Wanaume punguzeni chips mayai

Screenshot_20230423-122349_Quora.jpg

Sawa mtaalam wa mizagamuano
 
Inashangaza sana siku hizi kuona wanaume wengi(sio wote) wanakula sana chips mayai, hii inapelekea wanakua wavivu ,uwezo wa kufikiri unakua mdogo, hawajitumi ,tena kitandani ndio perfomance zero kabisa .Mwanaume inabidi ule ugali wa dona na sio chipa mayai jamani.
Nchi za Africa kusini mwa jangwa la sahara ambazo ugali ni chakula pendwa ndizo nchi masikini zaidi.
Hivi kuna connection kati ya ugali na akili?
 
Hayo mahindi marekani wanalima sana na wanalishia mifugo, bado wana akili mara 1000 ya sisi na wao ndio wameendelea sana.

Kula ugali watoto wadumae ,ngozi zinakosa nuru zinakuwa kama kenge. Ushamba wenu wakufirikia kwamba ugali ndio chakula bora bakini nao huko bara kaangalie wachina wanakula nini?
 
Inashangaza sana siku hizi kuona wanaume wengi(sio wote) wanakula sana chips mayai, hii inapelekea wanakua wavivu ,uwezo wa kufikiri unakua mdogo, hawajitumi ,tena kitandani ndio perfomance zero kabisa .Mwanaume inabidi ule ugali wa dona na sio chipa mayai jamani.


Unakutana nao milo yote mi 3 na hao hao wanaume? Unajuaje unayekutana naye anakula leo baada ya mwezi?
 
Inashangaza sana siku hizi kuona wanaume wengi (sio wote) wanakula sana chips mayai. Hii inapelekea wanakuwa wavivu, uwezo wao wa kufikiri unakuwa mdogo, hawajitumi, tena kitandani ndio performance zero kabisa. Mwanaume inabidi ule ugali wa dona na sio chips mayai, jamani.
Na kuongezea wachina wako strong hatari
 
Wanaokula Junk food ndio wanatuletea smartphones, Computers, AI etc. Sisi tunakazana kula magimbi tupate nguvu za kufanya mapenzi. Ngozi nyeusi ni kama zina laana hivi!!!??
Kuweza kucreate kitu, kuna factors nyingi zinameet hapo.
Si chakula tuu.

Ndio maana huwezi kutupatia junk food ukatengemea tuwe kama silicon valley.
 
Nchi za Africa kusini mwa jangwa la sahara ambazo ugali ni chakula pendwa ndizo nchi masikini zaidi.
Hivi kuna connection kati ya ugali na akili?
Hakuna virutubisho vya maana zaidi ya kupanua tumbo.

Niliishi na mtoto wa Aunt miaka ya 80s alikuwa anapewa uji bakuli kubwa tano kwa siku.Matokeo amekuwa na umbo kubwa akili ndogo kama piriton.

Watu wengi walikuo kula ugali na mboga za hovyo hovyo hawana akili,ndio maana wana sign mikataba ya ajabu ajabu.
 
Hayo mahindi marekani wanalimq sana na wanalishia mifugo ,bado wana akili mara 1000 ya sisi na wao ndo wameendelea sana.

Kula ugali watoto wadumae ,ngozi zinakosa nuru zinakuwa kama kenge...ushamba wenu wakufirikia kwamba ugali ndo chakula bora bakini nao huko bara kaangalie wachina wanakula nn?
😂😂😂😂
 
Mleta uzi kashukiwa jumlajumla alidhani hizi ni zile zama za kuuzia watu dawa za nguvu za kiume.

Sema nguvu za kulimia mashamba sio nguvu za kiume. Unaweza kula hayo maugali na bdo kitandani ukawa 0.
 
Mi naomba tu nikwambie kitu ...hakuna mwanaume asiye na nguvu za kiume labda iwe ni maradhi...watu Wana matatizo ya kiuchumi tu.
 
Ko mnajilisha mivyakula migumu ili mshindane na mlikotoka mtatuweza?
Wanaume wajinga muda wote wanawaza ngono, wanawake tuna safari ndefu
 
Back
Top Bottom