walimu

  1. JamiiForums Tanzania Utafiti: Walimu wanaosaidiwa katika masuala ya Afya ya Akili wanafaulisha zaidi Wanafunzi

    #AFYA: Utafiti wa mwaka 2023 uliofanywa na Kituo cha Taifa cha Takwimu za Elimu (NCES) cha nchini Marekani, umeonesha 87% ya Walimu wa Shule za Umma walikabiliwa na Msongo wa Mawazo, Kuelemewa na Kazi Ningi na Mtazamo Hasi juu ya Kada ya Ualimu. Hata hivyo, utafiti umebaini Shule zenye Utaratibu...
  2. JamiiForums Tanzania Shule ya msingi Ngingana ina wanafunzi 400 na walimu wawili

    Shule ya Msingi Ngingama, yenye wanafunzi zaidi ya 400 iliyoko wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma ina walimu wawili wa kuajiriwa na mmoja wa kujitolea, hivyo wanafunzi wanatumia muda mwingi kucheza badala ya kusoma. Kutokana na changamoto hiyo, wazazi, wanafunzi na walimu wameomba walimu waongezwe...
  3. JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi, Walimu na Wanafunzi kuanzisha club za kupambana na uhalifu shuleni

    Mkaguzi wa kata ya Mkundi Mkoani Morogoro Mkaguzi msaidizi wa Polisi A/INSP Anna Manumbu amebainisha kuwa Jeshi hilo kwa kushirikiana walimu na wanafunzi wanaunda club za kupambana na uhalifu mashuleni ambazo zitaongeza kasi ya kupambana na uhalifu na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Walimu wa kisasa kwaya za ibada za kikatoliki wanaua ladha halisi ya ibada za kikatoliki

    Zamani ilikuwa kwaya za kiibada zinavutia na kusisimua lakini wamekuja vijana wa hovyo wanajiita walimu wa kwaya yaaji Wana edit kila kitu mwisho wa siku kwaya za ibada hazigusi mioyo na kusisimua, ilikuwa kawaida mwanakwaya wa Bukoba kuimba kwaya Mtwara bila shidaa yoyote ila sasa ni ngumu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Benki kuu ya Tanzania(BOT) ni kweli mnalipa pesa za nauli kwa ubaguzi? Walimu wa Halmashauri ya Tunduru hatujalipwa tokea mwaka jana

    Benki kuu ya Tanzania ni taasisi kubwa na yenye heshima kubwa. Kuna jambo silielewi, sisi tuna madai yetu ya pesa za likizo za mwezi wa 12 mwaka jana. Hatujalipwa mpaka leo. Tukifuatilia kwa uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru tunaambiwa maombi yenu tulishayapeleka BOT. Kwanza nataka...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Walimu wa kike wamerundikana shule za mjini?

    Asilimia kubwa ya Walimu wote shule za vijijini ni wanaume. Kuna shule hazijawahi kuwa na mwalimu wa kike tangu kuanzishwa kwake. Kuna mtindo wa kurundika walimu wa kike shule za mjini kwa kigezo cha mazingira . Mwalimu wa kike akiajiriwa kijijini kidogo tu huyo amehama . Pita shule zilizopo...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Vyoo vya UDOM ni hatari kwa afya ya watumiaji wake

    Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM. Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani. Vyoo vimejaa balaa na hivyo kufanya tuugue sana. Pia vinavuja kwa juu na hakuna kinachotendeka hadi sasa. Naomba tu na hili...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Walimu wa Tanzania hawajitambui?

    Habari! Walimu ndio wenye number kubwa katika utumishi wa umma wakifuatiwa na wanajeshi, polisi na kada zingine. Zamani nikipohoji kwanini maslahi ya Walimu ni kidogo nikaambiwa kwakuwa idadi yao ni kubwa hivyo kama ukiwalipa pesa nyingi serikali itakuwa na mzigo mkubwa zaidi. Hili jibu kumbe...
  9. JamiiForums Tanzania Uongozi shule ya sekondari Nyiendo wilayani Bunda mtukumbuke walimu wa kujitolea-Part time teachers

    Chondechonde mkuu wa shule, kamati ya uongozi na bodi ya shule ya Sekondari Nyiendo tunawapigia magoti kwa huruma yenu mtusaidie kuhusu mambo yafuatayo. 1. Malipo ya mishahara yetu sasa tunaelekea ndani ya miezi minne hatujalipwa mishahara yetu.Sisi kama binadamu tuna wategemezi,tuna familia...
  10. JamiiForums Tanzania Walimu msipokuwa makini mwaka huu, mtakwisha!

    Walimu ni miongoni mwa raia wenye uelewa wa kutiliwa mashaka. Jamii inatarajia mambo makubwa kutoka kwa walimu lakini hawa viumbe wameshindwa kabisa kuishi maisha yanayoendana na taaluma yao pamoja na heshima wanayostahili katika jamii. Na mwaka huu kama hawatabadilika, watateseka sana. Baada...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa utaweza kuvaa viatu vya Ummy TAMISEMI? TAMISEMI ni ngumu, walimu hawajalipwa pesa za likizo za mwaka jana

    Mohamed Mchengerwa unaaminika ni waziri mchapakazi, tumekuandikia mara nyingi humu kwamba kuna ubaguzi kwenye Halmashauri zetu, mm nimetoa mfano wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, hakuna mabadiliko yoyote mpaka sahivi, baadhi wamelipwa na wengine hawajalipwa. Wakati huo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iwaajiri Walimu wahitimu wa mwaka 2015-2018 kwa mkupuo

    Serikali kupitia OR TAMISEMI inawajibu wa kuwaajiri walimu hususan wahitimu wa mwaka 2015-2018 kwa mkupuo bila kujali masomo waliosoma. Walimu hawa wengi wao wapo mitaani wakirandaranda huku na kule ili kuwezesha mikono yao iende kinywani. KWANINI SERIKALI IWAAJIRI WALIMU HAWA KWA MKUPUO? 1...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi wameshindwa kumkamata huyu tapeli anayewapiga Walimu kila siku?

    Heri ya mwaka mpya watu wangu wa nguvu. Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi. Naomba niseme kuwa huu ndio uzi wangu wa kwanza kwa mwaka huu wa 2024. Sikuwa nimepanga kuweka uzi hapa JF mapema hivi ila imenibidi nifanye hivyo baada ya kupokea ujumbe huu wa onyo kwa njia ya WhatsApp...
  14. JamiiForums Tanzania Ninawapenda sana walimu wangu

    Japo ni miaka mingi sijaonana na wengi wao, lakini ningali nikiwakumbuka sana. Wapo walionifundisha shule ya Msingi, wengine Sekondari, wengine High School na wengine Chuo Kikuu. Wote hao ni walimu wangu na ninawaheshimu wote. Kama ningetakiwa nitoe kipaumbele katika kuwaheshimu, ningeanzia na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mohamed Mchengerwa walimu Tunduru tumeshindwa kwenda likizo; Mkurugenzi, maDEO na maafisa utumishi wao wamejilipa na wameenda likizo

    Mh.waziri wetu wa TAMISEMI sisi walimu wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma tuli-submit maombi yetu ya kwenda likizo ya malipo mwezi wa 11 mwanzoni. Ilikuwa tuende likizo kujiunga na familia na ndugu zetu ktk sherehe za mwisho wa mwaka huu. Tunasikitika kukueleza kwa masikitiko...
  16. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Taarifa za kiutumishi wa walimu katika Tume ya Utumishi "TCSMIS" na Shahada za uzamiri

    Napenda kuipongeza tume kwa kufanya kazi nzuri ya kuhakikisha walimu wanapatiwa huduma kuendana na mahitaji ya kiteknolojia ya sasa. Jambo hili kwa kweli linatia moyo na limeisogeza huduma mikononi mwa walaji. Masikitiko yangu makubwa ni kuona mfumo huu muhimu wa Taarifa za walimu ukiacha ombwe...
  17. JamiiForums Tanzania Picha: Hivi hili suala kuwahusu walimu lina ukweli ndani yake?

    Endapo Mpwayungu Village atapita hapa. Atasononeka sana, aisee!
  18. JamiiForums Tanzania Walimu Wamchangia Rais Samia Hela ya Fomu Kugombea Urais 2025

    UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama awapongeza Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari nchini kwa kuwatia moyo waathirika wa Hanang

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akipokea mchango wa Walimu Wakuu wa shule za Sekondari nchini kwaajili ya waathirika wa maafa ya maporomoko ya matope na mawe kutoka mlima Hanang uliowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed...
  20. JamiiForums Tanzania Rais wa CWT Leah Ulaya atumika na genge la maadui wa walimu

    CWT ilizaliwa tarehe 1/11/1993 na mwaka huu Chama kimepanga kufanya kumbukizi ya miaka 30 ya umri wake jijini Mwanza. Kwa kawaida maandalizi ya shughuli kama hii hupangwa na Sekretarieti yaani rais, makamu wa rais, katibu mkuu, naibu katibu mkuu, na mwekahazina wa chama. Kisha mpango huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…