Wanaume siku hizi tumekuwa kama Jogoo

gwego1

Senior Member
Jul 28, 2023
147
521
Wasaalam.

Jogoo humpanda tetea ndani ya sekunde mbili anakuwa ashamaliza kazi.

Asilimia kubwa ya sisi wanaume naona tushakuwa kama Jogoo ndani ya sekunde Tano tunakuwa tushamaliza.

Wale tunaotumia sekunde chache kama kuku tukutane hapa tupeane mbinu za kuondoa hili tatizo.

Nawasilisha.
 
Hawa viumbe hawajawahi kuridhika hata ungekuwa unakesha. Chamsingi piga kwa kujiangalia uwezo wako km ni dk 40 au Lisaa
Kamwe huwezi shindana na shimo lile!
 
Balaa zito

Wanaume tupo kwenye hatari ya kufa pale tunapoamua kumtumia mwanamke kama chombo cha kushindana na mwanaume mwingine badala ya starehe.

Mwanaume yoyote ambaye haitaji kuthibitisha kuwa yeye ni mwanaume kuliko wengine hawezi kufa kirahisi rahisi maana akili yake inawaza ngono starehe sio ngono uthibitisho naweza shoo kuliko mumeo au x sijui boyfriend.
 
Wasaalam.

Jogoo humpanda tetea ndani ya sekunde mbili anakuwa ashamaliza kazi.

Asilimia kubwa ya sisi wanaume naona tushakuwa kama Jogoo ndani ya sekunde Tano tunakuwa tushamaliza.

Wale tunaotumia sekunde chache kama kuku tukutane hapa tupeane mbinu za kuondoa hili tatizo.

Nawasilisha.
Poleni wote
 
Back
Top Bottom