Zoezi la ukusanyaji wa anuani za makazi kwa Iringa litafanyika lini wakuu?

Mmea Jr

JF-Expert Member
May 20, 2016
550
1,221
Jamani mbaka mudaa huu tushaona hili zoezi likiwa limeshaanza sehemu mbalimbali nchini Tanzania, kama vile Dar es salaam, Dodoma, Mbeya, Kigoma, Morogoro, Shinyanga n.k.

Huku halmashauri za mikoa na majiji zote zikitangaza nafasi kwa vijana ambayo wapo tayari na wanavigezo vya kufanya kazi ya ukusanyanyi wa taarifa mbali mbali za anwani za makizi pamoja na postikodi.

Lakini kwa mkoa wetu wa Iringa naona kupo kimya?, amani kuna shida gani au kwa Iringa hili zoezi halipo? Wakuuu ambao mpo karibu na mkurugenzi wa Iringa hebu jaribu kuumuliza ili tujue nini kinaendelea huko jikoni? Maana isije kutokea tangazo likatoka siku ya deadline.
 
Wanatuma ujumbe kwenye meseji kama umechaguliwa unaenda kufanya interview.
 
Back
Top Bottom