Wanaume tuungane kujenga mnara wa wanawake wenye Chuchu embe, Msambwanda konki, kichwa kidogo na kasura kazuri.

Kichwamoto

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
3,353
4,535
Salamu tele,

Hakika Mungu anaumba kwa utulivu unakutana na mademu wenye Chuchu embe + Msambwanda+ kichwa kidogo+ kasura kazuri Mungu akupe nini zaidi ya baraka zake na ufunuo wa raha, ladha na utamu wa mapenzi.

Ni kwa hakika unajisikia una kaupako fulani ka mapenzi na kiu ya kupenzika.

Hakika Mungu ni mwenye rehema na upendeleo kwa aina ya uumbaji uliotukuka.

Tukipata mwenyeti wa kamati ya kuwajengea mnara nachangia laki2.

1. Kichwamoto mchango 200,000/=
2.........?
 
😆😄😄😄😄🤣🤣
 
Picha picha picha
 
Screenshot_20230809-111353_WhatsApp.jpg
 
Nachangia mifuko elfu moja ya cement kwa wanawake wanao funga khanga, vitenge, wasiopaka makeup, wasio na kucha bandia, kope bandia , nywele bandia, makalio bandia, wanao suka misuko ile ya twende kilioni, kilimanjaro, mabutu au yebo yebo.
.
Pia nitalipa mishahara pamoja na posho ya vibarua mia tano watakao husika katika ujenzi huo. Mshahara wa mkandarasi wa mnara pia utakua juu yangu .

michango yangu yote nawasilisha PM
 
Aahaaaaa
 
Back
Top Bottom