Umaskini wa familia unatokana na Baba dhaifu, na umaskini wa taifa unatokana na Wanaume Legelege

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
UMASKINI WA FAMILIA UNATOKANA NA BABA DHAIFU, NA UMASKINI WA TAIFA UNATOKANA NA WANAUME LEGELEGE.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Nimekosa Lugha itakayoweza kuelezea Jambo hili zaidi ya niliyoitumia. Ikiwa kuna yeyote mwenye moyo mwepesi, ambaye si mhimilivu wa Lugha kali basi nashauri asiendelee kusoma. Na ikiwa ataendelea kusoma basi madhara yoyote hayatahusiana na Mimi Bali yeye mwenyewe.

Ni Yule Mtibeli Kutoka Nyota ya Tibeli yenye mbawa mbili zenye nguvu irukayo Kutoka Ulimwengu mmoja kuelekea mwingine.

Umaskini wetu chanzo chake ni udhaifu wetu Sisi wanaume. Ili uwe maskini itakupasa uwe dhaifu Sana. Uwe dhaifu kiakili, kiimani, Kiroho na Kimwili.

Hatukatai wengi wetu tumetoka katika Familia dhaifu Sana zilizoongozwa na Wanaume Dhaifu. Naam dhaifu Sana. Bila kujali ni mipango ya aliyetuumba au vyovyote vile lakini ukweli utabaki palepale kuwa Familia, koo, jamii au taifa lenye wanaume dhaifu lazima liwe Maskini.

Neno mwanaume linamaanisha NGUVU, ndio nguvu ya Akili, Roho, moyo na Mwili ambavyo vitampa mwanaume Maisha ayatakayo yeye na familia yake. Mwanaume ni Kiongozi, kiongozi ukiwa dhaifu utafanya familia yako kuwa dhaifu, Maskini, yenye kudharauliwa na kubaguliwa Kwa sababu kitu dhaifu lazima kibaguliwe.

Ukiona jamii yenu au familia yenu inabaguliwa jua Baba na Mababu zako kuna sehemu wakipuyanga. Walikuwa dhaifu, wazembe, wanaume Legelege. Ndio maana walibaguliwa.

Hata kubaguliwa Kwa Sisi waafrika ni matokeo ya Baba na Babu zetu kuwa wadhaifu katika maeneo makuu yanayoshikilia Maisha ya Mwanadamu, Akili, mwili, Roho na Hisia.

Hakuna mapenzi ya Mungu ati wewe uwe Dhaifu, ni Watu wajinga, wazembe, wadhaifu na wenye Upeo mdogo watakaoweza kufikiria Jambo Hilo. Ukiona MTU anakuambia kuwa udhaifu ulionao unatokana na Nguvu ya Muumba wako ujue huyo kakudharau. Anataka uwe dhaifu siku zote.

Hatutawalaumu Baba na Babu zetu tena, sasa ni zamu yetu. Je, tutakubali tuwe Dhaifu? Je upo tayari kuona Mkeo na watoto wako wakidharaulika? Yaani familia yako ikionekana dhaifu? Ninaamini hakuna ambaye Yuko tayari kuwa dhaifu iwe Kwa umaskini wa Mali, Akili au Roho.

Umaskini wako unatokana na ujinga wako, unatokana na uzembe na uvivu wako. Unatokana na kutokuwa na nidhamu na uadilifu. Unatokana na kuongozwa na wanaume wenye udhaifu mkubwa.

Hatuwezi kuwa taifa kubwa Kwa kuwa ña wanaume dhaifu ambao wanashindwa na mambo madogo madogo. Hatuwezi!

Ili uwe mwanaume Bora na uondoe umaskini katika familia, ukoo, jamii na taifa lako ni lazima uondoe udhaifu wako. Be a Man. Mwanaume ni Nguvu. Ukishakuwa legelege matokeo yake ndio haya tunayoyaona.

Jinsi ya kuwa mwanaume mwenye Nguvu ili uuondoe umaskini katika familia yako;

1. Jifunze kuwa na Akili na maarifa.
Hakikisha unakuwa na Akili na maarifa. Hakikisha Upeo wako WA Akili unanguvu.
Zipo Njia za kuwa na Akili na maarifa;
I) Soma vitabu au maandiko
ii) Learn by practice, jifunze Kwa kufanya vitu mbalimbali.
iii) Omba Mungu wako akufunulie. Sio mwanaume mzima unaishi kama mbuzi.
Mwanaume ni lazima uwe na Mungu ambaye utakuwa unapokea oda Kutoka kwake. Akisema No msikilize, akisema Yes msikilize.

2. Fanya Kazi.
Akili yako muda wote iwaze kufanya kazi. Iwaze na kufanya kazi mbalimbali.
Sio unatoka kazini unawaza kulewa au kulala na Wanawake hizo ni Akili za Wanaume Dhaifu na Legelege, labda ufanye hivyo Kwa nadra yaani angalau Kwa mwezi mara moja au kila Baada ya miezi mitatu.

Ukishakuwa Baba na umezaa Watoto lazima uwafikirie wale Watoto wataishije hata siku ukiondoka,
Mwanaume ni kazi tuu. Hakuna Lugha nyingine itakayokutafsiri mwanaume zaidi ya Kazi.

Fanya kazi kwa Akili, Kwa maarifa, Kwa ujuzi, na Kwa uaminifu.

3. TOA Upendo
Mwanaume ni kama jua, wewe ndiye chanzo cha Upendo ndani ya jamii. Ukiona jamii inaukatili mkubwa basi jua wanaume wake ni makatili haswa. Ukiona jamii au taifa linaupendo basi angalia wanaume wake wapo vivyohivyo.

Ukishakuwa mwanaume ni jukumu lako kupenda Mkeo na watoto. Watoto wako watajifunza kujali na kupenda kupitia Matendo yako
Ukishakuwa mwanaume usiye na upendo automatically wewe ni Mwanaume dhaifu, Maskini na uliyeshindwa na matokeo yake yanaonekana Kwa Watoto na wajukuu wako.

Kwa mfano, unajua kabisa kuoa mke wa pili au ku- cheat Mkeo ni ubinafsi mkubwa, ni usaliti mkubwa. Alafu Kwa sababu ya udhaifu wako, ulegelege wako unaoa na kuzalisha Wanawake zaidi na zaidi bila kujali. Mwishowe familia yako inakuwa familia iliyojengwa katika msingi(Baba) dhaifu, na uwezekano wa familia yako kuwa Maskini ni mkubwa Mno.

Unapofanya Jambo kama Baba au Mwanaume ni lazima uangalie wale unaowapenda au wanaokupenda watahisi vipi, pia Angalia he ukitendewa wewe utajisikiaje?

Kuwa na Akili na Maarifa, kufanya kazi ili uweze kuipenda familia yako vizuri NI moja ya mambo yatakufanya uwe mwanaume Bora Kwa Watoto kujivunia.

4. Iweke familia kuwa na umoja kisha malizia na Jamii yako.
Ni jukumu kuu la Baba kuifanya familia iwe moja, na Hilo litawezekana ikiwa utakuwa na Akili na maarifa, utakuwa na kazi ya kuihudumia lakini mwisho utakuwa unatoa upendo Sawa bila kupendelea.

Familia ambayo haina umoja inatokana na Baba na wanaume dhaifu.
Na familia ambayo haina umoja automatically itakuwa familia Maskini, dhaifu na Legelege.

Nafahamu wapo Wanawake wanaoweza kukupa changamoto za kupima uanaume wako wakijaribu kuifanya familia yako Isiwe na umoja lakini hiyo sio kisingizio cha wewe kushindwa kuiweka familia yako Sawa.
Jambo kubwa ambalo utatakiwa ulizingatie ni Haki, upendo, Akili, na Ukweli. Hayo yote utumie Hekima na busara katika kuyaendea.

Kuna Ile Hali ya wanaume kusema huwezi kuwa na Mwanamke mmoja. Sawa. Lakini kama umeshajua Mkeo hataweza kukukubalia na sio Haki basi unaweza kwenda kununua madadapoa Huko kwenye makasino au madanguro. Unamalizana hapo Chini ya uangalizi wa huyo Kahaba ambao ninauhakika hata namba yako ya siku hatakuomba labda ujipendekeze na kama ni Kahaba professional hawezi kukubali kukupa mawasiliano yake.

Mila potofu zozote zenye lengo la kukufanya uwe mwanaume dhaifu hasa kiakili, kihisia na Kiroho hizo Achana nazo zitakufanya uwe maskini tuu.

Kama Baba pale unapokosea Kiri kuwa umekosea, na sio kujitutumua kama Mpumbavu. Kwamba mzazi hakosei alafu muda huohuo ni Maskini. Huwezi kuwa Maskini bila kukosea. Iwe Makosa ya Akili, kihisia, Kiroho au kiutendaji WA mwili.

Kukubali Makosa ni moja ya Sifa za mwanaume Bora. Kisha uwajibikaji.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Mkuu sijaona haja ya kuongeza neno katika Uzi wako zaidi ya kukazia
 
Neno mwanaume linamaanisha NGUVU, ndio nguvu ya Akili, Roho, moyo na Mwili ambavyo vitampa mwanaume Maisha ayatakayo yeye na familia yake.
Mwanaume ni Kiongozi, kiongozi ukiwa dhaifu utafanya familia yako kuwa dhaifu, Maskini, yenye kudharauliwa na kubaguliwa Kwa sababu kitu dhaifu lazima kibaguliwe.

Ukiona jamii yenu au familia yenu inabaguliwa jua Baba na Mababu zako kuna sehemu wakipuyanga. Walikuwa dhaifu, wazembe, wanaume Legelege. Ndio maana walibaguliwa.

Hata kubaguliwa Kwa Sisi waafrika ni matokeo ya Baba na Babu zetu kuwa wadhaifu katika maeneo makuu yanayoshikilia Maisha ya Mwanadamu, Akili, mwili, Roho na Hisia.

Hakuna mapenzi ya Mungu ati wewe uwe Dhaifu, ni Watu wajinga, wazembe, wadhaifu na wenye Upeo mdogo watakaoweza kufikiria Jambo Hilo. Ukiona MTU anakuambia kuwa udhaifu ulionao unatokana na Nguvu ya Muumba wako ujue huyo kakudharau. Anataka uwe dhaifu siku zote.

Hatutawalaumu Baba na Babu zetu tena, sasa ni zamu yetu. Je tutakubali tuwe Dhaifu? Je upo tayari kuona Mkeo na watoto wako wakidharaulika? Yaani familia yako ikionekana dhaifu?
Ninaamini hakuna ambaye Yuko tayari kuwa dhaifu iwe Kwa umaskini wa Mali, Akili au Roho.

Mkuu nenda moja kwa moja peponi, malaika wakikuuliza why??

Simply waambie zambi zako nimebeba mimi.

una akili sana mtu wa mungu, barikiwa mpaka ushangae.
 
Naongezea! Matatizo ya kiuchumi, kijamii, kisiasa ya taifa letu yanatokana na wanaume legelege waliopata fursa ya kuongoza wakashindwa na kupelekea wanawake kutuongoza! Mkubali mkatae kuongozwa na mwanamke ni udhaifu mkubwa katika taifa! Angalia mihimili miwili serikali na bunge wamekaa wanawake! Samia anasaini mkataba mbovu wa DPW Tulia anaupitisha! Hilo ni taifa legelege! Wanaume ni kufikiria ngono na ulevi na kuiba ili tuwapelekee wanawake (machangudoa na nyumba ndogo)! Wanaume tushtuke turudishe nafasi zetu turizoporwa!
 
Mtibeli nahis utakua unaamini maendeleo yanatoka kwenye dictatorship haya mambo ya democracy yamekuja kuharibu mipango mizima ya maisha. Mwanaume akiwa na kauli uanaume legelege unapotea tofauti na hizi democracy za mwanamke nae ana haki 🙂🙂🙂
 
UMASKINI WA FAMILIA UNATOKANA NA BABA DHAIFU, NA UMASKINI WA TAIFA UNATOKANA NA WANAUME LEGELEGE.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Nimekosa Lugha itakayoweza kuelezea Jambo hili zaidi ya niliyoitumia. Ikiwa kuna yeyote mwenye moyo mwepesi, ambaye si mhimilivu wa Lugha kali basi nashauri asiendelee kusoma. Na ikiwa ataendelea kusoma basi madhara yoyote hayatahusiana na Mimi Bali yeye mwenyewe.

Ni Yule Mtibeli Kutoka Nyota ya Tibeli yenye mbawa mbili zenye nguvu irukayo Kutoka Ulimwengu mmoja kuelekea mwingine.

Umaskini wetu chanzo chake ni udhaifu wetu Sisi wanaume. Ili uwe maskini itakupasa uwe dhaifu Sana. Uwe dhaifu kiakili, kiimani, Kiroho na Kimwili.

Hatukatai wengi wetu tumetoka katika Familia dhaifu Sana zilizoongozwa na Wanaume Dhaifu. Naam dhaifu Sana. Bila kujali ni mipango ya aliyetuumba au vyovyote vile lakini ukweli utabaki palepale kuwa Familia, koo, jamii au taifa lenye wanaume dhaifu lazima liwe Maskini.

Neno mwanaume linamaanisha NGUVU, ndio nguvu ya Akili, Roho, moyo na Mwili ambavyo vitampa mwanaume Maisha ayatakayo yeye na familia yake.
Mwanaume ni Kiongozi, kiongozi ukiwa dhaifu utafanya familia yako kuwa dhaifu, Maskini, yenye kudharauliwa na kubaguliwa Kwa sababu kitu dhaifu lazima kibaguliwe.

Ukiona jamii yenu au familia yenu inabaguliwa jua Baba na Mababu zako kuna sehemu wakipuyanga. Walikuwa dhaifu, wazembe, wanaume Legelege. Ndio maana walibaguliwa.

Hata kubaguliwa Kwa Sisi waafrika ni matokeo ya Baba na Babu zetu kuwa wadhaifu katika maeneo makuu yanayoshikilia Maisha ya Mwanadamu, Akili, mwili, Roho na Hisia.

Hakuna mapenzi ya Mungu ati wewe uwe Dhaifu, ni Watu wajinga, wazembe, wadhaifu na wenye Upeo mdogo watakaoweza kufikiria Jambo Hilo. Ukiona MTU anakuambia kuwa udhaifu ulionao unatokana na Nguvu ya Muumba wako ujue huyo kakudharau. Anataka uwe dhaifu siku zote.

Hatutawalaumu Baba na Babu zetu tena, sasa ni zamu yetu. Je tutakubali tuwe Dhaifu? Je upo tayari kuona Mkeo na watoto wako wakidharaulika? Yaani familia yako ikionekana dhaifu?
Ninaamini hakuna ambaye Yuko tayari kuwa dhaifu iwe Kwa umaskini wa Mali, Akili au Roho.

Umaskini wako unatokana na ujinga wako, unatokana na uzembe na uvivu wako. Unatokana na kutokuwa na nidhamu na uadilifu. Unatokana na kuongozwa na wanaume wenye udhaifu mkubwa.

Hatuwezi kuwa taifa kubwa Kwa kuwa ña wanaume dhaifu ambao wanashindwa na mambo madogo madogo. Hatuwezi!

Ili uwe mwanaume Bora na uondoe umaskini katika familia, ukoo, jamii na taifa lako ni lazima uondoe udhaifu wako. Be a Man. Mwanaume ni Nguvu. Ukishakuwa legelege matokeo yake ndio haya tunayoyaona.

Jinsi ya kuwa mwanaume mwenye Nguvu ili uuondoe umaskini katika familia yako;

1. Jifunze kuwa na Akili na maarifa.
Hakikisha unakuwa na Akili na maarifa. Hakikisha Upeo wako WA Akili unanguvu.
Zipo Njia za kuwa na Akili na maarifa;
I) Soma vitabu au maandiko
ii) Learn by practice, jifunze Kwa kufanya vitu mbalimbali.
iii) Omba Mungu wako akufunulie. Sio mwanaume mzima unaishi kama mbuzi.
Mwanaume ni lazima uwe na Mungu ambaye utakuwa unapokea oda Kutoka kwake. Akisema No msikilize, akisema Yes msikilize.

2. Fanya Kazi.
Akili yako muda wote iwaze kufanya kazi. Iwaze na kufanya kazi mbalimbali.
Sio unatoka kazini unawaza kulewa au kulala na Wanawake hizo ni Akili za Wanaume Dhaifu na Legelege, labda ufanye hivyo Kwa nadra yaani angalau Kwa mwezi mara moja au kila Baada ya miezi mitatu.

Ukishakuwa Baba na umezaa Watoto lazima uwafikirie wale Watoto wataishije hata siku ukiondoka,
Mwanaume ni kazi tuu. Hakuna Lugha nyingine itakayokutafsiri mwanaume zaidi ya Kazi.

Fanya kazi kwa Akili, Kwa maarifa, Kwa ujuzi, na Kwa uaminifu.

3. TOA Upendo
Mwanaume ni kama jua, wewe ndiye chanzo cha Upendo ndani ya jamii. Ukiona jamii inaukatili mkubwa basi jua wanaume wake ni makatili haswa. Ukiona jamii au taifa linaupendo basi angalia wanaume wake wapo vivyohivyo.

Ukishakuwa mwanaume ni jukumu lako kupenda Mkeo na watoto. Watoto wako watajifunza kujali na kupenda kupitia Matendo yako
Ukishakuwa mwanaume usiye na upendo automatically wewe ni Mwanaume dhaifu, Maskini na uliyeshindwa na matokeo yake yanaonekana Kwa Watoto na wajukuu wako.

Kwa mfano, unajua kabisa kuoa mke wa pili au ku- cheat Mkeo ni ubinafsi mkubwa, ni usaliti mkubwa. Alafu Kwa sababu ya udhaifu wako, ulegelege wako unaoa na kuzalisha Wanawake zaidi na zaidi bila kujali. Mwishowe familia yako inakuwa familia iliyojengwa katika msingi(Baba) dhaifu, na uwezekano wa familia yako kuwa Maskini ni mkubwa Mno.

Unapofanya Jambo kama Baba au Mwanaume ni lazima uangalie wale unaowapenda au wanaokupenda watahisi vipi, pia Angalia he ukitendewa wewe utajisikiaje?

Kuwa na Akili na Maarifa, kufanya kazi ili uweze kuipenda familia yako vizuri NI moja ya mambo yatakufanya uwe mwanaume Bora Kwa Watoto kujivunia.

4. Iweke familia kuwa na umoja kisha malizia na Jamii yako.
Ni jukumu kuu la Baba kuifanya familia iwe moja, na Hilo litawezekana ikiwa utakuwa na Akili na maarifa, utakuwa na kazi ya kuihudumia lakini mwisho utakuwa unatoa upendo Sawa bila kupendelea.

Familia ambayo haina umoja inatokana na Baba na wanaume dhaifu.
Na familia ambayo haina umoja automatically itakuwa familia Maskini, dhaifu na Legelege.

Nafahamu wapo Wanawake wanaoweza kukupa changamoto za kupima uanaume wako wakijaribu kuifanya familia yako Isiwe na umoja lakini hiyo sio kisingizio cha wewe kushindwa kuiweka familia yako Sawa.
Jambo kubwa ambalo utatakiwa ulizingatie ni Haki, upendo, Akili, na Ukweli. Hayo yote utumie Hekima na busara katika kuyaendea.

Kuna Ile Hali ya wanaume kusema huwezi kuwa na Mwanamke mmoja. Sawa. Lakini kama umeshajua Mkeo hataweza kukukubalia na sio Haki basi unaweza kwenda kununua madadapoa Huko kwenye makasino au madanguro. Unamalizana hapo Chini ya uangalizi wa huyo Kahaba ambao ninauhakika hata namba yako ya siku hatakuomba labda ujipendekeze na kama ni Kahaba professional hawezi kukubali kukupa mawasiliano yake.

Mila potofu zozote zenye lengo la kukufanya uwe mwanaume dhaifu hasa kiakili, kihisia na Kiroho hizo Achana nazo zitakufanya uwe maskini tuu.

Kama Baba pale unapokosea Kiri kuwa umekosea, na sio kujitutumua kama Mpumbavu. Kwamba mzazi hakosei alafu muda huohuo ni Maskini. Huwezi kuwa Maskini bila kukosea. Iwe Makosa ya Akili, kihisia, Kiroho au kiutendaji WA mwili.

Kukubali Makosa ni moja ya Sifa za mwanaume Bora. Kisha uwajibikaji.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
watakuelewa wachache sana, wengi wetu hatupendi kuambiwa ukweli😓
 
Mkuu je Mungu wako anakuambia ufanye hiki na usifanye hiki?
 
Back
Top Bottom