Wanaume tuwaheshimu sana wanawake walioamua kutuzalia na kutulia kwenye ndoa

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,928
Imagine huna hela huna lolote la maana ila kuna mwanamke kaamua uwe mume wake na kakuzalia watoto na hakuchit kamwe katulia kwenye ndoa na akitongozwa anawasemelezea kwako waliomtongoza.

Mwanamke kama huyu muheshimu sana akimlilia mungu wake KWA maboko unayomfanyia mungu atamjibu. Imagine una kichogo cha mkia wa jogoo na unapendwa!!!!!!
 
Imagine huna hela huna lolote la maana ila kuna mwanamke kaamua uwe mume wake na kakuzalia watoto na hakuchit kamwe katulia kwenye ndoa na akitongozwa anawasemelezea kwako waliomtongoza .mwanamke kama huyu muheshimu sana akimlilia mungu wake KWA maboko unayomfanyia mungu atamjibu. Imagine una kichogo cha mkia wa jogoo na unapendwa!!!!!!
aisee, kama umempata wa hivyo hongera sana.
 
Back
Top Bottom