Kwanini sisi wanaume wa 1980s tunapendwa sana na mademu wakali kila sehemu?

Kichwamoto

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
3,353
4,535
Habarini nyote,

Nimefanya kautafiti ka rasha rasha ni hivi mademu wakali wengi wanatupenda sisi wanaume wazaliwa wa 1980s kuliko hayo makundi mengine.

Na kila mikoa ninayozunguka kibiashara kote vybe ni hilo hilo.

Tusaidiane majibu kwa nini iko hivyo?

Ni hayo tu 🙏🙏🙏
 
Habarini nyote,

nimefanya kautafiti ka rasha rasha ni hivi mademu wakali wengi wanatupenda sisi wanaume wazaliwa wa 1980s kuliko hayo makundi mengine.

Na kila mikoa ninayozunguka kibiashara kote vybe ni hilo hilo.

Tusaidiane majibu kwa nini iko hivyo?

Ni hayo tu 🙏🙏🙏
Inaelekea wewe mawazo yako ni kwa wanawake tu,what do you get out of it.Pole sana.
 
Back
Top Bottom