Jamani kwanini wanaume hamtulii mnakosa Nini??
Lazima uwe na mweusi ,mweupe , mwarabu ,mhindi, yaaniwafrika hadi keroo .
Mnachoshagaza serious , ni baada ya jirani yetu mkewe kasafiri na bado ameenda kuleta wadada wawili humo ndani Sasa mnakwama wapi??
Yaani unamsikia kabisa anakula nao good...