni wewe mwenyewe.Ni 'show off' tu na kujisifu kuwa umeoa au umeolewa.Isitoshe pete ni ushirikina tu.Hatuabudu pete katika ndoa.Moyo na mapenzi ya dhati ndiyo pete.
 
Back
Top Bottom