NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,853
wanaume wanaohimizana watafute hela ili watoke na wanawake wazuri, wengi wao background zao ni umaskini uliotukuka. Sehemu walizotokea na kuishi miaka mingi wameshakuwa brain washed kuiweka pesa mbele na ukifatilia vizuri kundi hili ndio wamekariri sana msemo wa "Tafuta Hela" , kwao Pesa ndio Mungu.
Ila ukifatilia wanaume ambao wako na background tangu wadogo, wengi unaona hata wanapoingia kwenye mahusiano wanaamini kuna mapenzi, Pesa inakuwepo lakini inakuwa nyuma ya penzi, sio kama kundi la kwanza, Kundi hili ni nadra sana hata kusikia misemo kama "Tafuta hela"
Nadhani utofauti mkubwa ni kwamba wale wanaozikuta ukubwani baada ya msoto wanawaona wanawake ni bidhaa kama za sokoni, hawaamini kabisa kwenye mapenzi, kwao linapokuja suala la mwanamke wanawaona ni vingamuzi. wanaamini mwanamke anachotaka ni pesa tu, wanaweza kukaa nje ya mkoa hata mwezi wao wanatuma pesa tu wanajua mwanamke anachotaka ni pesa tu, kwao Pesa ni kama Mungu.
Kwa upande wa wale walio vizuri na walizikuta hawa wanaamini mapenzi yapo, off course wanatoa pesa lakini wanaamini mapenzi sio pesa tu asilimia 100, hapa mara nyingi wakikukatana wao kwa wao na wenzao waliozikuta panakuwa hakuna shida, ila sasa wakijichanganya kutoka na mabinti wenye background za umasikini ni ngumu sana kuishi maana kila saa wanaombwa pesa, mabinti waliokutana nao huwa wana njaa kali sana.