Waziri Mkenda hawa walimu walikosea nini hadi wapewe hii adhabu ya kuporwa madawati ya kukalia?

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,211
42,073
Hii hali ndio inafanya watu wachukie kazi ya ualimu na wengine waione ni kazi ya utumwa na inayo dharauliwa kabisa!

Hivi inakuwaje Mwalimu anaporwa kiti au dawati la kukali kisha anakwenda kupewa mwanafunzi?

Haki za walimu ziko wapi kwanini mnawadhalilisha na kutweza utu wao namna hii?

Kwanini hiyo Kamati na watendaji walishindwa kutafita meza au madawati halafu walimu wana adhibiwa kwa kukosa pa kukaa?

Hivi hawa walimu ilikuwa jukumu lao kutafuta madawati? Kwanini hawa walimu wasichukie hii kazi? Wamekosa nini hadi wapewe hii adhamu?

IMG_1380.jpeg
 
Mapoyoyo hai walimu. Wanashindwa kuwatafutia madawati wanafunzi qanajitafutia wao?

Hao wangechapwa na fimbo juu.

Hao ndiyo walimu wanaofundisha wanafunzi ujinga.
 
Hii hali ndio inafanya watu wachukie kazi ya ualimu na wengine waione ni kazi ya utumwa na inayo dharauliwa kabisa!
Hivi inakuwaje Mwalimu anaporwa kiti au dawati la kukali kisha anakwenda kupewa mwanafunzi?
Haki za walimu ziko wapi kwanini mnawadhalilisha na kutweza utu wao namna hii?
Kwanini hiyo Kamati na watendaji walishindwa kutafita meza au madawati halafu walimu wana adhibiwa kwa kukosa pa kukaa?

Hivi hawa walimu ilikuwa jukumu lao kutafuta madawati? Kwanini hawa walimu wasichukie hii kazi? Wamekosa nini hadi wapewe hii adhamu?
Halafu DED ananunua gari la Mil 600 nchi ya vichaa
 
Hao waalimu ndio wajinga na wapumbavu.

Ukikubalika mtu akudharau kisa sababu ya umaskini au elimu au kipato chako nawe ukafanya kile alichokuamuru wewe ni Mpumbavu
Alisomea kitaftia watt dawati au alisomea kuwapa watoto maarifa au Cheti chake kinasomaje?.. jmn Wana JF hivi mloganzira hakuna wodi ya wendawazimu apewe kitanda huyu kiumbe
 
Wewe wachana na ujinga wangu, ukimjibu mjinga, wewe ndiye unakuwa mjinga zaidi. Jibu hoja zake, si za kijinga?
Walimu wakiajiriwa si Wana sign mkataba wa kazi? Kwenye mkataba huo Kuna jukumu la mwalimu kumtafutia mwanafunzi dawati la kukalia??

Watoto akili zao sio matured kabisa, unategemea watoto kuwaheshimu walimu ilhali wanawaona wanakaa chini ofisini?
 
Back
Top Bottom