Waraka mpya kwa wanaume wote

Mr Lukwaro

JF-Expert Member
Jun 3, 2023
357
621
KIKAO CHA WANAUME.

Kikao cha wanaume kimeisha salama jana.

Kwa wale ambao hamkuweza kuhudhuria, kamati ya pesa na mahitaji tulitoa mapendekezo mapya.

Marejeo ya sheria ya kutohonga, kifungu cha 12, kilichokuwa kikisema hairuhusiwi kumpa hela mwanamke ambaye hujamuoa wala hujazaa nae.

Labda kwa shida maalum kama vocha ambayo anakupigia nayo mwenyewe..

Tumependekeza maboresho kadhaa..

Suala la kukutana ni la wote sio upande mmoja, hivyo kama mwanamke atataka kuonana na wewe, hana budi kutumia nauli yake kukufata..

Wakati wa kuondoka unaweza kumpa hela, lakini SIO LAZIMA.

Kikaoni pia tulizungumza kuhusu hela ya kutolea, na muafaka ukawa..

Kama wanataka hela ya kutolea basi waje nyumbani kuifata hela kamili, Tusiwanufaishe maboss wa Tigopesa na M-pesa tusiowajua.

Wale mabingwa wa jibu la "Kuna hela naisikilizia" wameongezwa katika kamati ya wajumbe waweka adhina..

Kila pesa ya chama chetu, itatunzwa na ubahiri wao,.

Adhabu kali itatolewa kwa wanaume wote ambao, walipotongoza na kukataliwa, wakaendelea kuwa na urafiki na mademu hao..

Kama amekukataa, futa namba na aache mazoea..

Sheria ya makosa yasiyosameheka, uhaini na jinai, yametanabaisha yafuatayo.

Kujibu kistaarabu text ya mwanamke anayekutafuta akiwa na shida pekee..

Kutomuazima mwenzio chumba, pale anapotaka kuleta manzi yake..

Kumkandia/ kumuaibisha mwanaume mwenzio, hili upendwe wewe..

Kulalamika, kulialia na kutia huruma inbox pale unapotumiwa text ya kuachwa.

Kumpokea kwa bashasha demu asiyefanana na snapchat yake,

Mwanamke ambaye kwenye edit za picha ni Rihanna, alafu live ni Josh Onyango, inasharutishwa aachwe stand ya daladala..

Upande wa pili..

Wale wadada ambao huwa wanatuambia wapo njiani wanakuja, hivyo kusabababisha sisi tufanye usafi wa kiwango kikubwa..

Na mwisho wa siku hawatokei, imependekezwa tuwaache mara moja bila kujali urembo wao..

Mjumbe aliyekumbwa na hali hii zaidi ya mara 1 aliuliza kwa jazba, "Kama hawawezi kuja gheto, kwenye harusi atakuja kweli?"

Mengineyo, tumefikia muafaka kuwa kama uwanja ni mkubwa basi Sharti ni kuzunguka round moja tu..

Yaliyoorodheshwa yafanyiwe kazi, Majukumu mema wanaume wenzangu.

IMG_20230820_155101.jpg
 
View attachment 2727450
Kuna unyama SANA hapa
 
Kutomuazima mwanaume geto lako kwa ajili ya manzi yake naomba hii sheria na kanuni zake za adhabu ipitiwe upya.Nawasilisha
 
Asante katibu,..umewasilisha vizuri mno,..ila sijapenda picha yangu uliyotupia hapo chini😉😉
 
😂😂😂Sheria mbona nzito hizi kwa Mimi kama mwanachama.
 
Mwiko kutumia uwanja wa nyuma.....utafiti unaonyesha ndio lango kuu la umaskini na mikosi.🤪
 
Back
Top Bottom