DR nijilekukasi
New Member
- Aug 4, 2023
- 4
- 5
Zifuatazo ni faida za kuoa mke zaidi ya mmoja
01. kupunguza wimbi kubwa la machafu ya uzinifu kwenye jamii....sababu wanawake asilimia kubwa watakuwa kwenye stara
02. Kuongezeka kwa uchumi na kukua maendeleo katika jamii ,hili jambo linatokana na baraka kutoka kwa Mungu wetu tutapowastiri wanawake kutokana na machafu ya uzinifu kutapelekea baraka nyingi na kupanda kwa uchumi katika jamii.
03. Kupunguza wimbi la wanawake wanaotembea uchi mitaani kwa malengo ya kujiuza ili kukizi mahitaji ya kifamilia
04. Ongezeko la wanaume wachapakazi na wasiokuwa na fikra potofu za ujinga na tamaa
05. Kumheshimisha na kumtukuza mwanamke katika jamii kutokana na uzalilifu uliokuepo hapo mwanzo kabla ya ndoa za matara
06. Wanawake tasa watastirika katika jamii kutokana na aibu ya ndoa za kijinga zinazolenga kupata watoto pekee na si kulenga kuwahifadhi wanawake na uzinifu ivo wanawake hawa hawatopewa taraka bali watastirika na dini yao wataitekeleza kwa weledi kabisa.
07. Ongezeko la nguvu za kiume kwa wanaume kutokana na kukua kwa kifikra na kujiamini kiakili na kutokana na ushiriki wa tendo la ndoa mara kwa mara.
HIZI NI FAIDA CHACHE ZIPO FAIDA NYINGI TUTAENDELEA SIKU NYINGINE MUNGU AKIPENDA MWENYE MAONI RUKSA KWA LUGHA ZINAZOPENDEZA.