Tatu Bila ya TMK Wanaume Halisi Vs Dar mpaka Moro ya TMK Wanaume Family ipi ngoma kali

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,028
12,344
Battle hili hapa la walio kuwa kundi moja na baadae kuvunjika na kuunda Tmk wanaume family na Tmk wanaume halisi.

Makundi yote haya mawili yali bahatika kutoa mikwaju mikali way back naweka battle kati ya mikwaju yao maarufu miwili.

Tatu bila ya Tmk wanaume halisi
VS
Dar mpaka moro ya Tmk wanaume family

Mkwaju wa kundi gani ulikuwa mkali hapa wanangu wa hip hop?
 
Acha kufananisha Dar mpaka Moro na vitu vya ajab.

Chege,YP rip,My Temba dah! Goma tamu

Chege:Mshikaji wangu yp sikia kuna Dem mimi nimemzimia anasema tumfate Moro kule wanapotoka wapogoro.

You:yeye kwanini asije×2 tukimfata tutaonekana wadhaifu.

Chege:mtoto mambo safi kwao kuna noti.

Yp:usijifanye Ina uhakika we we chege tusije kuoneoana mabwege
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom